Kama ndio hivi...wacha wapendwe tu.

Wrong perception, wewe na kacheque kako ndo unawaza kimakosa, inafaa uombewe maana ipo siku utalala njaa kwa hisia. Au hujawahi kupendwa wala kupendwa hivi unahisiahisia tu. Sio vyote ving'aavyo ni dhahabu mengine ni maganda ya .............
 
Umenikumbusha kauli ya kahaba mmoja ndugu wa coaligue wangu. Anamsifia ndugu yangu flani, ati hakuna kitu hapo ila anahonga balaa! Kilimo kwanza shamba hatua mbili, unapewa hela ya kulima na trekta ekari 10! Yaani hadi leo nikimuangalia yule ndugu yangu, najiskia kucheka tu!
Wanasema Wazee kazi ndogo malipo makubwa,wakati vijana kazi kubwa malipo madogo,naamini nimesomeka!
 
I once said:

There is no love, only the proof of it!!

Now, if you ask me of the relation hapa, ni unyonyaji wa hali ya juu!!!!! And for what? Mkate? au Status mtaani?
Uneza kumpa care zooooote mkeo au demu wako lakini unaposhindwa kumpa mkate wakati anautaka we ukampa muhogo hali hii itaendelea kufifiza hilo penzi na kufiligiswa has mtoa mkate anapopatikana. Lakini sio mbaya hii yote ni kwa kuwa kuna mianya ya rushwa lukuki kiasi mtu anajua nikitoa milioni kadhaa ambazo sijazitolea jasho ninapata zingine gafla bin vuuu, mwisho wa siku akina sie maskini wa kutupwa tunazidi kuwa wa kutupwa kweli kweli kulingana na sera duni na baguzi humu nchini!!!!!!!!!!!!
 
Dawa yake ndogo, kunywa biya, afu sukutua glass sita za wine kila jioni. Hapo maziwa debe!

Ndo maana namuona mashavu yanatuna kila siku baby wako! Unajua kutunza!
anayenyonya sasa ni mateka

sasa imagine natakiwa kula kiasi gani ili maziwa yatoshe.
 
ha ha ha ha, ukimuona msalimie.

Sasa hivi naanza kunywa gongo kabisa.

Si unajua tena mwili haujengwi kwa tofali wala haulindwi kwa mmasai lol

Dawa yake ndogo, kunywa biya, afu sukutua glass sita za wine kila jioni. Hapo maziwa debe!

Ndo maana namuona mashavu yanatuna kila siku baby wako! Unajua kutunza!
 
Abeg to differ ooo.

Mwanaume lazima awe na pesa na ahonge. Vijana hongeni wake zenu mtaenjoy duniani.

You live only once boys, make it right.
mwanaume ni yule anaejali sio anaehonga.....kuhonga ni dalili ya kutokuwa na uhakika na mapenzi so si lazima uhonge
 
Abeg to differ ooo.

Mwanaume lazima awe na pesa na ahonge. Vijana hongeni wake zenu mtaenjoy duniani.

You live only once boys, make it right.
mwanaume ni yule anaejali sio anaehonga.....kuhonga ni dalili ya kutokuwa na uhakika na mapenzi so si lazima uhonge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom