Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,330
- 33,954
Ngoja waje wenye kokoro laoMwalimu Julius Nyerere kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kuifananisha CCM na kokoro ambayo ni nyavu inayonasa kila kitu pamoja ya uchafu wa majini...
Mwalimu Julius Nyerere kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kuifananisha CCM na kokoro ambayo ni nyavu inayonasa kila kitu pamoja ya uchafu wa majini...
Kwenye "Contex" ya hoja yake ni kweli "Time limit" kwa wakati ule ndani ya CHADEMA ilikuwa ni hanasa. Kama uchaguzi unafanyika na nafasi nyingine zinakosa watu, kwa nini kuwe na ukomo wa watu kuwa madarakani. Aliposema "walati ule" hukumsikia??Kama mwalimu angekuwepo mpaka leo na akamsikia mtu anasema "time limit" kwenye uongozi ni anasa ,nawaza sijui angefanya nini?
Ujinga ni kutokujua jamba jinsi linavyofanyika. CCM chama cha kijamaa kinakuwaje asilimia 70 ya vingozi wake ngazi ya taifa ni mabepari. Huoni hiyo ni tabia ya kokoro!!?Babu jinga na uzi wa kijinga kuwahi kutokea.
Mabadiliko ya Sheria, kanuni hayana budi kuendana na Mazingira ya wakati uliopo. Ili kubadali kipengele hiko kwenye katiba ya CHADEMA hayakuhitijika mabadiliko makubwa ya katiba ila mpaka leo kipengele hicho kimefinyangwa na kinatetewa kwa hoja zisizo na mashiko.Kwenye "Contex" ya hoja yake ni kweli "Time limit" kwa wakati ule ndani ya CHADEMA ilikuwa ni hanasa. Kama uchaguzi unafanyika na nafasi nyingine zinakosa watu, kwa nini kuwe na ukomo wa watu kuwa madarakani. Aliposema "walati ule" hukumsikia??
Mwalimu Julius Nyerere kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kuifananisha CCM na kokoro ambayo ni nyavu inayonasa kila kitu pamoja ya uchafu wa majini.Mwalimu Julius Nyerere kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kuifananisha CCM na kokoro ambayo ni nyavu inayonasa kila kitu pamoja ya uchafu wa majini.
Kwa maana nyingine Mwalimu aliona CCM ina wanachama ambao hawastahili kuwemo CCM lakini wamo. Kama Mwalimu Nyerere ambaye muasisi wa CCM aliiona CCM kwa jicho hilo la mashaka. Wewe ni nani unayeitetea CCM kwamba ni safi?
Au tuseme angewaona wale wa taasisi ya chawa wa ma mama.. Hapo vipiKama mwalimu angekuwepo mpaka leo na akamsikia mtu anasema "time limit" kwenye uongozi ni anasa ,nawaza sijui angefanya nini?
Kama aliiona na kutuambia kwamba ni mbovu,basi alikuwa mwema.Changamoto ni ya kwetu kutoichukua na kufanya hatua zaidi.Yeye alimaliza kipande chake.Uoneshwe mtaro na utake kubebwa kuvushwa?Uzembe huo ustaadh!Nyerere huyu huyu aliyeiona katiba yetu ni mbovu mno ,maana inaweza kutuletea dictator na akaa kimya, je Nyerere alikuwa ni ICON au just a State strong man?
...Na hii ndio tofauti ya ICON na State Strongman!,yeye ndiye aliyeisimamia na kuunda hii katiba mkuu!,yaani pata muda goggle na jisomee katiba ya Namibia, then jiulize sisi tulipotea wapiKama aliiona na kutuambia kwamba ni mbovu,basi alikuwa mwema.Changamoto ni ya kwetu kutoichukua na kufanya hatua zaidi.Yeye alimaliza kipande chake.Uoneshwe mtaro na utake kubebwa kuvushwa?Uzembe huo ustaadh!
Tulipotea,sawa.Wakati ni sasa!...Na hii ndio tofauti ya ICON na State Strongman!,yeye ndiye aliyeisimamia na kuunda hii katiba mkuu!,yaani pata muda goggle na jisomee katiba ya Namibia, then jiulize sisi tulipotea wapi
Kusanyiko la vilaza wa CCM waliopo mjengoni ndiyo uthibitisho wa kauli ya Baba wa Taifa.Mwalimu Julius Nyerere kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kuifananisha CCM na kokoro ambayo ni nyavu inayonasa kila kitu pamoja ya uchafu wa majini.
Kwa maana nyingine Mwalimu aliona CCM ina wanachama ambao hawastahili kuwemo CCM lakini wamo. Kama Mwalimu Nyerere ambaye muasisi wa CCM aliiona CCM kwa jicho hilo la mashaka. Wewe ni nani unayeitetea CCM kwamba ni safi?
Wewe fikiria mtu kama Jilala yupo CCM. Siku zote yeye kazi yake ni kutetea uovu na waovu. Haiwezekani mtu mwema/msafi akawa anatetea uovu. Kwa vyovyote mtu kama Jilala atakuwa ni miongoni mwa watu wachafu kabisa waliopo CCM. Na huyu ni sample tu. Wapo wengi wa namna hiyo.Mwalimu Julius Nyerere kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kuifananisha CCM na kokoro ambayo ni nyavu inayonasa kila kitu pamoja ya uchafu wa majini.
Kwa maana nyingine Mwalimu aliona CCM ina wanachama ambao hawastahili kuwemo CCM lakini wamo. Kama Mwalimu Nyerere ambaye muasisi wa CCM aliiona CCM kwa jicho hilo la mashaka. Wewe ni nani unayeitetea CCM kwamba ni safi?
Chama kinachoweza kumpa lowasa kugombea urais unakitenganishaje na ukokoro?Ujinga ni kutokujua jamba jinsi linavyofanyika. CCM chama cha kijamaa kinakuwaje asilimia 70 ya vingozi wake ngazi ya taifa ni mabepari. Huoni hiyo ni tabia ya kokoro!!?
Eti kilaza Babu Tale naye ni mbunge !!!!Kusanyiko la vilaza wa CCM waliopo mjengoni ndiyo uthibitisho wa kauli ya Baba wa Taifa.