Kama mpenzi wako anakoroma usingizini unajisikiaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama mpenzi wako anakoroma usingizini unajisikiaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kinyoba, Jul 2, 2011.

 1. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  habari za leo wanajamvi, nimekua nikishuhudia kuwa wanaume wengi ndo wanaokoroma kuliko wanawake, je ni kweli? Nini sababu yake? Je kama demu/mkeo/mumeo anakoroma unajisikiaje? Maana nina jirani yangu tumetenganishwa na ukuta mumewe huwa namsikia anakoroma kama kuna mashine ya kusaga nafaka! Sijui huyo anaelalanae anajisikiaje inapotokea hana usingizi.
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aaamke amshike kichwa chake taratibu na kumlaza vizuri katika style ambayo haiblock njia ya hewa! Kama kalala chali check kichwa chake na shingo vimekaaje, mrekebishe!
   
 3. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Rule No. 5 ya relationship.

  If you can neither change it nor avoid it then turn it into romantic.
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Weeee MJ unataka wenzako wafunguliwe kesi?!Maana mwingine ukitaka kumweka vizuri hivyo akashtuka anaweza akakutuhumu kua ulikua unajaribu kumuua!!
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Jul 2, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Lizzy dia kama ni urelationship yenye mgogoro hili litatokea lakini kama hakuna.unatanguliza na "Mpenzi pole naona umelala vibaya.............unamkandamiza na buzu la paji la uso"!!
   
 6. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  mwanajamii nimeipenda hii yako, ningefanyiwa hivyo ningezidisha malavidavi sana ila ukweli ni kuwa siku nikikoroma mai waifu wangu huwa ananipiga vikumbo vya hatari tena kimya kimya, nikisikia maumivu ya mbavu nashtuka najua alichofanya alafu nauchuna. Asubuhi nikiamka utasikia 'Mpenzi umelalaje leo?' naamua kuwa mpole!
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Am telling you, inawork unajua tatizo ka kukoroma nadhani linachangiwa na kulala vibaya, among other factors................mara nyingi anayekoroma huwa amelala chali na shingo imebend kidogo kiasi kwamba inazuia passage ya hewa....sasa kuna ambao style hii ni favorae yao lol hawajikui kuwa inawakoromesha........ni jukumu lako we mpenziwe kumweka sawa angalau umpunguzie hilo tatizo ofcoz huku ukipata nafasi unamkumbushia kumbushia kwa maneno juu ya ulalaji wake.

  Sasa huyo anayekupiga vikumbo tena mh!! nenda naye taratibu shem!
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Kukoroma kuna sababishwa sometimes na kuchoka saana

  kwa wengine ni tatizo,waende hospitali.........
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  [h=2]Shaquille O'Neal's girlfriend gets worried about his snoring, may have saved his life[/h]
  Snoring is a common problem in our homes, affecting over 90 million Americans. Research indicates that two thirds of adults say that their sleep partner snores. The funny thing is that the person who snores rarely knows they are doing it! Shaquille O'Neal was recently profiled in a news story because he's one of those hapless snorers. It scared his girlfriend because she said that he would actually stop breathing! She felt that he had a sleep problem and she encouraged him to do something about it. She is credited for saving his life!
  For the media, Sleep Expert Lauri Leadley, RPSGT, RCP, President of Valley Sleep Centers, can speak to the issue of snoring and how it affects not only the snorer, but the innocent sleep partner! She can offer tips to partners on how to help a spouse that snores including:
  1. Use of technology such as the sleep shirt, gel mattress pads, or wedge.
  2. How to know when to seek help for snoring
  3. Common symptoms of snoring for those who sleep alone
  4. Common treatments for snoring.
  Lauri can also discuss who is at highest risk for snoring and related sleep disorders. You can film at any one of their 5 locations in Phoenix, and they can demonstrate the technology mentioned.
  For more info on Lauri Leadley, and Valley Sleep Center go to: Valley Sleep Center.com.
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,532
  Likes Received: 81,946
  Trophy Points: 280
  Hili ni tatizo kubwa sana ambalo limesababisha hata nyumba zinazojengwa siku hizi kuwa na master bedrooms mbili. Mume ana chumba chake na mke ana chumba chake ili yule anayekoroma au kugeuka geuka sana usiku au kuamka mara kenda washroom, mara kenda kunywa maji mara anataka kuchungulia JF nini kinaendelea afanye hivyo bila "kumbugudhi" mwenzie. Wakitaka kunanihii mmoja anaenda kwenye chumba cha mwenzie wakishamaliza anarudi chumbani kwake!!!!
   
 11. s

  shosti JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh kama wanalala hivyo wanatofauti gani na akina sie
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mkuu hao wazungu
  hata kama chumba kimoja,kila mtu na toilet yake....
  Na marufuku mtu kuingia toilet ya mwenzake lol
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,532
  Likes Received: 81,946
  Trophy Points: 280
  Fafanua Shosti sijakupata
   
 14. s

  shosti JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  tuso na ndoa!
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,532
  Likes Received: 81,946
  Trophy Points: 280
  Wanazidi kuongeza mipaka tu ya wanandoa. Si ajabu miaka ijayo watasema tunaoana lakini kila mtu anaishi kwake ili kupunguza purukushani za ndani ya ndoa.
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mimi huwa nacheka na wayahudi siasa kali...
  Wao hawasex mpaka wanapotafuta mtoto..
  Na wakati wa sex,wanaweka shuka in between,linatobolewa tundu
  kidogo kwa ajili ya kupitisha kitu kwenda kwa mama.....lol
  imani zingine kama wehu hivi lol
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Weeee BOSS hii kitu ya Wayahudi umesikia wapi?!Mi najua wanafanya kama wengine tu!!
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,532
  Likes Received: 81,946
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahah lol! Lizzy, BOSS hapa katufunga kamba :)...mimi siamini kama kuna kitu kama hiki kinachofanywa na Wayahudi lol!
   
 19. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,668
  Trophy Points: 280
  Kama umemkubali kama alivyo hakuna shida!
   
 20. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mmhn!................................."tembea uone"..........................ooh sorry, Soma uone!
   
Loading...