Kama serikali itang'ang'ania kuwalipa DOWANS; CHADEMA kuitisha maandamano ya nchi nzima

Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimesema kitaandamana nchi nzima endapo serikali itaailipa kampuni feki ya Richmond a.k.a Dowans. Kauli hiyo ni imetolewa na Mnyika makao makuu ya CDM jijini Dar- Es - Salaam.

Hii ni mara ya pili kwa CDM kusema kuwa itaandamana nchi nzima endapo serikali itailipa Dowans.
Swali la msingi je maandamano yatasaidia Dowans kutolipwa?
Source ITV Habari.
 
Waziri kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika amesema kuwa chadema kitaitisha maandamano nchi nzima kama serikali itaendelea kusimamia kuilipa Dowans.


SOURCE: ITV
 
CDM inapanga kufanya maandamano nchi nzima kupinga Dowans kulipwa mabilioni.

Source; ITV Habari, saa 2 usiku huu
 
... the next best thing to do in the best interest of our nation. Malipo kwa DOWANS hayakubaliki kamwe.
 
amesema mafisadi waliotajwa 15sep2007 bado wana landa landa mitaani bila kushughurikiwa.cdm inataka mafisadi wote washughurikiwe.mia
 
Safiiiiiiiiiii tusikubali kuwapa hao mafisadi kodi zetu,serikali ikijifanya kulipa tu lazima pachimbike hapa,wasitufanye sisi kama vitega uchumi vyao.
 
Mnyika anasema kuwa waliohusika wote wakamatwe wafilisiwe mali zao na mapato yao yote ili fedha itakayopatikana ndo ilipe hlo deni na siyo fedha ya mlipa kodi ndo i2mike kulipa deni hlo.

Ametoa siku 30 kwa serikali kusitisha malipo hayo.
 
Safiiiiiiiiiii tusikubali kuwapa hao mafisadi kodi zetu,serikali ikijifanya kulipa tu lazima pachimbike hapa,wasitufanye sisi kama vitega uchumi vyao.

unamaanisha unachosema?. Wengine wanaropoka tu.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
KATIBA.. KATIBA JAMANI KATIBAAAAAAAAAAAAA... 2015 HIYOO IMENUKIA TUTAIVAA BILA KATIBA MPYA HIVI-HIVI.

Mambo ya Dowans hayo kwa wananchi wa kawaida hayana saaana mvuto, mwananchi anajua hata kama huyo jini dowans hatalipwa bado jini magamba atazitafuna hizo hela, mambo ya umeme, sukari, mishahara na kupanda kwa gharama za maisha ndiyo yenye mvuto.. Graduate anaajiriwa serikalini kwa mshahara wa 320,000 kwa mwezi?

kwa maisha haya? ila mwanawane yupo tu maskini ya mungu, wala hana wa kumtetea.. sasa huyu akipata nafasi ya kuwa GAMBA kwanini asinyonge badala ya kuchinja? bado hatujasema walimu ambao mbali na kamshahara ka 120,000 bado ana mkopo kwenye benki mbili tatu na last kwa mwezi anapokea take-home 15,000 mwanawane wa watu.. Do TZ?
 
Mnyika anasema kuwa waliohusika wote wakamatwe wafilisiwe mali zao na mapato yao yote ili fedha itakayopatikana ndo ilipe hlo deni na siyo fedha ya mlipa kodi ndo i2mike kulipa deni hlo. Ametoa siku 30 kwa serikali kusitisha malipo hayo.

sheria inasemaje ktk hilo?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom