Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,416
- 21,809
Hilo la Zanzbar Ndio Kabisaaaa! Kumbuka kuna siku walipata kunena Kua hawawezi kuachia Nchi kwa vikaratasi! Nakumbuka Mwaka 2010 Dr. Slaa Alisema ameshinda uchaguzi wengi walipuuza wakijua Kua Ni maneno ya mkosaji ila inaonekana maneno Yake yalikua Na tija ndani Yake..My dear @Mgibeon,mwenzio nimekaa kimya tu naangalia maana hili la Zanzibar nilitegemea ndio tutaona haki ikitendeka lakini kiukweli CCM hawako tayari kuachia nchi kivyovyote vile.
Leo umezungumza kuhusu katiba, Ni ukweli ulio wazi Kabisa kwamba Huyo Ndio mkombozi wetu PEKEE wa kututoa hapa tulipo LAKINI hiyo katiba inapatikanaje Na bunge lenyewe Ndio lile la Ajabu Ajabu? Unafikiri wao Ni wajinga hawajui Impact za katiba itayokuja? Ukiwaza hayo kwa kina unaweza Kuona namna ukombozi wa Nchi yetu kwa kutegemea demokrasia ulivyombali labda tufukirie diplomasia inaweza kutufikisha pahala Fulani.
Frankly speaking Nifah, am not happy at all. Yaani Nchi inaendeshwa kibabe as if Ni Familia ya Bwana Mwita Chacha! Ni muhimu tuanzishe tena lile VUGU VUGU LA MABADILIKO, bila hivyo andika tutaumia for the rest of our life as long as KIJANI imeshika hatamu! Usiku mwema, msalimie mwenzetu.