Kama Nikifa leo hii 31/12/2013

Sijaelewa....ukiwa na shida gani ndo utufuate?
 

ama kweli siku zimeenda nakumbuka huu uzi kumbe ilikua ni mwaka jana? Loh
 
Last edited by a moderator:

mpwa hujasema wakiwa na shida gani watufate nyingine hazitatuliki happy new year in advance
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha pamoja mpwa.....
 
Last edited by a moderator:
hata Ambassador waliimba kwetu kuzuri kiliwapata wanajua wenyewe
 

Mkuu Elli nakushukuru. Hata mie ningependa sana kuwa Lushoto kuumalizia mwaka ila sijajaliwa majukumu yamebana sana. Huu ni wakati mzuri sana kula matunda ya aina mbalimbali pasipo ushauri wa daktari ila nimeyamisi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Elli nakushukuru. Hata mie ningependa sana kuwa Lushoto kuumalizia mwaka ila sijajaliwa majukumu yamebana sana. Huu ni wakati mzuri sana kula matunda ya aina mbalimbali pasipo ushauri wa daktari ila nimeyamisi.

Niko huku na matunda damu na masanta rose ni mengi mno. Hali ya hewa ni nzuri sana sana
 
Last edited by a moderator:
Daah wengi wamekufa wengi wanaumwa na kupata ulemavu wa kudumu lakini Mungu kwa uwezo na huruma yako kwangu bado nina nguvu na afya tele na mpaka sasa nahema, Nakushukuru wewe Baba muweza wa yote nitakurudishia nini mimi Chinga One? asante Mungu kwa kunilinda.

naomba unipe moyo wa kusamehe na kusahau yote mabaya niliyo tendewa na pia nilio watenda wanisamehe.

2015 unipe akili na mawazo mapana zaidi ili niweze kuyashinda maisha ya umaskini.

wabariki wana jf wooooooteeeeee!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…