Kama mwanamke una haki ya kujivuna, kuringa

!
!
uwe unaringa au kujivunia kama ukikojo@ unachimba....mwanamke akikojo@ kojo linasambaa kama nini bado aringe?aaah acheni masihara jamani
 
owk!!mi nikajua
ni mwanamke yeyote,mama
mpenzi dada nk!!asante kunijuza!!

karibu,ingawa inasemekana kuwa mvulana au mwanaume akioa,,,ana nafas kubwa ya kufanikiwa,maana anakua na utulivu wa nafsi/moyo,ila hili hutokea iwapo mke hana matatizo,na mume anamsikiliza mkewe anapopewa ushauri,hasa wenye tija,sometimes things are not moving smooth coz we r lonely
 
​kweli kabisa uyasemayo!!
 
Back
Top Bottom