Kama ndio hivi...wacha wapendwe tu.

All in all, kumpa mtu gari na apartment haimanishi mtu ana-care. Be careful with your choice of words.
 
Haha ha,
Mjini hapa, kuna wengine skonzi tu lakini wanakula hadi mafao ya uzeeni, khah! Nani anataka hayo?
 
Kuna siku moja tulikuwa tumekaa na mzee mmoja wa makamo hivi kwa jili ya kinywaji jioni, huyu mzee ni mpenda totoz na hela anayo sana tu...tukawa tunazungumzia wazee wa style yake kuwa wamezidi kuhonga mpaka vijana tukitoa visenti vyetu tulivyosevu tunaonekana 'hatukei'! Mzee ni mnene kitambi hichooo....akasema 'look at me...hivi ni msichana gani mzuri kijana atanipenda mimi? its obvious ukiniona na msichana mzuri kijana anataka hela yangu tu, na mimi ninayo...kwa nini nisimpe nami nikapata nitakacho!'....ni kweli, wacha hii mibaba ipendwe tu, inajua kuhonga bana!

Mkuu haipendwi yenyewe, zinapendwa pesa zao bwana!
 
Saa hizo kamuacha mkewe hana hata vitz ya kutembelea, huku anamuambia mwingine achukue gari kubwa kubwa! Khaa, wanaume......
 
Hahahaaaaa.....nyie hamna pesa, hamjui kubembeleza, mnaringa eti mnaringia uhandsome, mtajuta.
 
I am sorry to say this "kutegemea kuhongwa ni ujinga", hakuna cha girl's power wala nini. kama una power kwa nini usifurukute kidogo ili uweze kujitafutia chako? si ku hizi kuna nafasi kibao za kuwainua wanawake, yaani ukijitahidi kidogo tu unainuliwa. kwa nini usubiri kuhongwa? tena na babu ambaye ana msululu wa wakuwahonga? na ambaye unajua kesho tu akipata mwingine aliyemtamani kama wewe probability ya kukumwaga ni kubwa?

i used to be like you madam,baadae nikagundua this kujitutumua policy does work with wanaume wetu, mwanaume anapokuhonga honga hivi ndo anajisikia vizuri na kujiona anakumiliki vizuri.
 
Abeg to differ ooo.

Mwanaume lazima awe na pesa na ahonge. Vijana hongeni wake zenu mtaenjoy duniani.

You live only once boys, make it right.
Kisa cha kumuhonga mke wangu nini? Kama ninacho ntampa au tutakula wote. Sihongi kamwe. Uzoefu wangu unaonyesha mtu akizoea kuendesha maisha kwa chenji chenji na kuhongwa hana msaada sana. Zikitetereka kidogo tu naye anahamia boti nyingine. Anyway kila mtu anachaguzi yake ila I want to live the life that I live and 100% I enjoy it...
 
i used to be like you madam,baadae nikagundua this kujitutumua policy does work with wanaume wetu, mwanaume anapokuhonga honga hivi ndo anajisikia vizuri na kujiona anakumiliki vizuri.
mbona kama wanapenda huko kumiliku haku-last longer? Ni kujidanganya tu rafiki yangu.
 
Huyo mbaba na mdada wapo kwenye b'ness. Mmoja seller, mwingine buyer. Hakuna product/service inayouzwa kwa sh.0.
 
i used to be like you madam,baadae nikagundua this kujitutumua policy does work with wanaume wetu, mwanaume anapokuhonga honga hivi ndo anajisikia vizuri na kujiona anakumiliki vizuri.

unajisikia raha kumilikiwa?
 
Abeg to differ ooo.

Mwanaume lazima awe na pesa na ahonge. Vijana hongeni wake zenu mtaenjoy duniani.

You live only once boys, make it right.

Wanapenda kuhonga ila ch kuhonga hakuna ndio maana wanalalamika, kijana mambo mengi si unajua anahangaika kujenga kamjengo na kausafiri sasa akihonga mwisho wa siku itakuaje maana bidada aliekuwa mrembo enzi zile za uhongaji ameshakuwa mtu mzima kipindi hicho wanafikiria future na ela nyingi wali-spent ili mwanaume ajenge jina nadhani kinadada inabidi wakubali kila kitu ni kwa kiasi na wametoka katika familia gani maana dada zetu nao ni balaa anaamini baba yake hana ela lakini mpenzi wake akisema hana hela ni kilio.
 
Mapenzi ni pamoja na pesa,ndo maana siku hizi hatuna ch mke wa mtu wala mume wa mtu,hiki ni kizazi cha nyoka,Huna pesa hakuna mapenzi wala ndoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom