Mpangalala
Member
- Nov 6, 2013
- 21
- 12
Tusubiri nini? To a ushahidi tumshitaki, acha maneno weka ushahidimbona una kiherehere ,bashite hachomoki ,subiri kesi ya kikatiba ikianza cross examination ndo atabanwa mbele ya hon judge and ruling itaweka precedent kwenye law report kuwa kuchakachua vyeti ni criminal offence,
Nina wasiwasi na wewe unaweza kuwa GwajimaHapaswi kutumbuliwa kwa kuwa ni jasiri? Kuna watu wengi wapo huko ni majasiri hawana elimu vipi nao watumie vyeti vya ndugu zao maana wengine wana elimu ya darasa la nne lakini wana ndugu zao walikuwa wana PhD wameshatangulia mbele za haki watumie vyeti vyao? Kama kinachohitajika ni ujasiri ajirini vijana achaneni na ukaguzi wa vyeti mje na ukaguzi wa wa siyo jasiri
Alete vyeti, kwani kaanzisha haya mas Halafu. Alieanzisha atoe vielelezoNa yeye kwa nini asilete vyeti?
Au anaupenda huu mchezo?
Tunaichelewesha Tanzania!
Mange ni nanani?There you go.....
"unabisha nini wakati Mange ametuambia"
Acha kupotosha umma, hiyo sheria ulisoma wapi.....??Kesi ya jinai inaendeshwa na serikali na sio mtu binafsi.
Mwenye wajibu wa kuchunguza na kumpeleka huyo jamaa mahakamani ni serikali.
Kwa mtu anayejua kusoma na kufikiri vzr ujumbe wangu uko wazi mkuuMmmmmmmm
Mmmmmmmmhhhhh.....una jua how EACJ inavyo fanya kazi au umeongea tuu?
Hilo zoezi lilishakamilika mkuu labda sema jingineWatetezi wa Makonda naona mnavyozidi kujitokeza...walianza washikaji, wakaja wenzi, wakaja marafiki na sasa ndugu nao wameamua kujitokeza, hawataki kubaki nyuma. Ninao ushauri mzuri kwenu wote mliotajwa hapo juu, kama kweli mna nia thabiti ya kumsaidia, kwamba mtakuwa mmemtendea haki isiyo na kifani kama mtampa ushauri huu.
Akusanye vyeti vyake vyote aende navyo kwa Waziri Ndalichako vithibitishwe halafu awaite waandishi wa habari kuwapa tahadhari wote waliovalia njuga swala la elimu yake kwamba kuanzia sasa jina Daudi Bashite limepigwa marufuku kutajwa na kuwaagiza polisi wakiongozwa na kamanda Sirro kumshughulikia bila huruma yeyote atakayekaidi.
Nadhani hata anayetuhumu hajaweka obvious zaidi ya kusema ushahidi anao...sasa kwa kumtaka mheshimiwa aweke vyeti wazi kwa uelewa wangu wa darasa la saba nadhani anayetuhumu nae angeweka vyeti wazi ili kumpa urahisi mheshiwa namna ya kukanusha...lakini hii y sasa ni tuhuma tu ambayo bado ukweli wake haupo...Tunatafuta legitimacy yake kielimu. Kama kiongozi hapaswi kuwa na makandokando. Vitu kama umalaya tunahitaji mahakama? Anatakiwa kusimama na kueleza bayana juu ya tuhuma zinazo mkabili.
wacha kwanza atufufulie vyetiHahahaaa huyo Gwajima si ndo yeye huwa anafufua wafu pia?
Au si yeye?
Hujui hii ni Tanzania mpya.Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Ushahidi ni mwingi sana tu..ukiwemo wa MKEWE kufuta acc ya Instagram..YENYE JINA LA DAUDI BASHITE... .. wazazi wake kudanganya kwamba makonda kazaliwa peke YAKE kumbe ana DADA na Mdogo wake.Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Ushahidi ni mwingi sana tu..ukiwemo wa MKEWE kufuta acc ya Instagram..YENYE JINA LA DAUDI BASHITE... .. wazazi wake kudanganya kwamba makonda kazaliwa peke YAKE kumbe ana DADA na Mdogo wake.
Ila wanatumia SURNAME YA BASHITE...... kukaa kwake kimya ..BILA KUKANUSHA......VYETI vya shule SIO TUNGURI ...kwamba VINA MASHARTI kuvitoa mpaka uombe mizimu?NA kwa anavyopenda sifa bwana BASHITE... LAZIMA angeshavitoa faster tu...
Not only jeopardy but utter humiliation ,lets see what nextThis saga has taken a new turn,wazazi wake wamemwambia Zamaradi(clouds) kwamba yeye ni mtoto pekee but under the carpet imeonekana ana dada mkubwa na mdogo wa kiume-why all this-its obvious the end is near-the loop is closing-To escape this quagamire one has to be Houdini,unfortunately he is not. Fallout ya hii Magufuli,s credibility will be in jeopardy
Majina ya hao siblings ni nani na nani?Ushahidi ni mwingi sana tu..ukiwemo wa MKEWE kufuta acc ya Instagram..YENYE JINA LA DAUDI BASHITE... .. wazazi wake kudanganya kwamba makonda kazaliwa peke YAKE kumbe ana DADA na Mdogo wake.
Ila wanatumia SURNAME YA BASHITE...... kukaa kwake kimya ..BILA KUKANUSHA......VYETI vya shule SIO TUNGURI ...kwamba VINA MASHARTI kuvitoa mpaka uombe mizimu?NA kwa anavyopenda sifa bwana BASHITE... LAZIMA angeshavitoa faster tu...
Hmm...sasa hao wazazi wadanganye ili iweje?This saga has taken a new turn,wazazi wake wamemwambia Zamaradi(clouds) kwamba yeye ni mtoto pekee but under the carpet imeonekana ana dada mkubwa na mdogo wa kiume-why all this-its obvious the end is near-the loop is closing-To escape this quagamire one has to be Houdini,unfortunately he is not. Fallout ya hii Magufuli,s credibility will be in jeopardy
Come on now, what's in a name? If Paul could be Daudi and Makonda could be Bashite, why do we need names when the picture says it all? Remember a picture is worth a thousand words and a drawing shows at one glance what might be spread over ten pages in a bookMajina ya hao siblings ni nani na nani?