Kama natoka na mumeo...

Si ndo hapo AU, imenibidi nijichunguze mara mbili mbili isije ikawa ninabishana na mke mwenza wa kiukwelii .... lucky me siyo.
unashtuka kutafuta shuka wakati KUMEKUCHA?halafu nyie wote ninavyowaona ni watu wazima, mnaonaje mmoja mwenye busara zaidi akakaa kimya kuepusha shari? hakuna asiejua kitu gani sahihi na ni kipi si sahihi wana JF wote tunajua juu ya hili. mnapojadili MUWA na SUKARI kipi kitamu mnatuacha hoi.Anyway ni mawazo yangu tu.
 
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?

Itakuwaje umehakikisha kuwa unaemuibia hajui ilhali anamchunguza mumewe??... Ukitaka kujua huyo mume wa mtu anakupenda mwambie amwache mkewe na akuoe wewe kama atathubutu,vinginevyo mnapunguziana mihemko tu..!!
Eniwei, kama unavyoona huyo jamaa hakuumbwa kwa ajili ya mkewe pekee na pia siyo kwa ajili yako tu!..
 
sawa baba no assumptions....

atoke na wakutoka naye akitoka na wangu nikajua yeye ndo anakamua ile cream/top layer afu mi naletewa makombo hayana nguvu.................hapatatosha!!!!!

Na sikufichi namkamua kisawasawa. Yaani ni makamuzi ya kiukweli. Sigusi pesa yake, mie langu penzi tu. Yaani huyo mkewe angejua mumewe anamsemaga nini kwangu wakati ninapompa wallahi angewehuka, acha tu asijue. Na tumekubaliana kutunziana heshima, kwa hiyo suala la kujulikana ni hakuna. Kama ni wewe dada bht uwe na amani tu dear, hutojua kamwe.
 
Tall ninavyoelewa jamvi hili hakuna uhalisia kabisa so hapa mie najibishana na huyu kama mchangia hoja tu wala si vinginevyo so pamoja na mawazo yako mazuri usiwe na shaka am not taking it personnaly couse there is nothing to take !! Relax
 
kanisa litakaloruhusu hayo bado halijasajiliwa
 

Kwa taarifa yako yeye ndiye anayening'ang'ania, na huyo mkewe sasa hivi ndo mapozeo, upo hapo?
 

haya haya .....hahaaaaaaa thats my role model!!!!
mwaga mapwenti yenye mashiko kwanza huyu da 'watever mi naona hajajitambua bado......wacha aendeleee kuharibiwa mpaka hapo atapojikuta voluntary actions zimekuwa involuntary!!!
 
We nyamayao ndie usie elewa lol mwenzio hachanganyi maana kwa mkewe jamaa anashughulikia side A wakati kwa Da Sophy ni side B. Lol kuna wau wamepinda lol!

kweli dear naona akili zinaniruka, watu kama hawa cku ya cku unalikuta mahali na mr unaanza na mr akiingiza kiherehere(mana anaonekana anacho) unammalizia kabisa, yaani unaharibu akitoka hapo hatamaniki kwa mume wa mtu wa kwa hao waoaji waliobakia....hajakutana na watu huyu.
 

Kwa nini utoke na mume wa mtu lakini?????................Huoni kama ni dhambi(unavunja mojawapo ya amri za Mungu na kuhatarisha ndoa ya mtu hivi hivi)........Ingekuwa mumeo anatoka na nyumba ndogo ungejisikiaje(yaani kama ungekuwa umeolewa)


You need the Holy Spirit..................
 

Kweli mtu mzima haulizi shimo liko wapi..sasa unavyotoka na huyo mume wa mtu hawachanganyi eeh? au kakuambia wewe ndo mmliki wa lile dude tu!!..kweli unadanganyika Sophia!
 
Kwa taarifa yako yeye ndiye anayening'ang'ania, na huyo mkewe sasa hivi ndo mapozeo, upo hapo?

wewe ndo mapoozeo, naomba t ujue hilo!!!

mwenzio ni mpaka ....'death do them apart'

chezeaaaaaaaa sasa mamii!!
 
tall ninavyoelewa jamvi hili hakuna uhalisia kabisa so hapa mie najibishana na huyu kama mchangia hoja tu wala si vinginevyo so pamoja na mawazo yako mazuri usiwe na shaka am not taking it personnaly couse there is nothing to take !! Relax
ok, umesomeka.halafu cha ajabu wawezakuta dasophy ni bonge la jibaba lenye midevu na masharubu.
 

Loh..acha kujitamba na mume wa mtu.
Ungekua na maana kwake wewe ndo ungekua ndani badala ya mke wake.
Kama hampendi yeye na anakupenda ww amuache basi ili akuoe wewe.Eti
anakupenda.....usiku anakua na nani....familia yake inamjua nani...unatambulika
wapi????Jidanganye kua anakupenda ila ukweli ni kwamba hata kukuheshimu
hakuheshimu na ndio maana uhusiano wenu ni wakujificha...!Ohh mke wake hili..
mke wake lile...ananipenda...blah blah blah..mwisho wa wote mke wake ni
bora kuliko wewe na ndio maana wewe unajua kuhusu yeye ila yeye hajui kuhusu wewe.:yuck:
 
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?

"Kilichounganishwa na Mungu mwanadamu asikitenganishe"

Ole wako ukikaye maagizo ya Mungu!
 
Da sophy mwambie amteme mkewe akuoe wewe! Oooh I forgot wewe humtaki anaekung'ang'ania ni yeye
 
ok, umesomeka.halafu cha ajabu wawezakuta dasophy ni bonge la jibaba lenye midevu na masharubu.
Hapo sasa!! Kaamua kuchangamsha jamvi lol mie nimechoka wajameni ngoja nipumzike nende siasani!
 

yaani wewe akili ya mwanaume ya kukojoa ndio unaichukulia kwenye maisha halic..ukiambiwa nakujengea ghorofa weee unaamini coz unampa? mkumbushie akimaliza mkojo umckie bac.....BJ amekwambia hebu jaribu kumwambia amwache mkewe we uingie kama itawezekana?
 
mi nakukosea mfano......
where do I categorize you in this case???

and you are so proud of yourself huh!!!! unaona fahari kukamua haki za wenzio za msingi si ndio???

ukichezea kwangu, kisu cha tumbo is my promise to you........(am a palestinian by 'tribe') za mwizi arobaini!!!
 
Dada mmoja alizoea kuwaambia watu wa namna hii ...... jihangaisheni tu ila mkumbuke kuwa mie ndo wa kwanza kuiona asubuhi na wa mwisho kuiona usiku- yaani lazima niione kila siku!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…