Kama ni kweli na ushahidi upo....

Kwanza siyo kweli kwamba ukiwa na tetesi kuwa fulani ni mwizi unatakiwa kwenda mahakamani bali unatakiwa kwenda polisi kuripoti au kulalamika polisi ndiyo wataenda mahakamani maana hiyo ni kesi yao. Lengo la kwenda polisi ni kuripoti ili polisi wachukue hatua, swali je hapa kuna haja gani ya kwenda kuripoti wakati polisi wenyewe wamo humu mtandaoni na masmatifoni yao na wengine wameshasoma kwenye magazetini? Kwenda kuripoti kuna maana gani nyingine zaidi ya kuwataarifu kitu wasichokijua? Sasa tukawataarifu kitu wanachokijua? Watumie intelejensia yao ikibidi wamuhoji Makonda mwenyewe kwa tuhuma hizi za jinai.

Mwisho hoja kwamba walikuwa wapi ni immaterial na haiwezi kusimama sehemu yeyote ile. Makosa ya jinai hayanaga time limit labda mtuhumiwa afe wanaweza wakamuacha sasa wakaja kumshitaki miaka 70 ijayo akiwa hai. Kusema walikuwa wapi walikuwepo ila walikuwa hawajui.
 

Kwa uzoefu tu wenye taaluma yenu mtusaidie zaidi.
Taarifa za uhalifu zimetolewa hadharani. Ni wajibu wa mtuhumiwa kukanusha hadharani au kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wazushi ikiwa ana Hakika tuhuma dhidi yake ni za uongo.
Serikali kwa upande wake inao wajibu wa kuchunguza shutuma na taarifa za kihalifu na kufikisha watuhumiwa mahakamani.
Ifahamike kuwa yeyote anayevunja sheria ya nchi kwa kosa lolote la jinai huwa ameikosea Jamhuri naye hushtakiwa na Jamuhuri
Aliyetendewa kosa au mlalamikaji huwa ni shahidi wa kwa upande wa serikali
 
Hapaswi kutumbuliwa kwa kuwa ni jasiri? Kuna watu wengi wapo huko ni majasiri hawana elimu vipi nao watumie vyeti vya ndugu zao maana wengine wana elimu ya darasa la nne lakini wana ndugu zao walikuwa wana PhD wameshatangulia mbele za haki watumie vyeti vyao? Kama kinachohitajika ni ujasiri ajirini vijana achaneni na ukaguzi wa vyeti mje na ukaguzi wa wa siyo jasiri
 
wenye huo ushahadi basi wapeleke huo ushahidi walionao dhidi ya mtuhumiwa kwa wahusika uliowataja hapo, am sure hamna mwenye cheti chake kati ya hao wanaobwabwaja, matokeo yake wanaweza kuwa nayo lakini si cheti chake, hii itabakia kuwa nimesikia kwa fulani, mtu flani kasema.
 
Hili swala la Makonda mbona limekuwa complicated-in this day and age it should not be happening-could it be analindwa na the master-why don't he just come out and cleanse himself of the dirt
He will never come out coz he got nothing to show out.
 
Unapoteza muda.
Kazi iliyopo ni yeye mtuhumiwa kuja kujisafisha kwa kutoa ushahidi wa kutosha. BEYOND REASONABLE DOUBT. Ni sawa na kusema tafiti hupingwa kwa tafiti.

Rais Obama alipozushiwa kuwa yeye si mmarekani, hakuwauliza waliomtuhumu walete ushahidi, tuhuma zilikuwa nzito mno.
Sasa kwa vile haikuwa kweli, akatoa cheti cha kuzaliwa kilichohakikiwa na mamlaka zote zinazohusika.

Huo ndio mfano wa kujitakasa.
Kupiga zumari hapa kama wewe hakutaondoa mada.

Msaidie kuleta ushahidi. Basi.
Mimi ni neutral.

ELIMU ELIMU ELIMU
[HASHTAG]#VYETI[/HASHTAG]
 
Hahaaa...nipo huku Ikungulyabashashi kaka.

Nasikia tu hadi wachungaji wanasema eti Paul Makonda si jina lake bali jina lake ni Daudi Bashite na ushahidi wanao lakini hawatuonyeshi huo ushahidi.

I wonder why!

Things that make you go hmm....
Kuhisiwa tu ni kosa la kimaadili. Ok, tuseme sio kosa.

Basi wakate watu mdomo, toa documents waambie watu mnaona sasa? Mnaonaa?
Baba baba baba, si jina tu, vyeti hamna pale
 
Mmmmmmmm



Mmmmmmmmhhhhh.....una jua how EACJ inavyo fanya kazi au umeongea tuu?
 
Kwa hiyo mimi nikija hapo ulipo na kukutwanga ngumi kwenye chembe huwezi kwenda mahakamani kunifungulia mashitaka ya kukushambulia?
Mbona ushapoteana sasa? Au na wewe majina mengi? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alivyo wataja wenzake tuliona policcm kwenye harakati, alivyo tajwa yeye sasa policcm wameufyata.
 
Gwajima kasema sentensi tata. Hivyo ni vyema atoe ushahidi angalau wa vyeti ili angalau isaidie.

1. Kasema Daudi Bashite hakuchaguliwa kwenda shule ya serikali na akajiunga na Pamba Sec. Wakati kiukweli PAmba mwaka 1997 ilikuwa shule ya serikali.

2. Hata kama Daudi Bashite alikuwa evening class, swali linakuja tena kutokana na maneno yake kwamba inakuwa je evening class akafukuzwa shule.
3. Anacheti cha Daudi Bashite chenye zero, mimi naomba akionyeshe hicho cheti chenye zero kinafanana je?
 
He/she who alleges must prove.

Allegations don't just prove themselves.

So did I miss the memo or something?
So long as you can not prove them wrong, the only way is to seek public compassion.
Phrases won't do you any good.
Come out and show what you got!
 
Ndio maana nimeleta uzi hapa nikashauri Gwajima awape huo ushahidi wabunge ili jambo hili lihamie Bungeni ila mods uzi wangu wakauunganisha.

Mods hawa sometimes sijui wanatumia vigezo gani mimi huwa siwaelewi kabisa
Ushahidi ni kuwa yule ni Bashite
 
Unahisi umemsaidia mtoa mada kweli?
 
Watetezi wa Makonda naona mnavyozidi kujitokeza...walianza washikaji, wakaja wenzi, wakaja marafiki na sasa ndugu nao wameamua kujitokeza, hawataki kubaki nyuma. Ninao ushauri mzuri kwenu wote mliotajwa hapo juu, kama kweli mna nia thabiti ya kumsaidia, kwamba mtakuwa mmemtendea haki isiyo na kifani kama mtampa ushauri huu.

Akusanye vyeti vyake vyote aende navyo kwa Waziri Ndalichako vithibitishwe halafu awaite waandishi wa habari kuwapa tahadhari wote waliovalia njuga swala la elimu yake kwamba kuanzia sasa jina Daudi Bashite limepigwa marufuku kutajwa na kuwaagiza polisi wakiongozwa na kamanda Sirro kumshughulikia bila huruma yeyote atakayekaidi.
 
Wa Tanzania wengi ni bendera fuata upepo


Mangi kasema ,gwajima kasema ,nanihi kasema

Mtanzania unaweza kumchezea na kumshika akili ,mpe gossips tu utamhamisha kwenye agenda
Nimeipenda saaana, mange mange. Wajinga saaana, watu hawtumii akili zao kutafuta mambo. Wanakaliaaaa mange mange. Ni kanani hako kamange?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…