BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
hadi ule mtandao una mpa?? maana nasikia ndo hasa wanachofata huko kwenu......
aaaah huyu akicheza na wewe amekwisha.....labda 40 zake sisifike...Kwa nini utoke na mume wa mtu lakini?????................Huoni kama ni dhambi(unavunja mojawapo ya amri za Mungu na kuhatarisha ndoa ya mtu hivi hivi)........Ingekuwa mumeo anatoka na nyumba ndogo ungejisikiaje(yaani kama ungekuwa umeolewa)
You need the Holy Spirit..................
Kwa taarifa yako yeye ndiye anayening'ang'ania, na huyo mkewe sasa hivi ndo mapozeo, upo hapo?
da sophy huyo wako unaejua mna share wawili ukijua kuwa katongoza na watatu jee utafanyaje?
Dada mmoja alizoea kuwaambia watu wa namna hii ...... jihangaisheni tu ila mkumbuke kuwa mie ndo wa kwanza kuiona asubuhi na wa mwisho kuiona usiku- yaani lazima niione kila siku!!
Itakuwaje umehakikisha kuwa unaemuibia hajui ilhali anamchunguza mumewe??... Ukitaka kujua huyo mume wa mtu anakupenda mwambie amwache mkewe na akuoe wewe kama atathubutu,vinginevyo mnapunguziana mihemko tu..!!
Eniwei, kama unavyoona huyo jamaa hakuumbwa kwa ajili ya mkewe pekee na pia siyo kwa ajili yako tu!..
Nani kakuambia tunashea? Yule anayemwita mkewe kwani anafanya nini zaidi ya kumfulia nguo na kumtandikia kitanda mwenzie apumzike baada ya kunitimizia mpenzie wajibu. Ni kwamba pale anakwenda kulala tu, na siku mojamoja kupozea ile kidogo ya kutunzia nyumba, mwanamke mwenyewe hovyo, ni kwamba tu ndoa za kikristo zina kasoro hiyo huwezi kumwacha lakini pale ni hana mke.
Unaulizia kutongoza wengine, ataanzia wapi? Alivyoshikwa uzuri anajua mwenyewe, hafurukuti hata chembe. Hivi unajua kuna siku huwa nafanya kabisa bidii kumfukuza aende kwa mkewe maana sasa keshakuwa kama zuzu, analia kama mtoto kujutia alivyovaa mkenge wa huyo asiyejua maana ya kuolewa.
Na sikufichi namkamua kisawasawa. Yaani ni makamuzi ya kiukweli. Sigusi pesa yake, mie langu penzi tu. Yaani huyo mkewe angejua mumewe anamsemaga nini kwangu wakati ninapompa wallahi angewehuka, acha tu asijue. Na tumekubaliana kutunziana heshima, kwa hiyo suala la kujulikana ni hakuna. Kama ni wewe dada bht uwe na amani tu dear, hutojua kamwe.
haya haya .....hahaaaaaaa thats my role model!!!!
mwaga mapwenti yenye mashiko kwanza huyu da 'watever mi naona hajajitambua bado......wacha aendeleee kuharibiwa mpaka hapo atapojikuta voluntary actions zimekuwa involuntary!!!
ukweli utaendelea kuwa huoDada mmoja alizoea kuwaambia watu wa namna hii ...... jihangaisheni tu ila mkumbuke kuwa mie ndo wa kwanza kuiona asubuhi na wa mwisho kuiona usiku- yaani lazima niione kila siku!!
Pole sana!
Ndio mnavyodanganywa? Masikini wee; nyie ndo mnaishiwa kupelekwa round 5 na kina fide wakiwa wamepakia konyagi zao! Wiki nzima mko hoi by the end of it mzee anarudi kwenye tyt yake kwani huko haifuji kihivyo!
!
Karibu jamvini pole na chimbo.
Kwa taarifa yako yeye ndiye anayening'ang'ania, na huyo mkewe sasa hivi ndo mapozeo, upo hapo?
Nani kakuambia tunashea? .
aaaah huyu akicheza na wewe amekwisha.....labda 40 zake sisifike...
Nani kakuambia tunashea? Yule anayemwita mkewe kwani anafanya nini zaidi ya kumfulia nguo na kumtandikia kitanda mwenzie apumzike baada ya kunitimizia mpenzie wajibu. Ni kwamba pale anakwenda kulala tu, na siku mojamoja kupozea ile kidogo ya kutunzia nyumba, mwanamke mwenyewe hovyo, ni kwamba tu ndoa za kikristo zina kasoro hiyo huwezi kumwacha lakini pale ni hana mke.
Unaulizia kutongoza wengine, ataanzia wapi? Alivyoshikwa uzuri anajua mwenyewe, hafurukuti hata chembe. Hivi unajua kuna siku huwa nafanya kabisa bidii kumfukuza aende kwa mkewe maana sasa keshakuwa kama zuzu, analia kama mtoto kujutia alivyovaa mkenge wa huyo asiyejua maana ya kuolewa.
Nani kakuambia tunashea? Yule anayemwita mkewe kwani anafanya nini zaidi ya kumfulia nguo na kumtandikia kitanda mwenzie apumzike baada ya kunitimizia mpenzie wajibu. Ni kwamba pale anakwenda kulala tu, na siku mojamoja kupozea ile kidogo ya kutunzia nyumba, mwanamke mwenyewe hovyo, ni kwamba tu ndoa za kikristo zina kasoro hiyo huwezi kumwacha lakini pale ni hana mke.
Unaulizia kutongoza wengine, ataanzia wapi? Alivyoshikwa uzuri anajua mwenyewe, hafurukuti hata chembe. Hivi unajua kuna siku huwa nafanya kabisa bidii kumfukuza aende kwa mkewe maana sasa keshakuwa kama zuzu, analia kama mtoto kujutia alivyovaa mkenge wa huyo asiyejua maana ya kuolewa.
Asante mkuu..za siku tele? jamvi naona limeingiliwa na shangingi la sendroo..ha ha
anajidai hataki pesa yake wala nn madai ni mapenzi ya dhati, mie nikilifuma hili nalitwanga kisawasawa coz najua ananiharibia budget nyumbani, sio cjui kamshika mr cjui kitu gani, mie kwangu ni uharibifu wa budget tu(nitaanza na muhucka huyo aleta kiherehere ndo unamalizia mazimaaa)