Kama Mungu yupo basi hataki tumjue

Kama Mungu yupo basi hataki tumjue

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
6,201
Reaction score
12,565
Huu ndio ukweli, haya mengine ni umbea tu wa binadamu

Kama kweli Mungu yupo basi hataki tumjue, wala hataki tumuabudu na hataki tufuate sheria zake.

Angekuwa anataka tumjue angejionesha au aongeonesha ishara kuwa yupo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuambia sisi direct, kila kizazi angekiambia kwa wakati wake, tena sasahivi kuna teknolojia habari zake zingesambaa jwa kasi among people. Kuliko kutegemea eti watu wataamini uwepo wake kupitia story za vizazi ambavyo hatuna hata uhakika kama vilikuwepo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuelekeza mwenyewe. Leo kuna Ukristo, uislamu, Buddha, Uhindu na bado kuna atheist ambao hawaamini, na Mungu anaonekana hata hajali. Maana angekuwa anajali angekuja kutuambia namna sahihi ya kumuabudu ni ipi, na angekuja kuwasihi wasioabudu waanze kumuabudu

Lakini yupo kimya miaka yote hii, maana yake hataki usumbufu. Tupunguze umbea na kujipendekeza
 
Angekuwa anataka tumuabudu angetuambia sisi direct, kila kizazi angekuambia, tena sasahivi kuna teknolojia habari zake zingesambaa jwa kasi among people. Kuliko kutegemea eti watu wataamini uwepo wake kupitia story za vizazi ambavyo hatuna hata uhakika kama vilikuwepo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuelekeza mwenyewe. Leo kuna Ukristo, uislamu, Buddha, Uhindu na bado kuna atheist ambao hawaamini, na Mungu anaonekana hata hajali. Maana angekuwa anajali angekuja kutuambia namna sahihi ya kumuabudu ni ipi, na angekuja kuwasihi wasioabudu waanze kumuabudu

Lakini yupo kimya miaka yote hii, maana yake hataki usumbufu
Siti ya mbele kabisa kusikiliza hoja za watu na Miungu yao

giphy 12.GIF
 
Huu ndio ukweli, haya mengine ni umbea tu wa binadamu

Kama kweli Mungu yupo basi hataki tumjue, wala hataki tumuabudu na hataki tufuate sheria zake.

Angekuwa anataka tumjue angejionesha au aongeonesha ishara kuwa yupo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuambia sisi direct, kila kizazi angekiambia kwa wakati wake, tena sasahivi kuna teknolojia habari zake zingesambaa jwa kasi among people. Kuliko kutegemea eti watu wataamini uwepo wake kupitia story za vizazi ambavyo hatuna hata uhakika kama vilikuwepo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuelekeza mwenyewe. Leo kuna Ukristo, uislamu, Buddha, Uhindu na bado kuna atheist ambao hawaamini, na Mungu anaonekana hata hajali. Maana angekuwa anajali angekuja kutuambia namna sahihi ya kumuabudu ni ipi, na angekuja kuwasihi wasioabudu waanze kumuabudu

Lakini yupo kimya miaka yote hii, maana yake hataki usumbufu. Tupunguze umbea na kujipendekeza
Mumgu muweza yote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote hayupo, ni wa hadithi tu.

Hata hao waliotupigia hizo hadithi washaacha ujinga huo sisi tu wa nchi ambazo tuliozisikia habari jana na juzi ndiyo tumezishikilia bado.
 
Ningefanya tu kama huyu Mungu wanaetuambia yupo
Ningejichimbia mbali huko na kuacha watu waishi wanavyotaka.
Ukishakuwa mfinnyangwa tiari uko limited, mawazo yako yafatwe na creator tiari anakuwa hana sifa za huo u creator.
Kama ingekuwa rahisi basi wewe kuwa creator😁, sifa lazima uwafumbe , unawaachia nafasi kidogo ya kujiuliza na wasipate jibu.
 
Wewe umejuaje hili wakati na wewe ni mfinyangwa??It means akili zetu zote ziko limited kwa point yako..
 
Nataka kuacha pombe kabisa, lakini nitakunywa kila wikiend.

Nataka kupunguza pombe, hivyo nitapunguza mara chache tu.
Ulimwengu ungekuwa unaonekana una logical consistency na sifa zangu kama Mungu.

Unaelewa logical consistency ni ni
 
Huu ndio ukweli, haya mengine ni umbea tu wa binadamu

Kama kweli Mungu yupo basi hataki tumjue, wala hataki tumuabudu na hataki tufuate sheria zake.

Angekuwa anataka tumjue angejionesha au aongeonesha ishara kuwa yupo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuambia sisi direct, kila kizazi angekiambia kwa wakati wake, tena sasahivi kuna teknolojia habari zake zingesambaa jwa kasi among people. Kuliko kutegemea eti watu wataamini uwepo wake kupitia story za vizazi ambavyo hatuna hata uhakika kama vilikuwepo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuelekeza mwenyewe. Leo kuna Ukristo, uislamu, Buddha, Uhindu na bado kuna atheist ambao hawaamini, na Mungu anaonekana hata hajali. Maana angekuwa anajali angekuja kutuambia namna sahihi ya kumuabudu ni ipi, na angekuja kuwasihi wasioabudu waanze kumuabudu

Lakini yupo kimya miaka yote hii, maana yake hataki usumbufu. Tupunguze umbea na kujipendekeza
😂😂😂😂.... Dah, Yaa Bin Adam
 
Mungu yupo tu...
Kama Mungu yupo, ni muweza wa yote na anataka uhusiano nasi, angefanya uwepo wake uwe wazi kabisa.
Badala yake, tuna dini nyingi zinazopingana, hadithi za zamani, na watu wengi wanaobaki kimya au hawamwamini. Hivyo, labda hataki "usumbufu" au hatupo kwenye orodha yake, huenda tunajipa umuhimu ambao hatuna kwake
 
Mumgu muweza yote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote hayupo, ni wa hadithi tu.

Hata hao waliotupigia hizo hadithi washaacha ujinga huo sisi tu wa nchi ambazo tuliozisikia habari jana na juzi ndiyo tumezishikilia bado.
Good thing watu wengi wanaanza kuziacha hizi hadithi za kufikirika na kufocus kwenye modern world. We have so many things to worry about
 
Kama Mungu yupo, ni muweza wa yote na anataka uhusiano nasi, angefanya uwepo wake uwe wazi kabisa.
Badala yake, tuna dini nyingi zinazopingana, hadithi za zamani, na watu wengi wanaobaki kimya au hawamwamini. Hivyo, labda hataki "usumbufu" au hatupo kwenye orodha yake, huenda tunajipa umuhimu ambao hatuna kwake
Mungu yupo tu au huamimi au wewe ulitokana na nyani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom