Kama ni mtaalamu wa computer

its a bug in the Time preferences widget itself. The dates *do* only show up to 2010. However if you set the date by the Terminal it will be ok. In teminal do 'date -s "mm/dd/yyyy HH:MM:SS" '
to set the date. So you'd put month/day/year a space then hours:minutes:seconds. And be sure to enclose it with the quote marks too. Once you set it it will persist and be correct after reboots.
o, let me make sure you understand, type the following exactly as I show below with the ' and the "":

'date -s "02/19/2011 10:38:00" '

A space between the last "" and the '

And once done, even after cold or hard reboots the date and time will show correct. From this point on ignore the Time preference all together.

nime pata hapa for mor infoz
haiku-os.org/community/forum/beos_revision_5_out_time_beos_inc_beos_revision_5_and_dates_commencing_january_1_2011

ASANTE SANA, IMEMFANYA BOSS WANGU KAZINI KUNIPANDISHA KUWA STUDIO MANAGER BAADA YA KUAMINI KUWA RADIO PRODUCER NI KICHWA KALI SANA YA PRODUCTION IKIWA NI PAMOJA NA KUCHEZEA EQUIPMENT KWA UTAALAMU MKUBWA NA INAPOLAZIMU MANTANCE INAPIGWA! Asante sana mkuu kwa msaada wako navaa kofia mbili (Production Manager&Studio Manager)
 
Mimi pc yangu inatumia windows xp sp2 kama os, nimefunga tv tuner aina ya honestech 2.5 SAA7130TVcard lakini nikiinstall program yake kutoka kwenye cd yake inapofika sehemu ya kuinstall driver ambayo ni 713xDrvInstall.exe inanialert kuwa window haiitambui software hii eti haina logo ya microsoft windows, hivyo kuendelea kuiinstall itavuruga utendajikazi wa system sasa hivi au baadae..acha kuinstall mara moja! muone aliyekuuzia hii software au kama hujali matokeo ya haya unaweza kuendelea kuinstall.
Siku moja niliamua kuistall,ilikubali kuonesha lakini baada ya siku 4 ikagoma na kila kitu ktk system hakikufanyakazi sawasawa ndipo nilipoamua kuformat na kupanga tena kila kitu upya.uwezekano wa kumpata aliyeniuzia haupo hivyo naombeni msaada wenu wataalam ili niweze kutumia TV kwenye PC.
Samahani mleta thread kwa kuingilia lkn naamini heading yako nzuri itadraw attentions za wataalam hapa ambapo na shida hii yangu wataiona. Natanguliza shukrani! :help:[/QUOTE

jaribu kutafuta drivers nyingine, ikikataa tafuta card nyingine tu mkuu
Natamani hizo drivers nyingine.. maelekezo niliyopewa nimeyafuatilia kwa makini lakini bado tatizo halijapata ufumbuzi...msaada zaidi wakuu!
 
1.Fungua google andika error message inayopata fanyia kazi solutions na mapendekezo utakayokutana nayo..

Au
2. usitafsiri andika specically ( kwa kingereza) error message inavyotokea hapa tukusaide ku google

kama nimekupata ni kwamba hiyo software inajitambulisha kwa OS kuwa imekuwa published au kutengenzwa na microsoft kitu ambacho OS ya XP inagoma kutambua sababu si kweli.

ASANTE SANA, IMEMFANYA BOSS WANGU KAZINI KUNIPANDISHA KUWA STUDIO MANAGER BAADA YA KUAMINI KUWA RADIO PRODUCER NI KICHWA KALI SANA YA PRODUCTION IKIWA NI PAMOJA NA KUCHEZEA EQUIPMENT KWA UTAALAMU MKUBWA NA INAPOLAZIMU MANTANCE INAPIGWA! Asante sana mkuu kwa msaada wako navaa kofia mbili (Production Manager&Studio Manager)

fannya kuuppload kipindi kizuri tuonje na tusikie kazi yenu kwenye youtube . fungueni kabisa channel youtube muwe mnaweka clip zenu.
 
1.Fungua google andika error message inayopata fanyia kazi solutions na mapendekezo utakayokutana nayo..

Au
2. usitafsiri andika specically ( kwa kingereza) error message inavyotokea hapa tukusaide ku google

kama nimekupata ni kwamba hiyo software inajitambulisha kwa OS kuwa imekuwa published au kutengenzwa na microsoft kitu ambacho OS ya XP inagoma kutambua sababu si kweli.
"The hardware you are installing for this hardware:SAA7130TV Card has not passed Windows Logo testing to verify its compatibility with windows XP (Tell me why this testing is important)
Continuing your installation of this software may impair or destabilize the correct operation of your system either immediately or in the future. Microsoft strongly recommends that you stop this installation now and contact the hardware vendor for software that has passed Windows Logo testing.[Continue Anyway][STOP installation]" Mwisho wa kunukuu.
Umenipata vizuri tu.. ni kweli ni kama kuna conflict kati ya os na software.
 
Sawa mkuu kawaida ukipata tatizo stop ya kwanza inakuwaga tovuti ya watengenezaji

kwa case yako nimejaribu kutembelea hapa Driver Updates | Honest Technology na hapa Products.

Sasa product uliyotaja wewe imekuwa shida kuiona . Sasa cha kufanya jaribu kucheki au kututajia model na jina sahihi la product yako. download latest drivers au software updates nadhani itatutua hyo conlflict.

Nameseacrh kwa hwa honestech.com natafuta hiyoSAA7130TVcard siipati . So lazma ina jina lingine amabalo linaweza kuwa msaada kwa tatizo lako. kama unaweza tutajie ni product gani hasa uliyonayo katika list ya hii page Products
 
1.Fungua google andika error message inayopata fanyia kazi solutions na mapendekezo utakayokutana nayo..

Au
2. usitafsiri andika specically ( kwa kingereza) error message inavyotokea hapa tukusaide ku google

kama nimekupata ni kwamba hiyo software inajitambulisha kwa OS kuwa imekuwa published au kutengenzwa na microsoft kitu ambacho OS ya XP inagoma kutambua sababu si kweli.

fannya kuuppload kipindi kizuri tuonje na tusikie kazi yenu kwenye youtube . fungueni kabisa channel youtube muwe mnaweka clip zenu.

Usijali mkuu, nitakitupia kimoja hapahapa JF.
 
Sawa mkuu kawaida ukipata tatizo stop ya kwanza inakuwaga tovuti ya watengenezaji

kwa case yako nimejaribu kutembelea hapa Driver Updates | Honest Technology na hapa Products.

Sasa product uliyotaja wewe imekuwa shida kuiona . Sasa cha kufanya jaribu kucheki au kututajia model na jina sahihi la product yako. download latest drivers au software updates nadhani itatutua hyo conlflict.

Nameseacrh kwa hwa honestech.com natafuta hiyoSAA7130TVcard siipati . So lazma ina jina lingine amabalo linaweza kuwa msaada kwa tatizo lako. kama unaweza tutajie ni product gani hasa uliyonayo katika list ya hii page Products
Nimekusoma mkuu..yenyewe model number ni honestech tvr 2.5 ambayo haipo kwenye list ya product zao.
 
Ndugu yangu ukipenda una ajiri watangazaji 15 ukipenda unanunua computer 1 na software moja ya automation na una ajiri watangazaji hata 2 na monitor wa hiyo program 1 kazi inakwenda kama kawa ila kwa live program kama simu zenyewe watakaa watangazaji
Is your radio still operating Sir?
 
Back
Top Bottom