princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
kanisa linageuzwa uwanja wa siasa...Tuombe uhai,jumapili hii Gwajima kasema rasmi anavaa sucide vest na anatiririka na viashiria vyote-proof kamili mpaka waalimu na wanafunzi-tuombe tuu hii misa isifanyiwe figisu figisu-na itakuwa live you tube
na watasema hakua na makosa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watanzania tu watu wa ajabu sana.
Majuzi tu hapa walisema Makonda ana sijui magari ya kifahari..majumba..manini nini sijui....lakini yote hayo sasa yashapita.
Kinachobamba ni Daudi Bashite.
Na sina shaka kabisa siku Makonda akiamua kuhamia CHADEMA atapokewa kwa matarumbeta na mavuvuzela.
You watch....
Msomi jifunze tena kusoma na kutafsiri sheria...kifungu kiko wazi kabisa. Isipokuwa hujaelewa. Kivunje hicho kifungu ukielewe.Inasikitisha kuona hujaelewa kifungu tajwa halafu unaniita muongo. Wewe kama ni Mwanasheria basi ni kanjanja. Kifungu ulichokitaja kinataka Mwendesha mashtaka apate ruhusa ya Rais. Upo? Rais ndiye mkuu wa Serikali. Jiongeze
mashahidi,waalimu,wanafunzi tayari wako safe houses Dar-wasiwasi ni je misa itakuwepo or Baba Gwajima will be nipped in the budkanisa linageuzwa uwanja wa siasa...
hivi huyu baba kwanini wanamlea hivi[emoji24][emoji24]
Na ndiyo hoja ya NN kuwa wenye ushahidi kwanini wasiende mahakamani? Hapa tupo pamojaNi kweli kama iko verified amefoji vyeti. Lakini kwa vile Mange ama Ngwajima kaongea ndo wote tuamini kafoji vyeti ?? wengine hatuko hivyo. Sasa kama kila katuhuma Mange anakokasema lazima katolewe maelezo itakuwa Taifa la ajabu sana.
Mie naamini tuhumu za kutolea maelezo ni zile zilizoambatana na ushahidi, kama vile living certificates za Paul na Daudi zilizo na picha. Lakini mtandaoni tu ujibu tuhuma, itakuwa uhuni uliopita kiwango.
Tunamsubiri Askofu Gwajima ambaye ana ushahidi wa uhakika
Na ndiyo hoja ya NN kuwa wenye ushahidi kwanini wasiende mahakamani? Hapa tupo pamoja
Upande wa pili, kukamatwa Gwajima kulikuwa na taharuki kwasababu ni maarufu na ana kundi nyuma yake. Hakuna ushahidi uliopatikana kama ilivyo kwa tuhuma za Mange n.k.
Like wise madai yanayotolewa na 'almaarufu' Gwajima yanabeba uzito ule ule aliyoubeba wakati anatuhumiwa. Si lazima Paul ajibu, lakini kuna political impact hapa
Ukiwa na Ng'ombe 10 mtaani pengine hawatajua kama una zizi.
Ukibeba kilo moja ya nyama iliyooza Wilaya nzima watajua maana hiyo ndiyo habari
Paul ni mwakilishi wa Rais.
Ana njia mbili, kusema si kweli au ni kweli au njia ya pili ni kukaa kimya.
Kwa mtu aliyezoea kutumia media inapotokea akakaaa kimya hoja ya Gamba la Nyoka (Tacitly accepting allegations) inabeba nguvu
Tatizo, Paul atakuwa kilo moja ya nyama iliyooza itakayozungumzwa kila uchao
Akiwa mwakilishi wa Rais, atambebesha Rais kilo moja ya nyama iliyooza na kuwa story hata kama Rais ana ng'ombe 1000 walionona.
Zoezi zima litakuwa halina maana kwasababu linagubigwa na ambiguity ya double std
Kwavile alitumia media kuwatuhumu watu wengine bila ushahidi kama Gwajima, what goes around comes around, anajikuta automatic analazimika kusema neno
Hivyo hiyo point,"Walikuwa wapi" does it really hold water AU mimi nazeeka vibaya???????Makonda alipowataja akina Gwajima hakuishia hapo tu aliwapeleka polisi labda kisha mahakamani ili wakasafishwe na mahakama wawe weupe peee.
Wenda Makonda anawasubiria watoe vyeti feki ili atoe vyake na awakamate kwa kufoji nyaraka za serikali, na wenda ndio maana wamekalia kupiga domo. Watoe ushahidi si wanao walisema, wautoe hata hapa JF watu wasome wapime.
Tuhuma za mtandaoni huwezi kujibu maana hujui kesho wataibuka na nini tena. Na kitu kingine kinacho demand ushahidi ulio wazi ni kwamba, walikuwa wapi wakati wote huo kumtaja tangu uhakiki umeanza, amekuwa mkuu wa wilaya mpaka leo alipotaja watu wa madawa ya kulevya nao ndo wanamtaja?
Wa Tanzania wengi ni bendera fuata upepo
Mangi kasema ,gwajima kasema ,nanihi kasema
Mtanzania unaweza kumchezea na kumshika akili ,mpe gossips tu utamhamisha kwenye agenda
Hivyo hiyo point,"Walikuwa wapi" does it really hold water AU mimi nazeeka vibaya???????
Hivyo hiyo point,"Walikuwa wapi" does it really hold water AU mimi nazeeka vibaya???????
Then you better shut up your beak.ha ha ha
kesi ya nyani umpelekee ngedere
Mbona yeye aluwafungulia wenzie redioni?Na mimi nasema....anayemtuhumu kijana shupavu Makonda akamfungulie kesi mahakamani si mtandaoni.
I thought you were bigger then this "Ukabila" scourge. Makonda is in the frying pan wewe una abandon principles zakoForget about whether it holds water or piss....bottom line is where's the evidence that proves he took/ bought/ used someone else's identity to get to where he is?
Have you seen such evidence?
Wapo wapi sasa hao wenye ushahidi waupeleke takukuru.Watu wanabweka tu na kupoteza muda wao bure kujadili kitu kisichokuwepo.Unamtuhumu mtu halafu unamtaka huyo mtu akupe ushahidi!Mkuu Nyani Ngabu,mfumo wa kisheria wa nchi yetu ya Tanzania hauruhusu mtu binafsi kumfungulia mwingine,na kuendesha kesi mahakamani,kesi ya jinai. Kinachotakiwa ni kwa mtu mwenye ushahidi dhidi ya jinai ya mwingine kuuwasilisha ushahidi huo kwa mamlaka zinazohusika,mfano polisi au TAKUKURU,ili hatua stahiki zichukukiwe. Mamlaka hizo na nyinginezo,kama Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ndizo zitakazomshtaki mhusika. Ndiyo kusema,wenye kuamua kushtaki au la ni watawala waliopo kwenye mamlaka hizo iwe ushahidi umekabidhiwa au ule walionao wenyewe.
Ingawa Gwajima hakufikishwa mahakamani, jambo lililomchafua, nadhani hoja yako ni kama ile ya NN na nimeiunga mkono."MkamaP, post: 19927669, member: 1213"]Makonda alipowataja akina Gwajima hakuishia hapo tu aliwapeleka polisi labda kisha mahakamani ili wakasafishwe na mahakama wawe weupe peee.
Na huenda wenye ushahidi wanachelea kuuweka kwa sheria ya mtandao ili wasikamatwe kama ulivyosemaWenda Makonda anawasubiria watoe vyeti feki ili atoe vyake na awakamate kwa kufoji nyaraka za serikali, na wenda ndio maana wamekalia kupiga domo. Watoe ushahidi si wanao walisema, wautoe hata hapa JF watu wasome wapime.
Lakini Paul ni bingwa sana wa kujibu tuhuma za mitandao, vipi hili!Tuhuma za mtandaoni huwezi kujibu maana hujui kesho wataibuka na nini tena.
Kumbuka kuna makundi mawili hapaWalikuwa wapi wakati wote huo kumtaja tangu uhakiki umeanza, amekuwa mkuu wa wilaya mpaka leo alipotaja watu wa madawa ya kulevya nao ndo wanamtaja?
Mbona yeye aluwafungulia wenzie redioni?
I thought you were bigger then this "Ukabila" scourge. Makonda is in the frying pan wewe una abandon principles zako
Kitu kingine cha kujiuliza ni kwamba huyu ni kiongozi wa uma na sheria ya mtandao tumeona jinsi baadhi ya watu walivyo isha baada ya kuwachafua viongozi kadhaa mtandaoni.Jukumu la kuthibitisha tuhuma ni la mleta tuhuma (mtuhumiwa) na si la mtuhumiwa.Wanaomtuhumu hivyo waje na ushahidi na kusajili sehemu husika ili hatua stahiki zifate.