Kama ni kweli,basi CCM hatuiwezi kamwe

Kama ni kweli,basi CCM hatuiwezi kamwe

Sio umeya tu,hata Zanzibar mpaka sasa CCM ndio washindi.
Tutakapoweza kuing'oa CCM madarakani,na ni baada ya kupata katiba mpya pendekezwa ndipo tutakapoweza kufanya ya maana,tofauti na hapo ni ngumu kuzuia figisu figisu za CCM.
Sure kabisa katiba mpya ndo itakuwa suruhisho la yote
 
pia nawashauri wajumbe wa ukawa wanao0enda kuipigia ccm waharibu kura kwa kupiga tiki mara mbili mara ya kwanza kwa mgombea wa ukawa mara ya pili kwa mgombea wa ccm huku kamera imezimwa ukawa watabaki na tekodi moja tu.
 
Nadhani madiwani wa Dar wameshasikia yaliyompata na yanaendelea kwa Diwani Matata wa Mwanza.
Tena sidhani kama katika hao wa Dar yupo aliye kama Matata. Yaani mbabe, jambazi na mtu wa mbinu zote chafu. Lakini yuko wapi na usaliti wake? Jamii imemkataa, ccm nayo imemtosa sasa makesi yote wamemuangushia yeye hivyo ofisi yake sasa ni PCCB, POLISI NA MAHAKAMA.
CCM wako pembeni hawana hata habari nae
 
Habari wanajamvi,leo nikiwa nimetoka k,koo naelekea zangu makumbusho ofisini kwangu,nilikuwa kwenye daladala.mara kukazuka story kuhusiana na meya wa jiji la DSM,kuna jamaaa kaongea jambo ambalo imenibidi niamini kwa kiasi fulani hasa kutokana na figisufigisu zilizotokea.jamaa anadai ya kwamba ccm wana mpango wa kuwanunua madiwani 11kutoka ukaww ili wampigie kura mgombea wa ccm.jamaa akaenda mbali zaidi na kusema hadi sasa wamefanikiwa kurubuni na kuwapa pesa madiwani 6 bado wa5 ili kazi iishe na ndipo waitishe uchaguzi,inasemekana wanachelewesha kwa sababu wanataka wahakikishe wamewapata hao wajumbe 11 na ndipo waitishe uchaguzi,,sasa kama ni kweli hizo habari basi ccm hawawezekani na ni bora mtu ufanye shughuri zako za kimaisha kuliko kufuatilia siasa za africa maba zote zipo sawa,laaana hii sijui tuliachiwa na nani ya kutofuata democracy

= shughuli
 
Sio umeya tu,hata Zanzibar mpaka sasa CCM ndio washindi.
Tutakapoweza kuing'oa CCM madarakani,na ni baada ya kupata katiba mpya pendekezwa ndipo tutakapoweza kufanya ya maana,tofauti na hapo ni ngumu kuzuia figisu figisu za CCM.
Tatizo sio kuing'oa CCM ,,, ishu ni haki itendeke...hata kama itabaki milele ila kwa haki hakuna tatizo ,,,,
Unaweza usiamini kutokana Na uwezo wako wa kuyajua mambo... hakuna chama zaidi ya CCM,,, ila kuna matawi ya vyama vya CCM... najua utabisha, hutaamini ila huo ndio ukweli.... hao unaowaona wapinzani,,, ni matawi ya CCM
 
Habari wanajamvi,leo nikiwa nimetoka k,koo naelekea zangu makumbusho ofisini kwangu,nilikuwa kwenye daladala.mara kukazuka story kuhusiana na meya wa jiji la DSM,kuna jamaaa kaongea jambo ambalo imenibidi niamini kwa kiasi fulani hasa kutokana na figisufigisu zilizotokea.jamaa anadai ya kwamba ccm wana mpango wa kuwanunua madiwani 11kutoka ukaww ili wampigie kura mgombea wa ccm.jamaa akaenda mbali zaidi na kusema hadi sasa wamefanikiwa kurubuni na kuwapa pesa madiwani 6 bado wa5 ili kazi iishe na ndipo waitishe uchaguzi,inasemekana wanachelewesha kwa sababu wanataka wahakikishe wamewapata hao wajumbe 11 na ndipo waitishe uchaguzi,,sasa kama ni kweli hizo habari basi ccm hawawezekani na ni bora mtu ufanye shughuri zako za kimaisha kuliko kufuatilia siasa za africa maba zote zipo sawa,laaana hii sijui tuliachiwa na nani ya kutofuata democracy

NASHUKURU SANA KWA TAARIFA YAKO HIYO, KWANI SASA TUNAJUA WAZI WAKISHINDA CCM BASI UKAWA AMA BAADHI YA MADIWANI WAMENUNULIWA. NAMKUMBUKA MWALIMU WANGU ALIYEPENDA KUSEMA DARASANI "KITENDO CHA KUFAMU TU, BASI NI USHINDI MKUBWA SANA". TUMEFAHAMU WAKISHINDA TU CCM TU TUNATHIBITISHA NA MAAMUZI TUTAYAFANYA HATA MIAKA 2000.

MWISHI HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA, YANA MWISHO HAYA KWANI HITLA, IDDI AMINI, SADAM, GADAFFI (PAMOJA NA KUWA NILIMPENDA SANA) WAPO WAPI LEO? CCM NI HILTER, AMANI, SADAM NA GHADAFFI IN THE FORM OF CHAMA.
 
True , big up
 
Maelekezo ya UKAWA kwa Madiwani wake wote ni Kwamba tukikosa UMEYA WA JIJI LA DAR, Tunawavua Uanachama madiwani wote. [HASHTAG]#TunyoosheMTIsiyoKIVULI[/HASHTAG]
 
Hivi Ni Kweli tunaweza kuzeeka bila Kuona MABADILIKO yeyote? Hii kitu inauma sana, binafsi nilikua naamini kizazi chetu Ndio Muda muafaka wa kufanya MABADILIKO ya Kweli Kama kizazi cha Miaka ya 1950s-1960s.. Ila kwa jinsi upepo unavyovuma Ni Kama vile Hakuna lolote litakalofanyika, hii kitu inaniuma sana sio Siri.
My dear Mgibeon ,mwenzio nimekaa kimya tu naangalia maana hili la Zanzibar nilitegemea ndio tutaona haki ikitendeka lakini kiukweli CCM hawako tayari kuachia nchi kivyovyote vile.
 
Habari wanajamvi,leo nikiwa nimetoka k,koo naelekea zangu makumbusho ofisini kwangu,nilikuwa kwenye daladala.mara kukazuka story kuhusiana na meya wa jiji la DSM,kuna jamaaa kaongea jambo ambalo imenibidi niamini kwa kiasi fulani hasa kutokana na figisufigisu zilizotokea.jamaa anadai ya kwamba ccm wana mpango wa kuwanunua madiwani 11kutoka ukaww ili wampigie kura mgombea wa ccm.jamaa akaenda mbali zaidi na kusema hadi sasa wamefanikiwa kurubuni na kuwapa pesa madiwani 6 bado wa5 ili kazi iishe na ndipo waitishe uchaguzi,inasemekana wanachelewesha kwa sababu wanataka wahakikishe wamewapata hao wajumbe 11 na ndipo waitishe uchaguzi,,sasa kama ni kweli hizo habari basi ccm hawawezekani na ni bora mtu ufanye shughuri zako za kimaisha kuliko kufuatilia siasa za africa maba zote zipo sawa,laaana hii sijui tuliachiwa na nani ya kutofuata democracy
Hata wakati wa Meya wa Kinondoni waliwahonga na bado wakapigwa ndiyo hasira yote hiyo.Zile pen zetu zitatumika.Na pesa ya hongo itpiaipia Hoteli kwa ajili ya madiwani wakienda kupiga kura wake na kufanya semina.Hapo wamekuwa pi
 
mbona hiyo tamu..
mnachukua mpunga wajumbe 11 badae mnawaambia itisheni uchaguzi..
kudadadek..
anti chichi.. mnambaka kweupeee !
 
Kumbukrni ya Arusha tutawafukuza wote ...... unajua kinachofuata
 
Hivi Ni Kweli tunaweza kuzeeka bila Kuona MABADILIKO yeyote? Hii kitu inauma sana, binafsi nilikua naamini kizazi chetu Ndio Muda muafaka wa kufanya MABADILIKO ya Kweli Kama kizazi cha Miaka ya 1950s-1960s.. Ila kwa jinsi upepo unavyovuma Ni Kama vile Hakuna lolote litakalofanyika, hii kitu inaniuma sana sio Siri.
Usikate tamaa mkuu, kutakucha tu, wanasema kamba hukatikia pabovu
 
Hahaha akisharekebisha post ina-count, anaonekana ana posts nyingi kumbe zaidi ya nusu ni kufanya u-kifimbo cheza
Ha ha ha ha ha hA.. Umenikumbusha gazeti la Sani Mkuu.
 
Back
Top Bottom