Namshukuru MUNGU nimefika hadi leo hii, ashukuriwe yeye atupaye kushinda na zaidi ya kushinda katika kila jambo, nimeongeza marafiki wengi sana hapa JF ni wengi sana lakini siwezi kumsahau
lusungo ambaye kuna comment yangu moja ilimkosea na baada ya kumuomba msamaha since then tumekuwa marafiki sana, Mgosi wa Kaya
Chakaza tpaul hahahaha mpwa ile thread yako ile ya maisha bora ya ccm iliniacha hoi sana,
everlenk miongoni mwa akina Dada ambao wako very bright, i appreciate hahahaa kuna huyu nae rafiki wangu wa karibu hasa kwenye mambo yetu huyu ni
Khantwe na
miss neddy ukiwa na shida wafuate tu,
Asnam alinikimbia last minute ila kuna mtu ambaye kamwe sitamsahau maishani huyu ni
Little Angel huwezi tumekua kama ndugu, lake ni langu langu ni lake. Nakupenda sana.
kyanaKyoMuhaya tangu mara ya mwisho aniambie yuko kwenye ndege na inahitilafu hatujawahi kuwasiliana tena, i believe she is okay, kwa ufupi naendelea kuwapenda wote na kuwaombea sana. Mkuu wangu
BAK asante kwa company nzuri sana, hakika tumewatoa jasho. Na wale wote ambao walifanikisha safari yetu ya ocean road, dada yangu
Paloma haonekani siku hizi, nawapenda sana, karibuni Lushoto tuumalizie mwaka