Kama natoka na mumeo...

Chrispin muoneee huruma .........hajitambui. mapenzi ya mume wa mtu yeshamchanganya
 
hehehe hii sredi imekaa kama wimbo wa rusha roho a.k.a mipasho. wapi mzee yussuf aweke chorus?. acha nisepe!. klorokwini iz not richebo in zis useless sredi.
 

 

Mapozeo ni huyo mkewe anayemdekia chumba chake na kumkanda misuli baada ya kazi ngumu ya kunitimizia mwenzie. Yeye si ana pete ya ndoa na alifanyiwa harusi kubwa akaserebuka na mashosti zake, alishapata haki yake hiyo inamtosha mie ninaye mume kwa raha zangu. Halohaloooo! Kama alijua ujanja ndoa basi anayo pete inamtosha atajijuuuu!
 
Da Sophy anatuhadaa anataka tukubaliane na matakwa yake...
Kumbuka methari isemayo muosha huoshwa .................................................................!
 
Chrispin muoneee huruma .........hajitambui. mapenzi ya mume wa mtu yeshamchanganya
Na si ajabu ndo mapya yaani hata miezi kadhaa hayana so ni ile novelity hali ya upya wa mapenzi ndo unampa wendawazimu. Ngoja jamaa akinai atafute makazi mapya. Atajibeba
 

Dah! sasa nimeamini kweli zinakutosha dada/kaka yangu!
 

Hahahaha mama kutembea na mme wa n'tu ni uchangu mwambie aweke wazi akuoe kabisa.
 

mm bado sijaoa naweza fikiriwa hiyo nafasi??
 
Dah Sophy we ni Member wa blog ya U-turn? (mange)
 
Tatizo lenu hamjui kula na kipofu. Unatemebea na mume wa mtu halafu unaanza kufanya chokochoko mpaka mkewe ajue! Halafu unasingizia eti mkewe anamchunguza!


wanakuwaga na vizabina zabina kama nini cjui, unakuta mwanaume yupo home saa 5 ucku yeye ni ku beep weee vi sms mfululizo unashangaa tu mr anaminya fone kuizima kwanini wife asihoji? halafu hakunaga mtu anakuwa na mume wa mtu kwa mapenzi, ni full wanachuna, na wacjidanganye eti tunachunguza, wengine muda wa kuchunguza hatuna tunalala nao na kuamka nao hao mabadiliko yao tunayanyaka kwa sec tu, ndipo hapo kasheshe linapoanzia....
 

with a mentality like this kisha useme unajiheshimu?! hujiheshimu my dear .................mwenye kijiheshimu hawezi kumvunjia heshima mwenziwe kwa maneno ya kifedhuli ya namna hii hata siku moja
 
Kwa hiyo wewe watimiziwa chumbani kwa mke mwenzio? Kweli unajiheshimu dada yangu.
Nikwambie siri
Huyo mke mwenzio siku akiamua kumchanganya mumeo kwa mahaba wewe pasi yako ni rahisi kufutika maana imeandikwa kwa penseli. na kwa maana hiyo anakuja kwako kupoza mapungufu anayoyapata kwa mkewe au kwenye familia yake. ukubali usikubali MAPOZEO ni wewe na wewe utabaki MAPOZEO na vile vile ukishachuja litatafutwa POZEO lingine au atarudi kwa mkewe. Hakunaga nyumba ndogo ya daima bibie!!
 
haya sasa tuseme umeolewa, na mimi namchukua wako ukijua utafanyaje???

si mpaka niolewe babu wee! na ikitokea nimebahatika hivyo nakuapia hakuna wa kumchukua mume wangu, nazijua mbinu zote! Kwa taarifa yako niliyenaye ananiambia kila kitu kinachotokea huko kwake na mkewe hadi yanamshinda. Na mashosti zangu wengine wananisimulia mambo kibao tu, yaani nina elimu acha. Labda tu asitokee wa kunioa, lakini akija kwangu haendi popote nakuapia, makosa yote ya walioolewa nayajua.
 

Hii Full Mipasho hakyanani.... Traventine Styles:A S 41:
 
Jamani Da Sophy mshari huyu ana maneno makali ngoja nirudi kibaruani ...
 
Hahahaha! Ndio madhara ya raba mtoni hayo. Mpaka kwenye key board!

biggy vipi kwani nimemaanisha ni kama alipakwa mlenda, nilimtafuta naambiwa alikuwa hapa alikuwa pale aaah mwisho nikahisi kafukiwa pamoja na mzee....(RIP baba Iribini)
 

sasa ukitulia nae utapata wako lini? manake anakupotezea tu muda, kukubana anakubana yeye akitoka hapo anaenda kwa mkewe wewe wajilalia cku zinasonga, utapataje wa kwako kwa gia hii?au una malengo yae mengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…