Kama ndio hivi...wacha wapendwe tu.

sarikoki

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
1,194
721
Nimepanda lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati karibu na Ohio st.
Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu kwa sauti ya maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua kimya hivyo unasikia kabisa upande wa pili ni sauti ya kasichana... mazungumzo yalikua hivi.

Mzee.- What do you mean..i've told you before not to worry it is within my capability.

usichukue gari ya chini, chagu landcruiser au yoyote ya juu.

Mdada.- '............. .... ....... ..... ........ ........ .... ............

Mzee. - Ok no problem, njoo sasa ivi uchukue cheque kwa ajili ya kuwalipa NSSF .. niliongea namkurugenzi wake akanipromse a nice location for your appartment.... anyway we njoo ukifika go to reception i have already reserve a place....just wait me in the room nina kikao na waziri nikimaliza nakuja....

Niliwai kufika nikatoka liftini nikamuacha bado anaongea..... kwa kweli niliona hamna sababu ya kuwasema wadada wanaotembea na wazee... this dudes knows how to care jamani.

Aisee.... yaani hata haka ka cheque kangu ka laki saba unusu nilikokua naenda kukadai huku kidogo nibadili mawazo nikarudie kesho.
 
Ila kubali matokea, na jua haupo peke yako kuna kitu kinaitwa UKIMWI wewe bado upo kwenye Twenties zee lishafikisha fifties or sixties hata likifa halina lilichobakisha wewe unakatika kwenye twenties kwa ajili ya PESA. Bora Binti ajisomee apate elimu yake anunue vyake....................
 
Nimepanda lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati karibu na Ohio st.
Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu kwa sauti ya maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua kimya hivyo unasikia kabisa upande wa pili ni sauti ya kasichana... mazungumzo yalikua hivi.

Mzee.- What do you mean..i've told you before not to worry it is within my capability.

usichukue gari ya chini, chagu landcruiser au yoyote ya juu.

Mdada.- '............. .... ....... ..... ........ ........ .... ............

Mzee. - Ok no problem, njoo sasa ivi uchukue cheque kwa ajili ya kuwalipa NSSF .. niliongea namkurugenzi wake akanipromse a nice location for your appartment.... anyway we njoo ukifika go to reception i have already reserve a place....just wait me in the room nina kikao na waziri nikimaliza nakuja....

Niliwai kufika nikatoka liftini nikamuacha bado anaongea..... kwa kweli niliona hamna sababu ya kuwasema wadada wanaotembea na wazee... this dudes knows how to care jamani.

Aisee.... yaani hata haka ka cheque kangu ka laki saba unusu nilikokua naenda kukadai huku kidogo nibadili mawazo nikarudie kesho.

Ungemkata kidevu_hao ndio wanaochezea kodi zetu.
 
Ukisiki kamuakamua ndio hyo acha ajichengue wahuni wale vyao, wajinga ndio waliwao cku zoteee
 
Hahahaha....usishindane na tembo

Lakini kimsingi haimaanishi kuwa kama huna pesa au huhongi hutapata wakukupenda. Wapo tele tena wazuri wa kutosha

Abeg to differ ooo.

Mwanaume lazima awe na pesa na ahonge. Vijana hongeni wake zenu mtaenjoy duniani.

You live only once boys, make it right.
 
Wanasema Wazee kazi ndogo malipo makubwa,wakati vijana kazi kubwa malipo madogo,naamini nimesomeka!
 
Hongo si lazima iwe gari, nyie vijana jifunzeni.
yaani kuna wanaume hawawezi kumnunulia mke/mpenzi hata chu*i jamani!!!!
what counts is the thought and not how expensive is the present.
jifunzeni, mnatuchosha...
 
Wabongo umbea tu huwawezi.

Inawezekana meneja anamuelezea meneja mpya manunuzi ya gari na nyumba kama incentive ya kazi, kwa gharama ya kampuni, watu washaona mtu anahonga!

Au hata watu wanacheza mchezo wa kuigiza kuwatoa jasho wambeambea wanaopenda kusikiliza maongezi ya watu.

Get some headphones already.
 
Ahahaha...mbona simplo they care we fu#$%$#ck'em harddddddd...wanawanunulia magari sie tunayaendesha na kuyafurahia maisha ...wanawapangia na kununua appartments overlookin the sea..sie tunaishi humo na kuwagongea watoto wao...50/50..they pay we f##$$ck and get paid back.
 
..na hako kaschana kamemwacha jamaa yake geto manzese! Kulaleki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom