Kama ni mtaalamu wa computer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama ni mtaalamu wa computer

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Radio Producer, Apr 24, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Naombeni msaada wana JF, natumia PC yenye BE Operating System (BEOS) yaani imegoma kabisa kubadilisha tarehe ziwe 2011, inakomea 2010 tu nifanyeje? naombeni msaada wenu!
  Asante.
   
 2. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Nasubiri msaada wenu wandugu!
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Vipi kutoka contorl panel,au nenda kwenye bios,kwa nini usitumiw windows
   
 4. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Asante ndugu yangu wacha nijaribu! Natumia hii kwa sababu ya Radio. Radio yangu inatumia Tune Tracker Radio automation system ambayo inajitangaza yenyewe tu! so yenywe iko supported na BEOS tu. Jana nilikuwa nainsert vitu fulani ghafla ikabadili tarehe na kuandika 04/23/2010. piga ua nikauijaribu kila kona imegoma kuandika 2011. Sasa radio inarun last year msaada unahitajika pliz!
   
 5. matwi

  matwi JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama ina restore point restore to da previous date kabla hauja fanya hiyo installation
   
 6. U

  Uswe JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  heh haya ndio madudu gani tena, ebu ngoja nigoogle na mie nijue, radio ina run kwenye computer? mbona mi niko hewani kabisa
   
 7. Jayfour

  Jayfour Senior Member

  #7
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi pc yangu inatumia windows xp sp2 kama os, nimefunga tv tuner aina ya honestech 2.5 SAA7130TVcard lakini nikiinstall program yake kutoka kwenye cd yake inapofika sehemu ya kuinstall driver ambayo ni 713xDrvInstall.exe inanialert kuwa window haiitambui software hii eti haina logo ya microsoft windows, hivyo kuendelea kuiinstall itavuruga utendajikazi wa system sasa hivi au baadae..acha kuinstall mara moja! muone aliyekuuzia hii software au kama hujali matokeo ya haya unaweza kuendelea kuinstall.
  Siku moja niliamua kuistall,ilikubali kuonesha lakini baada ya siku 4 ikagoma na kila kitu ktk system hakikufanyakazi sawasawa ndipo nilipoamua kuformat na kupanga tena kila kitu upya.uwezekano wa kumpata aliyeniuzia haupo hivyo naombeni msaada wenu wataalam ili niweze kutumia TV kwenye PC.
  Samahani mleta thread kwa kuingilia lkn naamini heading yako nzuri itadraw attentions za wataalam hapa ambapo na shida hii yangu wataiona. Natanguliza shukrani! :help:
   
 8. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kama ni honestech jaribu kutumia software yao nyengine inakuwa na driver za hiyo tv tuner Easy Video Editor 3.0 pia inaweza kubali inapatikana http://www.honestech.com/main/TrialDownloads.asp chukua 30-day trial ujaribu
   
 9. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  clear cmo
   
 10. mbweleko

  mbweleko Senior Member

  #10
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Aisee hata mi najishangaa,hivi hili li BEOS ni likitu gani? Kweli JF ni shule,dah!
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hivi kumbe kuna os inatwa BEOS do asante kwa shule ngoja niangalie nitaipataje......
  je huwezi kurekebishia kwenye bios
   
 12. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Ndugu yangu ukipenda una ajiri watangazaji 15 ukipenda unanunua computer 1 na software moja ya automation na una ajiri watangazaji hata 2 na monitor wa hiyo program 1 kazi inakwenda kama kawa ila kwa live program kama simu zenyewe watakaa watangazaji
   
 13. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mkuu ninavyojua BeOS ni Be Operating system ni kama window kazi yake ni moja ila kwenye hii ni hi technical needed! na hii sometimes inafaa kwa software zake tu kama Tune Tracker Radio Automation system.
   
 14. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  BeOS ni kama window XP, Linux. MAC, nakadhalika. Hii ni Be Operating system ambayo mara nyingi inafaa kwa software husika kama Tune Tracker Radio Automation system. Asante.
   
 15. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Show me the way i can do! the process
   
 16. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Asante mkuu, situmii TV tuner, natumia Tune Tracker Radio automation system. Na siwezi kuibadilisha nikachukua trial ndugu yangu kuipata ni shida kwa hapa bongo eti
   
 17. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
   
 18. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
   
 19. networker

  networker JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  its a bug in the Time preferences widget itself. The dates *do* only show up to 2010. However if you set the date by the Terminal it will be ok. In teminal do 'date -s "mm/dd/yyyy HH:MM:SS" '
  to set the date. So you'd put month/day/year a space then hours:minutes:seconds. And be sure to enclose it with the quote marks too. Once you set it it will persist and be correct after reboots.
  o, let me make sure you understand, type the following exactly as I show below with the ' and the "":

  'date -s "02/19/2011 10:38:00" '

  A space between the last "" and the '

  And once done, even after cold or hard reboots the date and time will show correct. From this point on ignore the Time preference all together.

  nime pata hapa for mor infoz
  haiku-os.org/community/forum/beos_revision_5_out_time_beos_inc_beos_revision_5_and_dates_commencing_january_1_2011
   
 20. Jayfour

  Jayfour Senior Member

  #20
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimesha-download na kuinstall Easy Video Editor,upande wa editing iko sawa lakini upande wa TV haikubali.
   
Loading...