Kama Lowassa ni fisadi Kikwete ni nani?

Kama Lowassa ni fisadi Kikwete ni nani?

Nilishasema na ninarudia tena! "Mgaji wa CCM kwenye uchaguzi ujao ni WAJINGA!!! Na wengi wapo Vijijini ndiyo maana Mijini huwa hawapati ushindi!!! Kweli watz tunaongoza kwa ujinga. Mtu atakujaje na majina mfukoni halafu mulazimishwe kuyapigia kura!!? Ujinga uliopitiliza!!!

Aliekwambia mjini hawapati ushindi nani?me nashangaa mpk majitu ya dsm eti yanakisapot ccm mfano uchaguzi serikali za mitaa ccm dar wameshnda kwakishindo
 
Mtimbo fahamu Richmond na Escrow za mtu mmoja. Alitoa amri kwa Lowassa kusaini Richmond ndiye huyo huyo anatuaminisha eti pesa zan Escrow siyo zetu ni za mungu. Wakati Lowassa anajiuluzulu Richmond walikuwa hawajalipwa hata senti moja. Sitta na Mwakyembe waliudanyanga umma eti walikuwa wanalipwa TZS 152m kila siku kumbe siyo kweli. Saa ya ukombozi ni sasa! Mafuriko hayazuiliki kwa mikono!
 
Wape za uso haya majitu yanayoshabikia ccm
 
Kwa muda mfupi niliokaa Canada nimeweza kuwafahamu watanzania wenzangu ni kiasi gani wana akili nzito na ni wajinga kupindukia,kwanza nimebaini kuwa umaskini umo kabisa kwenye damu ya watanzania na wanaupenda mno,huwezi kuwa mjinga kama huupendi ujinga,Lowassa akiwa premier hakuwa na mamlaka kamili juu ya nchi,anadai mamlaka ilitoka juu na kuruhusu Richmond iwepo,ccm hii iliyoleta umaskini kupindukia inawaaminisha watanzania kuwa Lowassa ni fisadi,kikwete anadai fedha za ESCROW hazikuwa za umma na watanzania wanaamini kweli,zilitoka mbinguni? Ni tajiri gani aliamua kugawa mabilioni bure na kwanini? Na kwanini PAP (kampuni ya familia ya kikwete) nayo ilipata mgao? ujinga huu ndo umeifanya Tanzania kuwa maskini kupindukia,Tanzania nzima ukitembea unaambiwa hakuna kijana tajiri kama Riz1,ana vituo vya mafuta nchi nzima,alitoa wapi pesa? na kwanini iwe Lowassa tu na siyo kikwete? Let the truth be spoken even if kikwete is in power,acheni kumuonea Lowassa eti kisa hana dola na wenye dola mnawaogopa,shame on Tz.
we ndiyo jinga kabisa. Kwani Watanzania wanaishi Canada
 
Hatudanganyiki kwa vikofia, t-shirt na chumvi.
UKAWA ndio habari ya mujini.
 
Wacha kupinda maneno, Babu yuko wapi?

We dada faiza unajifanya hujui kuwa Babu kafichwa na system? Chezea system wewe,wamefanikiwa kwa babu na Lipumba,mbowe hawamuwezi ni mtoto wa mjini.
 
We dada faiza unajifanya hujui kuwa Babu kafichwa na system? Chezea system wewe,wamefanikiwa kwa babu na Lipumba,mbowe hawamuwezi ni mtoto wa mjini.

Hahahahahahahahah, umesahau za uso alizompa humu JF anaejiita Yericko Nyerere?

Usichezee pesa mbele ya mchagga, wacha babu wa wengine hata babu yake anammaliza.
 
Last edited by a moderator:
Kweli umenifungua, nmejiulza xana haya maswala, mbona wabunge weng hawapo km huyo riz 1. pia jana asubuh nilkuwa na "waziri Pinda" nanenane ya dom, mzee alkuwa ananunua mashne za mashamban lakin alkuwa anadai apunguziwe bei (discount) na alifanyiwa hivyo baada ya kulipia akaondoka (hecco mheshimiwa!), sasa inakuaje ENL abebeshwe mzigo wote huo yeye peke yake kuwa ni fisadi?, akisema mhusika ni yule na mtoto wake, CCM mnachanganyikiwa km mnacheza kigodoro vile, why CCM?
 
Watanzania tunaibiwaga kura ila mwaka huu by saa nne tunaanza sherehe ukombozi
 
Ukisha pigwa ngumi ya jicho una cha kujitetea tena si utabaki kuugulia maumivu tu
 
Back
Top Bottom