Kama sielewi elewi vile!


Umeniwahi kidoogo tu

ilikuwa nianzishe thread kuhusu hili

mimi nashangaa zaidi na watu kuitana bar na kuweka kikao cha msiba bar
halafu siku ya mazishi watu kupiga picha full swagga...kwenye kaburi...
 
Kama pesa zipo ndo mtafanya hayo ya hivyo, haya umejichokea, hela ya chakula tu hadi mkusanye kutoka kwenye nzengo utayaweza wapi haya yaliyofanyika marangu lol!

 
Umeniwahi kidoogo tu

ilikuwa nianzishe thread kuhusu hili

mimi nashangaa zaidi na watu kuitana bar na kuweka kikao cha msiba bar
halafu siku ya mazishi watu kupiga picha full swagga...kwenye kaburi...
rafiki unaweza kuanzisha tu, nadhani hiyo itakuwa na mtazamo tofauti na hii yangu.
hapa naona sana tunazungumzia kuhusu kujipamba kwenye misiba, hayo mambo ya michango ni topic nyingine ambayo pia inahitaji kuzungumziwa
 
he heee, analo hilo.... tena huko kijijini ndo moto utamuwakia.
hata mimi ningemnunia, yaani kakangu kafa halafu yeye busy na weaving?
sometimes tuwe tunasoma alama za nyakati tunapotaka kufanya kitu
 
ha haaa, lol! huko marangu sijui nina rafiki mmarangu?
natamani nihudhurie angalau msiba hata wa ndugu yake wa mbali sana au jirani ili nishuhudie hizo swaga zao.....labda ushamba huu utaniisha mwenzenu
 
mlongo wangu kwa kweli naomba tu tuwe tunatembea wote, maana naona huu mji unanipeleka siko.....
sasa nikipata presha si utapata kazi sana kulea wale vifaranga wote?
 
Taratiibu tunawafikia wazungu kwenye hilo..msibani hadi kualikwa kwa kadi
tumeshafika huko rafiki King'asti kaniambia siku hizi kuna maeneo wanaalikana kwa kadi....
kaniahidi siku akipata atanialika, lol!
 
Last edited by a moderator:
mlongo wangu kwa kweli naomba tu tuwe tunatembea wote, maana naona huu mji unanipeleka siko.....
sasa nikipata presha si utapata kazi sana kulea wale vifaranga wote?
ntawezaje sasa!
sasa hao ni vifaranga hao baba zao!lol kazi yake ni kubwa sana!bora tu niwe nakupeleka kila sehemu!
unawexza ukakutana na watu wamevaa blouze pale muhimbili clinic ukakimbia kitumbini kununua mawax eti uwafunge!
au utakutana na watu wapo msibani wanachagua rangi ya leggins itakayoendana na jeneza ukajizimikia bure!
lol!
 
hata kama mahusiano na marehemu hayakuwa mazuri huwa tunaonyesha huzuni.....
sijui lakini....
 
ha haaa, na mfuko utatobokaje!
au King'asti mnafanyaje inapofikia hivi?
Ndo mtajua maana ya kuwa na mashosti kila angle. Mtoto wa kike mjini lazma uwe na shosti wa kukukopesha hata kope, viatu, pochi, wigi etc. Usisahau sehemu za huduma kama kukopa besdei party (unaenda kujimwaya mwaya utalip mwisho wa mwezi...tena masakiii). Huduma ya pedicure na ya kurembwa uso inahusika. Anadaiwa reginald mengi seuze mie?
atakopa arusha wing yote maana sidhani kama mshahara utatosha
 
Last edited by a moderator:
ha haaaa, hapo ndo ntadead kabisaaaaa......
kweli tunaelekea pabaya.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…