Kama sielewi elewi vile!

umeona eeh,
wachagga hasa hawa wamama kwenye misiba wamekuwa hope less kabisa
they don't care
sijajua ni nini kimewapata hawa watu,
kwenda salon wakati maiti iko moshwari ni tabia yao siku hizi
ngoja na wao wakifa tutafanya hivyo hivyo kudadadeeeki.

 
ha haaa, baada ya mazishi hakwenda kuoga? alikaa na hiyo make up kwa siku ngapi?
mume kabisa afwariki...... hata kama nimemuuguza miaka 10....
hicho kiatu kitavalika kweli? let alone mchuchumio, lol!
 
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni, yaani hana hata uchungu kuwa kaka yake kaondoka, na kama kaacha watoto ni jukumu lake,je wakati yuko hapo saloon, mama yake alikuwa na nani? Eeeeeeh MUNGU UTUHURUMIE SISI WAJA WAKO, NA UTUSAMEHE MAANA HATUJUI TULITENDALO.
 
Siku hizi msiba ni show tupu my dear. Hawakuongelea mwenye saluni akawapake makeup ama maznat alishawahi tenda?
Ningekuwa mie ndo wewe mbona ningechomekea tenda ya sare!

Hahahahah! we kiboko, ila sishangai kwani wale ndugu zetu wa Misri waliokuwa wanapigania kufanya ngono na mfu (farewell intercourse) nao tutawasemaje? Ila walimwengu ndo tunafikia kikomo cha upunguani
 
umeona eeh,
wachagga hasa hawa wamama kwenye misiba wamekuwa hope less kabisa
they don't care
sijajua ni nini kimewapata hawa watu,
kwenda salon wakati maiti iko moshwari ni tabia yao siku hizi
ngoja na wao wakifa tutafanya hivyo hivyo kudadadeeeki.
ha haaa, tit for tat....
wanajua nao wakidedi mtaenda kujipara, lol!
ila tuache utani, kweli upendo baina ya ndugu unapungua saanaa
 
hayo ya miwani mwenzangu nayaona makaburini huko......
mi nadhaniaga labda sababu hao sio wafiwa saaana kwa hiyo wanakuja ku-show off tu...
sasa huyu mwenye kaka yake!:nono:

heee, my dear, misiba ya sasa mbona wafiwa ndio wanaongoza kuvaa hayo mamiwani, mfiwa unaona tu anafuta shavu badala ya chozi, mie sasa hivi misiba ninayoenda naona kila kituko cha mjini, tena ubahatike kwenda siku za kazi lunch time, wadada wametumia muda wa lunch kwenda msibani mbona utapepesa macho mpaka ukome mwenyewe?
 
hata kama hajaacha watoto, au kawaacha na mali zao, tunacholilia ni kuondokewa na huyu ndugu.....
mama sijui naye alikuwa amepetukia wapi (cc. moto2012, snowhite, Kipipi )
ila katika zile simu alikuwa ana-organize pia mavazi ya mama
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, tit for tat....
wanajua nao wakidedi mtaenda kujipara, lol!
ila tuache utani, kweli upendo baina ya ndugu unapungua saanaa

huu msiba wa moshi nilikuja kusikia marafiki wa karibu wa mke ndio walimshauri apigilie haswaaa coz mume alikuwa na mahawara kila kona so msiba utajaa mahawara na yeye anatakiwa aonekane wa mujini kama hao mahawara, yaani nilikoma mwenyewe, yule dada ana roho ngumu sana sana, sikutegemea mume wako wa ndoa amefariki ghafla kwa ajali bado upo kivile? wengine tungefungwa na kamba kabisa nadhani, khaaa
 
We kweli ni wakunyumba,
Hivi kweli mtu akifa ndio tusipendeze?
Hebu tupishe sie tukauze sura, kwani hujui kwenye misiba ndio tunaweza kufanya hata networking kwa mambo ya biashara na uchumba, bila kusahau kuchuna mabuzi, we vipii Khaaaaa!!!
 
naomba sana hilo pepo lisiniingie.......
yaani napokea simu bibi/babu kafa nikumbuke salon? God forbid
 
Nyamayao mambo mengine ni aibu hata kuyaona kwa macho yetu ya nyama
pia nahisi hawa wamama wanakuwa na lao jambo,
kuna kitu wanachofurahia zaidi ya uchungu wa kufiwa na mume,
na hawa wanaume nao wawe attention sana hasa wanapofikia kupata pata pesa,

mmoja wa huko nyanda za juu kusini naye wakati mumewe yuko kwenye hatua za mwisho mwisho kwenye hosp moja hapa bongo, akamwita house g akamwambia akanunue kabisa kanga sare ya kutotosha wamama wote tuliyopo pale home,

huyo shosti yeye na simu tu, anasema sijui anasubiri nini,
kweli kaka wa watu alitwaliwa katika maisha haya lakini aliacha mali kibao,
mama anatanua na wengine.

 
Last edited by a moderator:
We kweli ni wakunyumba,
Hivi kweli mtu akifa ndio tusipendeze?
Hebu tupishe sie tukauze sura, kwani hujui kwenye misiba ndio tunaweza kufanya hata networking kwa mambo ya biashara na uchumba, bila kusahau kuchuna mabuzi, we vipii Khaaaaa!!!
shosti kweli mwenzio wabush....
lakini ndo utafanya hivyo unapofiwa na kakako/dadako/mamako/babako/mume/mtoto?
kwenye msiba wa jirani jipaaaare mpaka uwe wa madoadoa....
networking kwenye mazishi ya nduguyo!
 
God forbid
 
Wacha huyo aliefiwa na kaka yake nilikuwa na jirani yangu mmoja alifiwa na baba yake mzazi wakaenda kuzika na mumewe kwenye kurudi alirudi mumewe
Stor mke alifumaniwa na mume wa mtu wakivunja amri ya sita
 

yaani tumetofautiana sana sana,halafu siku hizi kamati ya mazishi nayo ina sare zao pia!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…