Hii dingirizi pale gorofani watoto wa masaki si watanimaindi?
Au hujaona huu mkwaju niliotinga miguuni? DH orijino from Japan.
Mchaga mbele ya ngawira wigi lisivalike? unacheza nini mamushka.Mtaji tayari tunao,mchumba mistari inapanda kuzidi witness na chege.
nipo hommie!..........\
Na sio pale korogwe opp na daladala stand? Geoff simuoni kabisa humu ndani
:brick:wakati mamba anakutafuna B!....Bora hata angekutafuna kisamaki samaki walau ungemwangalia kwa jicho la huruma lakini mamba atakumeza mzima mzima na hurudi wala hufurukuti! ohoo...(am out)
nipo hommie!..........
jst watching the movie
mpwazz wajameni:brick:
Hili haliishi mamaa! kuna maslahi ya wapwa humu!!Hii sredi bado inaendelea ?
Hii sredi bado inaendelea ?
na inavyokimbia sijui hata nianzie wapi
nipo hommie!..........
jst watching the movie
vuta vuta kiaina!mkoloni hana maana kabisaVipi nilianzishe au bado mdogomdogo?
hahahahahahahah!Binamu movie gani
American Ninja or?
soma kiarabu wa kwetu!!!
Hili haliishi mamaa! kuna maslahi ya wapwa humu!!
huwa tunasamehe kiutu uzima.sio mpaka upige goti.Hiki ndicho walichojaaliwa kinamama lakini wanaume wamenyimwa kabisa. Wanaume wanaoweza kufanya hivi kwa wake zao wajiorodheshe haa (sitashangaa asipojitokeza yeyote!). Wapo wanaodai wanaweza kusamehe, lakini inakuwa magirini tu, kila siku akiudhika anakukumbusha ulichotenda! Kwa hiyo habari ya 'raha mustarehe' bado nina mashaka nayo.
Single mothers na mabinti wa single mothers mnisamehe, hii ni imani ninayo siku nyingi na sijapata ushahidi kinyume nayo. Nahisi huyu Da Sophy ni binti wa single mother. Hii tabia kajifunza kwa mamake. Kama kwa mfano wewe ni binti na katika kukua kwako kote mwanaume uliyekuwa unamuona akiamkia chumbani kwa mamako ni yule part-timer ambaye mama alikuwa ana-download kutoka kwa mkewe mtaa wa pili, utajifunza nini?
Nilipokuwa mwaka wa tatu chuo nakumbuka kuna binti alikuwa anasema bila kificho kuwa hana mpango wa kuolewa, sanasana atazaa mtoto wake mmoja basi. Sasa nikawa najiuliza niliposoma hii thread, suppose yule classmate wangu (sijui aliko sasa) akizaa sasa huyo mtoto na ikatokea ni binti, tutashangaa nini akileta hapa tabia kama za Da Sophy?
Like begets like, mwana wa nung'aembe ni nung'aembe
Swali (narudia); kutokuolewa ni kosa?Ukisema single mothers unageneralize kuna wale wengine ambao by fate wanajikuta ni masigle parents/mothers but si kwa kupenda so si lazima awe na tabia kama za mamake.
Should we say the same to senior bachelors?
na wewe wa kwako tukitoka naye itakuwaje????