Kama sielewi elewi vile!

huenda hakuwa kaka yake wa kuzaliwa; tunaitana makaka na madada hata kama tumetoka kijiji kimoja. Ni vigumu sana kwa kaka toka nitoke ukapata nguvu wala akili ya kwenda saloon.
Anyway, najua nini msyamba mimi wa Sikonge niliye lowea buha!
 
Last edited by a moderator:
Wacha huyo aliefiwa na kaka yake nilikuwa na jirani yangu mmoja alifiwa na baba yake mzazi wakaenda kuzika na mumewe kwenye kurudi alirudi mumewe
Stor mke alifumaniwa na mume wa mtu wakivunja amri ya sita
huyo sasa alipitiliza, lol!
sasa kama alikuwa na ukame sana si angmkamata mumewe maana alikuwa naye?
 
hata kama hajaacha watoto, au kawaacha na mali zao, tunacholilia ni kuondokewa na huyu ndugu.....
mama sijui naye alikuwa amepetukia wapi (cc. moto2012, snowhite, Kipipi )
ila katika zile simu alikuwa ana-organize pia mavazi ya mama

Khaaaaaaaaaaaa!!!! WALIKUWA WANAJUA ATAKUFA? MAWEEEEEE! Mh! INAWEZEKANA ILIKUWA HARUSI, MAANA KUFIWA KUNATIA UCHUNGU ILE MBAYA.
 
huenda hakuwa kaka yake wa kuzaliwa; tunaitana makaka na madada hata kama tumetoka kijiji kimoja. Ni vigumu sana kwa kaka toka nitoke ukapata nguvu wala akili ya kwenda saloon.
Anyway, najua nini msyamba mimi wa Sikonge niliye lowea buha!
rafiki nimeshaeleza kwenye post nyingi kuwa aliulizwa na akasema ni kaka wamezaliwa na mama na baba mmoja, siyo hata hafl brother..... nini wa kutoka naye kijiji kimoja!
wasikilize wenyewe wachaga akina Nyamayao na Mamndenyi wanavyokubaliana na hili
 
Last edited by a moderator:
Khaaaaaaaaaaaa!!!! WALIKUWA WANAJUA ATAKUFA? MAWEEEEEE! Mh! INAWEZEKANA ILIKUWA HARUSI, MAANA KUFIWA KUNATIA UCHUNGU ILE MBAYA.
alisema aliugua siku 2 tu akafa.......
hiyo kikwetu ni kama ghafla, au?
 
Yaliyotabiriwa kuwa siku za mwisho watu watajipenda wenyewe na kupenda pesa kuliko Mungu ndio huu sasa. hakuna anayesikia huzuni kuona nduguye kafa, akifa wataharakisha kuzika na kusambaa kwenye starehe zao

ni wacha Mungu peke yao ndio wana uchungu na kila mtu anayekufa na sio vinginevyo
 
Najua Preta wangu ni wa Moshi, lakini kwa jinsi alivyo na mapenzi kwangu nikikata kamba najua atavaa magunia na kujimwagia majivu kwa miezi isiyopungua 6, na hataacha kuvaa mkaja wa mjane. Upuuzi huu unategemeana na malezi, dada zetu wa kule Songea (@FP, snowhite, Kipipi) hawawezi ruhusu ujinga huu wa mawifi hata kama anatokea Moshi na kaka yao alikuwa na msururu wa ving'asti
 
hiyo roho ngumu balaa....
kuna uncle wangu alifariki kwa ajali ya gari.... alikuwa boss fulani pale UNDP, unaweza ku-guess mushahara?
kama kawaida ya mngoni, alikuwa na vimada kuanzia ofisini mpaka kila kona ya Dar.......
mke anajua kila habari, ila ndo hivyo tena wamama wa zamani "mpaka kifo kitutenganishe"
sasa likatokea la kutoke, tupo zetu kwa msiba wakaanza kuingia wadada wa mujini..... wenye madhahabu, wenye maalmasi.........., wengine na watoto mikononi, wamekuja kwa msiba wa baba yao....
shangazi akasema tunaona nani wa mujini..... yeye ana vitenge vyake na kilemba kichwani, analiiiaaaa mpaka anafungwa kanga tumbo, wao wanasubiri mali zao....
tukaenda songea kuzika, hakuna kimada aliyeenda, kwani wanajulikana?
tuliporudi process za mirathi zikaanza, nani anawajua? mahela yooooote kapewa mke na watoto wake, nyie mliokuwa mnafaidi dola zake akiwa hai imekula kwenu....
mpaka sasa yule aunt na watoto wake wana maisha mazuri mno........
kuna siku shangazi aliwahi sema "kweli mchumia juani hulia kivulini"
 
Unasema kweli kabisaaaaa
 
Huko tuendako tutaanza kucheza miziki kwenye nyumba zenye misiba ya wapendwa wetu!
 
rafiki nimeshaeleza kwenye post nyingi kuwa aliulizwa na akasema ni kaka wamezaliwa na mama na baba mmoja, siyo hata hafl brother..... nini wa kutoka naye kijiji kimoja!
wasikilize wenyewe wachaga akina Nyamayao na Mamndenyi wanavyokubaliana na hili

aisee, nimekuja uzi ukiwa mrefu so nilishindwa kupitia kila kitu; my bad!
so ukisema niwaulize wachaga, maana yake it is a normal thing au? help me there maana uzi ni mrefu sana kupitia each and every post it will take all my time and l had a long day today.
 
shosti kweli mwenzio wabush....
lakini ndo utafanya hivyo unapofiwa na kakako/dadako/mamako/babako/mume/mtoto?
kwenye msiba wa jirani jipaaaare mpaka uwe wa madoadoa....
networking kwenye mazishi ya nduguyo!
Aliyefariki na riziki yake ishaisha, siye tuliyobaki hatupaswi kusikitika bali kumshukuru Mungu maana hata uwepo wake hapa duniani ni maanni amejaalia, hata kama nikilia na kusaga meno katu sitomrejesha na ndio maana baadhi ya makabila hufanya sherehe pale mwanafamilia anapofariki. Hii ina maana gani? Ni kumshukuru Muumba maana mema na mabaya yote yanatoka kwake, hivyo kujikwatu nakujipara ni kutumia fursa ya kuondokewa ili kujiwezesha
 
ha haaa, pole rafiki....
wanasema huko kwao imezoeleka.... wanakodi hadi salon kama harusi
kuna mfiwa (mjane) alivaa mchuchumio na kimini kwenye mazishi ya mumeo eti vimada wa mumewe wakija msibani waone naye yumo.... sasa huo mchuchumio sijui miguu inaweza kurusha hatua! kaazi kweli
 
Mi huwa nachoookaaaaaa! Kwanza swala la khanga naona very soon litakufa, sijui kwa kweli twaelekea wapi!
shosti sasa zile kanga ulizoniahidi nitazivalia wapi? au ndo ulikuwa unanichuuza mtoto wa mwenzio ili nionekane nimetoka namabengo jana?
 
noted maama.....
ila mimi bado sana kulielewa hili somo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…