Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
mamii siku hizi hatuna hofu ya Mungu
Hata kama hatuna hofu ya Mungu, hii inatisha. watu kama hawa wanatamani hata kumuua mke wa huyo jamaa ili aolewe yeye, maana si anasema kinachozuia ni dini?
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?
hilo halimtoi huyu bibie kwenye makosa kwa sababu hata yeye anajua huyo ni mume wa mtu na nimakosa kufanya afanyayo.
huwezi kuhalalisha haramu kwa haramu bwana!!!
Nalitambua hilo. Lakini hata kama si Da Sophy, anaweza akawa Da' Chiku, Da' Asha, nk....kwa hiyo hapo utaona kuwa tatizo kuu ni uaminifu na uadilifu wa huyo mwanamme. Da Sophy akimtolea nje huyo jamaa guess what he'll most likely do...he'll go on to the next one.
na mwingine akimtolea nje na mwingine na mwingine!!!!! he will definitely take his balls back to his wife!!!
Nope..not necessarily...he can still go buy a hooker, right? Ndio maana nasema tatizo kuu na sugu ni mwanamme. Na let's say akamfuata demu mwingine ambaye sio hooker...huoni uwezekano wa yeye kumdanganya huyo demu mwingine kuwa yeye yuko single?
Nakubali it takes 2 to tango and 1 golden rule ni no man is unattached. Once u believe this pick up line umekwisha... Infact if women who are said to be of ill-repute were not there...where would that man go to? I guess back to their wife and lovely children!
Women should not make themseleves potential/vulnerable targets.
Nope..not necessarily...he can still go buy a hooker, right? Ndio maana nasema tatizo kuu na sugu ni mwanamme. Na let's say akamfuata demu mwingine ambaye sio hooker...huoni uwezekano wa yeye kumdanganya huyo demu mwingine kuwa yeye yuko single?[/QUOTE]
thats a different case, huyu dadaako hapa anafanya knowingly that this guy is a married person!!

Knowingly or not, mkosaji mkuu ni mwanamme anayekiuka kiapo chake kwa mkewe. Huyo jamaa hafai kuwa mume wa mtu. We utapenda kuwa na mume kama huyo? Au mume wako akicheat utamsamehe tu na kusema ni kosa la kimada aliye cheat naye?
Mwanamme anaweza akamdanganya mwanamke kuwa yeye yuko single....hapo utafanyaje sasa?
Hujawahi kusikia au kuona wanaume wanaotoa pete zao za ndoa wakitoka nyumbani?
U will know a man who is married or attached. Wengi they will make the dissappearance act, simu unreachable au wanataka uwapigie some specific times, never take u home or introduce u to their friends...infact if you are inquisitive, utaona kialama kwenye kidole cha pete - it always leaves a mark.. and also their comfortability when you go out.
There are always tale tale signs and one should be able to read them... ndo maana golden rule always start from the premise...there is no man unattached.
Nakubali it takes 2 to tango and 1 golden rule ni no man is unattached. Once u believe this pick up line umekwisha... Infact if women who are said to be of ill-repute were not there...where would that man go to? I guess back to their wife and lovely children!
Women should not make themseleves potential/vulnerable targets.
U will know a man who is married or attached. Wengi they will make the dissappearance act, simu unreachable au wanataka uwapigie some specific times, never take u home or introduce u to their friends...infact if you are inquisitive, utaona kialama kwenye kidole cha pete - it always leaves a mark.. and also their comfortability when you go out.
There are always tale tale signs and one should be able to read them... ndo maana golden rule always start from the premise...there is no man unattached.
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?
Nimegundua kwamba wengi wetu tumeijadili more subjectively zaidi.....na sio objectively. Tumeelezea hisia zetu zaidi in a normative way...
Walau mwishoni mkuu Nyani Ngabu amejaribu kuongelea upande mwingine wa shilingi na nadhani tungeanzia hapo