Wahenga wanasema wanawake ni wajinga, lakini wanaume ni wapumbavu, mjinga anaelimika -------- hubaki na upumbavu wake
Wanawake wana nguvu na kwakweli ndio wanaendesha dunia, tunaambia kila mwanaume mwenye mafanikio nyuma yake kuna mwanamke
Utakuwa boss ofisini, afisa mkali jeshini, rais wa nchi jambazi sugu, mbabe wa vita lakini ukishawekwa kati huko faraghani hupumui, vyeo vyako vyoote si kitu mbele ya jinsia hii uwapo mtupu faraghani
Kila msanii anayetaka kuonekana amependeza,atasuka na kunyoa mitindo na kutoga masikio kaa mwanamke au atajipodoa kupita kujipodoa kwa kawaida kwa mwanaume, wanawake wanatawala jamani
Wanawake wana uvumilivu na ustahmilivu wa ajabu mno pote duniani, unamuolea mkemwenza anakasirika yanaisha, anakufumania unaomba msamaha yanaisha , hakika wanaume hawawazi sanasana utasikia paa paa paa keshauwa...!
Ni raha kuzaliwa mwanamke ana manouver yote ya kumfanya mwanaume afanye asichotaka kufanya
Kumbuka habari za Delila, Cleopatra ni wengine wengi ...Wanaume tumefeli au tumefaulu kwasababu ya wanawake na sikwa ujanja wetu tu
As a woman be proud to be created as a woman