Kama ndio hivi...wacha wapendwe tu.

Huu umasikini utawapeleka kubaya hawa mabinti!
How on earth money has ever bought love!!..thinking loud!
 
Kuna siku moja tulikuwa tumekaa na mzee mmoja wa makamo hivi kwa jili ya kinywaji jioni, huyu mzee ni mpenda totoz na hela anayo sana tu...tukawa tunazungumzia wazee wa style yake kuwa wamezidi kuhonga mpaka vijana tukitoa visenti vyetu tulivyosevu tunaonekana 'hatukei'! Mzee ni mnene kitambi hichooo....akasema 'look at me...hivi ni msichana gani mzuri kijana atanipenda mimi? its obvious ukiniona na msichana mzuri kijana anataka hela yangu tu, na mimi ninayo...kwa nini nisimpe nami nikapata nitakacho!'....ni kweli, wacha hii mibaba ipendwe tu, inajua kuhonga bana!
 
Umeona eeh

Maishani mwangu sijawahi ku admire mwanamke mwenye pesa ya kuhongwa...tena angekuwa binti yangu ningemchapa kiboko. Lol.

Ukichanganya na HIV hapo ni Matanuzi ya muda mfupi majuto ya kudumu.

Ila kubali matokea, na jua haupo peke yako kuna kitu kinaitwa UKIMWI wewe bado upo kwenye Twenties zee lishafikisha fifties or sixties hata likifa halina lilichobakisha wewe unakatika kwenye twenties kwa ajili ya PESA. Bora Binti ajisomee apate elimu yake anunue vyake....................
 
wazee hawana nguvu za kiume wanahonga just to be loved, vijana tunakula, wake zao, vimada wao na hizo pesa wanazohongwa na sie tunahongwa na vimada wao kupiga kazi all night long!
 
alafu mtu akishakuhonga kama ivyo ni vigumu sana kumcommand atumie kinga.
you relationship will be on his terms
 
wazee hawana nguvu za kiume wanahonga just to be loved, vijana tunakula, wake zao, vimada wao na hizo pesa wanazohongwa na sie tunahongwa na vimada wao kupiga kazi all night long!

Wewe na nani? Maana mimi sijawahi kuhongwa na mwanamke na sipendi kabisa kuhongwa na mwanamke kwa sababu nina pesa zangu mimi mwenyewe na sina njaa ya pesa hata kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom