Kama ni kweli na ushahidi upo....

suala la uhakiki wa vyet limeshashindikana, inaskitisha sana serikali inaposhindwa kutimiza wajibu, kwan mpaka sasa watumiaji vyeti feki bado wamejaa kibao maofisin umo
 
Illusions and imaginations like one high in a dose of hard drugs. Very useless.
 
Who bears the burden of proof? The accuser or the accused? .... ni mtizamo tu!
 
Only God and time - Bashite itaisha humu (ukweli haushindi giza)
 
Bashite anajidanganya hajui kuwa tayari usalama wameshamaliza kumchunguza na file lake liko ikulu kwa baba yake.
 
Yule dada keshafuta comment yake kule youtube kupoteza ushahidi, hahahah
 


Aisee
 
Huo si uthibitisho.

Ni mazingira tu ambayo yanaweza kumfanya mtu apatwe na imani kuwa huenda kinachodaiwa kina ukweli.

Lakini hayo mazingira si uthibitisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…