Kama ningerudi ku "date" tena ...24year old boy and nothing else

Ooh basi mimi nikajua kuwa bidada yupo age hiyo ana enjoy utamu wa rika nikatamani nionje pia na sio ndoa sasa mwee! Kumbe kaolewa na mbaba🤭
Mzima lakini shem lake, ulipotea tangu weekend 😁
 
Mie nikisema usioe mtoto mdogo wanaona natania, oa mtu ye anaingia menopause we bado nguvu ziko pale pale ama ndio zinaishia ishia
Unawashauri vijana waoe mishangazi 😂 😂

Ndo uutolee mfano umri wangu?
anyway PM iko wazi shangazi
Wamekugusa penyewe, hebu jipigie promo kijana tusikie sifa zako.
 
Usicheze na nyege, kitu mbaya sana hii. Unaweza kuandika au kuongea utumbo in the name of nyege.

Ila sasa, mbona kuwekana siku hizi ni easy sana, hasa nyie vijana.
 
Sasa mie nina miaka 35 nikaoe kitoto cha miaka 20, wakati mimi nina 50, chenyewe ndio kwanza 35 dada wa makamo.. nikifikisha 60, yeye ndio 45, mimi 65 ub00h haudindi mpaka ubustiwe kwa kupigwa shoti , yeye ndio 50 bado anautaka. 😂🤣
Umeelezea scenario vizuri sana, ila 65 mbali sana wengine 50 to 60 tayari inabidi abustiwe mashine na kama anaweza kunyanyuka mwenyewe basi dakika 5 nyingi keshamwaga, hapo mke kupewa tena mpaka baada ya wiki mbili 😂.
 
Enjoyment inayoangaliwa kwa sasa na mabinti ni pesa tu na ndipo wazee wanapiga panenka.

Hizo dick ma-ex ambao ni age mates wapo watapiga gozi fresh tu.
 
Depression is constant🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…