Kama Lowassa ni fisadi Kikwete ni nani?

Kama Lowassa ni fisadi Kikwete ni nani?

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,550
Kwa muda mfupi niliokaa Canada nimeweza kuwafahamu watanzania wenzangu ni kiasi gani wana akili nzito na ni wajinga kupindukia,kwanza nimebaini kuwa umaskini umo kabisa kwenye damu ya watanzania na wanaupenda mno,huwezi kuwa mjinga kama huupendi ujinga,Lowassa akiwa premier hakuwa na mamlaka kamili juu ya nchi,anadai mamlaka ilitoka juu na kuruhusu Richmond iwepo,ccm hii iliyoleta umaskini kupindukia inawaaminisha watanzania kuwa Lowassa ni fisadi,kikwete anadai fedha za ESCROW hazikuwa za umma na watanzania wanaamini kweli,zilitoka mbinguni? Ni tajiri gani aliamua kugawa mabilioni bure na kwanini? Na kwanini PAP (kampuni ya familia ya kikwete) nayo ilipata mgao? ujinga huu ndo umeifanya Tanzania kuwa maskini kupindukia,Tanzania nzima ukitembea unaambiwa hakuna kijana tajiri kama Riz1,ana vituo vya mafuta nchi nzima,alitoa wapi pesa? na kwanini iwe Lowassa tu na siyo kikwete? Let the truth be spoken even if kikwete is in power,acheni kumuonea Lowassa eti kisa hana dola na wenye dola mnawaogopa,shame on Tz.
 
Ni rais wa JMT hulijui hilo?
 
Ni ya kweli hayo tena matamu mnno na ni sawa sawa na wahenga walinena kunya anye kuku tu lakini akinya bata basi kaharisha
 
Kwa muda mfupi niliokaa Canada nimeweza kuwafahamu watanzania wenzangu ni kiasi gani wana akili nzito na ni wajinga kupindukia,kwanza nimebaini kuwa umaskini umo kabisa kwenye damu ya watanzania na wanaupenda mno,huwezi kuwa mjinga kama huupendi ujinga,Lowassa akiwa premier hakuwa na mamlaka kamili juu ya nchi,anadai mamlaka ilitoka juu na kuruhusu Richmond iwepo,ccm hii iliyoleta umaskini kupindukia inawaaminisha watanzania kuwa Lowassa ni fisadi,kikwete anadai fedha za ESCROW hazikuwa za umma na watanzania wanaamini kweli,zilitoka mbinguni? Ni tajiri gani aliamua kugawa mabilioni bure na kwanini? Na kwanini PAP (kampuni ya familia ya kikwete) nayo ilipata mgao? ujinga huu ndo umeifanya Tanzania kuwa maskini kupindukia,Tanzania nzima ukitembea unaambiwa hakuna kijana tajiri kama Riz1,ana vituo vya mafuta nchi nzima,alitoa wapi pesa? na kwanini iwe Lowassa tu na siyo kikwete? Let the truth be spoken even if kikwete is in power,acheni kumuonea Lowassa eti kisa hana dola na wenye dola mnawaogopa,shame on Tz.

Afadhalu ututoe tongotongo maana wengine hata kuku wana afadhali kwa kusahau!
 
Kwa hakika umenena vyema..... Vijana walio CCM ni waj.inga, hawajitambui kabisa
 
Ww jamaa mbona unafunua ikulu nguo? teh teh! eti riz anamiliki vituo vya mafuta nchi nzima na ndio kijana tajiri kushinda wote tz lkn haitwi fisadi bali lowassa! teh teh!
 
Afadhali utufumbue.in wakat wakupokea mabadiliko.hakuna aliyemkamilifu.na ucmnyooshee mwenzio kidole.kama lowassa no mwiz uiz walianzisha wao.jaman jaman tz duuuu
 
Kweli kabisa,riz one ni tajiri kupindukia,huo ndo ukweli jamani,eti kila kitu ni Lowassa tu,why?
 
Kwa muda mfupi niliokaa Canada nimeweza kuwafahamu watanzania wenzangu ni kiasi gani wana akili nzito na ni wajinga kupindukia,kwanza nimebaini kuwa umaskini umo kabisa kwenye damu ya watanzania na wanaupenda mno,huwezi kuwa mjinga kama huupendi ujinga,Lowassa akiwa premier hakuwa na mamlaka kamili juu ya nchi,anadai mamlaka ilitoka juu na kuruhusu Richmond iwepo,ccm hii iliyoleta umaskini kupindukia inawaaminisha watanzania kuwa Lowassa ni fisadi,kikwete anadai fedha za ESCROW hazikuwa za umma na watanzania wanaamini kweli,zilitoka mbinguni? Ni tajiri gani aliamua kugawa mabilioni bure na kwanini? Na kwanini PAP (kampuni ya familia ya kikwete) nayo ilipata mgao? ujinga huu ndo umeifanya Tanzania kuwa maskini kupindukia,Tanzania nzima ukitembea unaambiwa hakuna kijana tajiri kama Riz1,ana vituo vya mafuta nchi nzima,alitoa wapi pesa? na kwanini iwe Lowassa tu na siyo kikwete? Let the truth be spoken even if kikwete is in power,acheni kumuonea Lowassa eti kisa hana dola na wenye dola mnawaogopa,shame on Tz.
Nilishasema na ninarudia tena! "Mgaji wa CCM kwenye uchaguzi ujao ni WAJINGA!!! Na wengi wapo Vijijini ndiyo maana Mijini huwa hawapati ushindi!!! Kweli watz tunaongoza kwa ujinga. Mtu atakujaje na majina mfukoni halafu mulazimishwe kuyapigia kura!!? Ujinga uliopitiliza!!!
 
huu uzi lumumba team watajidai wamelala hapa hawaji kwa sababu umewapa za uso
 
naumia sana mzalendo mimi na nchi yangu..laana ya ujinga katika nchi yangu imetoka vizazi vingi vilivyopita maana hata maprofessor wetu hawana msaada wowote katika jamii..wageni ndio wanainemeesha na kuneemeka ila wazawa ni ujinga umetawala..
 
wewe jamaa vip kwanini uvai gloves unaporusha ngumi kudadadeki umepa kavukavu tena za uso da anampakazia mwenzie kuwa fisadi kumbe yeye ndiye fisadi
 
Back
Top Bottom