Kama natoka na mumeo...

Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?
1.usiseme mkewe hajui kesha jua na ndio maana anamchunguza,muda mfupi ujao atakung'oa meno.
2.Kama mngekuwa waislamu,mngeoana,inaonyesha unataka kufanya mapinduzi.
3.Unaonekana kukerwa kwa kuchunguzwa mpenzio,sababu unamwonea wivu.

Jamaa kakuchanganya sana dada yangu,spidi unayokwenda naona ni kali sana,angalia kuna MASHIMO,watoto,watembea kwa miguu na sehemu zingine kuna zebra crossing yote hayo yapo barabarani.
 
na wewe wa kwako tukitoka naye itakuwaje????
yeye hana mume sasa!!
Waume wenyewe ndo sisi, wale ambao hawajaoa hawafai.......vizuri vipo vichache bana na ndio kama hivyo tena tushachukuliwa.
 
yeye hana mume sasa!!
Waume wenyewe ndo sisi, wale ambao hawajaoa hawafai.......vizuri vipo vichache bana na ndio kama hivyo tena tushachukuliwa.
Mi nashangaa wanamuonea dada sophy ivi ivi maana ye kapendwa sasa afanyaje na hana mume?
 
Da Sophy mwaya endelea kwa raha zako, tena nenda kabisa kajitambulishe kwa mkewe jamaa ukimweleza kuwa hutakaa umvunjie heshma yake wala kumletea ugomvi we ulichopenda cha mumewe so unaomba ruhusa rasmi akubali mshee. Nenda kistaarabu mambo yatakuwa byee na wala hatamchunguza tena.
 
Na mie nimetongozwa kama wewe na MO mlivyotongozwa!!!..i hope mwenzangu hili halitakushutua!..geeeeez!

da sophy karusha jiwe gizani naona limewapata wengi ... nahisi kama kuna watu anawalenga na wanajuana vile!!
wapi mamaaa FL1??
 
Duh Da Sophy mbona una makubwa weye! Ni Ujumbe unataka kuufikisha kwa muhusika nini? Maana sielewi msukumo umetokana na nini!

Eti Kama unatoka na mume wangu, ushasema ni wangu yaani si wako so ni mali yangu, yangu peke yangu wengine wote wanaomtumia ni wevi so kama unafurahi kuitwa mwizi sawa tu ila nijuavyo mie mume/mke wa mtu anauma!!

eye5.gif

Da Sophy mwaya endelea kwa raha zako, tena nenda kabisa kajitambulishe kwa mkewe jamaa ukimweleza kuwa hutakaa umvunjie heshma yake wala kumletea ugomvi we ulichopenda cha mumewe so unaomba ruhusa rasmi akubali mshee. Nenda kistaarabu mambo yatakuwa byee na wala hatamchunguza tena.
 
Da Sophy mwaya endelea kwa raha zako, tena nenda kabisa kajitambulishe kwa mkewe jamaa ukimweleza kuwa hutakaa umvunjie heshma yake wala kumletea ugomvi we ulichopenda cha mumewe so unaomba ruhusa rasmi akubali mshee. Nenda kistaarabu mambo yatakuwa byee na wala hatamchunguza tena.
Mh!! MJ1 akikutana na Mke mweye wivu ka wa Bujibuji naona atakua analifuata kaburi!!
 
da sophy .....njoo utupe maelezo ya jinsi utakavyo react ukisikia mpenzi wako mume wa mtu kumbe ana na mwengine namba 3 pembeni ........patamu hapo
 
Nini katikati? Mi nimesoma ndani ya mistari! Appreciated, indeed.....and its almost Friday, and me is preparing myself for the Friday!
Bado nawaasa hawa kina dada waache uchoyo, wakubali kugawana kidogo kilichopo.

sasa mbona juzi kinondoni uliniteleza, na wewe pia mchoyo!!!!
 
Huyo akikuchoka uje na kwangu. Mke wangu hana tabia ya kunichunguza.

Wewe hazikutoshi kumbe. Kama shida yako ndiyo hiyo nenda kwa machangu, mie najiheshimu. Au kwa vile nimesema natoka na mume wa mtu ndo unadhania hivyo. Siko kihivyo kakangu, hata kama mpenzi wangu ana mke lakini mimi nimetulia naye sina mambo ya kichangu. Ni bahati mbaya tu sina mume lakini huyu bwana niliyenaye nimetulia naye kiukweli.
 
da sophy .....njoo utupe maelezo ya jinsi utakavyo react ukisikia mpenzi wako mume wa mtu kumbe ana na mwengine namba 3 pembeni ........patamu hapo

Mbona mnampa assumption da Sophy wa watu...ye keshasema kama ataheshimiwa hana neno life goes on!!
 
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?

Da Sophy ni dhambi kuiba mme wa mwenzio kwa nn usitafute wako??
Post yako imenichosha ingawa ni short lakini msg send
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom