Kama nimekosea nishaurini jamani

Kama nimekosea nishaurini jamani

yan bora umsaidie ulisema umewakubalia kwa heshma ya mama sasa unata uwakatalie kwa maana utawapigia goti marafiki .aaa haipendez .bhana we nenda ukapate fungu lako la mema sawa my
 
Sasa kila mtu sio type yako,wa type yako wakoje labda?

mkuu kwenye uzi kuna sehemu nimeandika kila mtu sio type yangu? namaanisha under 30 wate so nielewe
 
bi dada inavyoonesha una muonekano mzuri lakini hicho kisiwe kigezo cha wewe kukubali kuwa matron mara kwa mara. Hudhuria shughuli zinazokuhusu tu. don't be common face in town, kila ukipita unakuwa easly recognized unless ndicho unachokitaka.
Jivunie muonekano wako lakini sio kwa namna hiyo, be scarce au unatafuta kuwekwa kwenye matangazo ya biashara.
Kuhusu hiyo shughuli huna jinsi shiriki kwani hayo maneno sio ya bi harusi mtarajiwa ni watu baki wapotezee ila usijemfunika muolewaji utamharibia siku yake.
 
dada


binafsi ioni swala la wewe kutokua na amani kuhusu hili jambo labda iwe ni mchepuko wako kweli
 
ukisikiliza sana maneno ya watu katika maisha utaishi kwa matakwa ya watu,kuwa namisimamo binafsi!!!ulishaamua kusimamia wewe simamia tu.........
 
Kuna mambo kidogo yanachanganya. Ukisema hamuendani na mwanaume halafu mwanamke wake unamaana gani?
Pili usiache kufanya kazi zako kisa eti watu wanakusema vibaya. Mimi nasemwa kila siku na huwa naacha pembeni nafanya shughuli zangu. Kikubwa hapo ni wewe kujiamini katika mambo yako Basi. Kama unaweza kufanya na upo relaxed Fanya . La kama unaona hutaweza basi unaacha tu kwa sababu zako na si kwa sababu umesemwa vibaya. Pita kifua mbele. Nakushauri endelea na shughuli ili uwaonyeshe kuwa upo vizuri. Unless unambie unaposema hamuendani una maana gani.
 
Em nihadithien kidogo baada yakuwa matron ikawaje?
 
Af ukite huyo wa facebook kadanganya women pasua kichwa
 
Sijakuelewa hapo unaposema kuwa huendani nae, ni kwamba wewe ni mzuri sana kupita binadamu wengine au?
 
Tatizo ndoa za sikuhisi zina mauchurouchuro chungumnzima.

Aah!!
 
Back
Top Bottom