KATIBA.. KATIBA JAMANI KATIBAAAAAAAAAAAAA... 2015 HIYOO IMENUKIA TUTAIVAA BILA KATIBA MPYA HIVI-HIVI.
Mambo ya Dowans hayo kwa wananchi wa kawaida hayana saaana mvuto, mwananchi anajua hata kama huyo jini dowans hatalipwa bado jini magamba atazitafuna hizo hela, mambo ya umeme, sukari, mishahara na kupanda kwa gharama za maisha ndiyo yenye mvuto.. Graduate anaajiriwa serikalini kwa mshahara wa 320,000 kwa mwezi?
kwa maisha haya? ila mwanawane yupo tu maskini ya mungu, wala hana wa kumtetea.. sasa huyu akipata nafasi ya kuwa GAMBA kwanini asinyonge badala ya kuchinja? bado hatujasema walimu ambao mbali na kamshahara ka 120,000 bado ana mkopo kwenye benki mbili tatu na last kwa mwezi anapokea take-home 15,000 mwanawane wa watu.. Do TZ?