luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,798
- Thread starter
- #21
[FONT=trebuchet
ms]Ridiculous stuff zinazoletwa na harusi. Watu badala ya kufocus kwenye
ndoa eti 'Not my type'. Kwani wewe malaika na yeye binadamu? The last
time I checked wote mnabelong to the same specie...Usiseme huendani na
mtu kwa sababu at the end of the day we are all different. Yani kusimama
tu na binadamu mwenzio unaona ni issue? Huendani naye kwa unamuoa wewe?
Hata ukipita mtaani watu wanakusema and frankly waliyokusema wakati
hupo hayakuhusu....
Kiukweli issue yako in utoto too much kiasi kwamba ushauri ni uende
ukakue kwanza[/FONT]
nakushukuru mtu mkubwa ila sio lazima ku comment uzi wa kitoto.ungepita tu