Kama Lowassa ni fisadi Kikwete ni nani?

Kama Lowassa ni fisadi Kikwete ni nani?

Don't worry about the real thing to remember that you have received the message and its contents of your own homes Tanzania.

Swissme
 
Mwaka huu tumeamka,ndo maana tumeunganisha Nguvu kwenye UKAWA, Mafisi wataisoma namba.LOWASA anajua siri zao zote ndo maana wanamfanyia Fitna.Familia ya Baba Mdogo ndio matajiri,Wanatabasamu huku wanatunyonga Watanzania
 
naumia sana mzalendo mimi na nchi yangu..laana ya ujinga katika nchi yangu imetoka vizazi vingi vilivyopita maana hata maprofessor wetu hawana msaada wowote katika jamii..wageni ndio wanainemeesha na kuneemeka ila wazawa ni ujinga umetawala..

Tanzania mikononi mwa ccm haipo salama hata kidogo,MUNGU awe nasi oct 25 mwisho wa magamba ufike.
 
Wewe nae uko upande gani? Au hadi uone nyeti za kuku ndio uhamie UKAWA? Tafadhali mtani wahi mapema maana mambo yalivyo sasa unaweza kosa nafasi na kadi.
Vyama vinavyounda UKAWA vimegeuka dhabahu ghafla maana vinavyogombewa......!

Nipo against sisiem kabla hata ukawa haijaexist mtani!
 
Naona Unapata pongezi nyingi sana kutoka kwa NYUMBU wenzako.mnajitekenya wenyewe na mnacheka wenyewe hakuna sifa nzuri inayowafaa zaidi ya UNYUMBU.
FYI so far zifuatazo ni fact:
1) Mkuu wa kaya fisadi na wala halina ubishi na halina mjadala
2) EL naye fisadi papa kama alivyo mwenzake hapo juu na la zaidi huyu jamaa hana record ya kukemea rushwa na ufisadi hata kwa unafiki
3)CHADEMA kimejipambanua na kwa mda mrefu kimejijenga machoni kwa wanainchi kama chama kinachopinga ufisadi
maswali ambayo mnatakiwa kutujibu hapa ni
inakuaje fisadi papa na mtu aliyestahili kuwa jela anakua mpeperusha bendera yenu leo?
majibu yepi yalio walidhisha kutoka kwa mgombea wenu hadi kuanza kumsafisha?

Haya hebu nyie NYUMBU anzeni na hayo kwanza kuyajibu mengine yanakuja.

Nyumbu wako Mikumi,humu kuna wadadavuaji,give some respect to Jf members, instead of calling each other's names
 
ww utakuwa m*w*e*huunamtetea EL fisadi, EL tayari anajulikana ni mwizi

Kwa muda mfupi niliokaa Canada nimeweza kuwafahamu watanzania wenzangu ni kiasi gani wana akili nzito na ni wajinga kupindukia,kwanza nimebaini kuwa umaskini umo kabisa kwenye damu ya watanzania na wanaupenda mno,huwezi kuwa mjinga kama huupendi ujinga,Lowassa akiwa premier hakuwa na mamlaka kamili juu ya nchi,anadai mamlaka ilitoka juu na kuruhusu Richmond iwepo,ccm hii iliyoleta umaskini kupindukia inawaaminisha watanzania kuwa Lowassa ni fisadi,kikwete anadai fedha za ESCROW hazikuwa za umma na watanzania wanaamini kweli,zilitoka mbinguni? Ni tajiri gani aliamua kugawa mabilioni bure na kwanini? Na kwanini PAP (kampuni ya familia ya kikwete) nayo ilipata mgao? ujinga huu ndo umeifanya Tanzania kuwa maskini kupindukia,Tanzania nzima ukitembea unaambiwa hakuna kijana tajiri kama Riz1,ana vituo vya mafuta nchi nzima,alitoa wapi pesa? na kwanini iwe Lowassa tu na siyo kikwete? Let the truth be spoken even if kikwete is in power,acheni kumuonea Lowassa eti kisa hana dola na wenye dola mnawaogopa,shame on Tz.
 
Point words sana Kweli kuwa na akili muhimu
 
Sikujua kumbe mpaka watu wa lumumba mnasema raisi fisadi sasa msubiri mafuruko
 
:bolt::bolt::bolt::bolt::bolt::bolt:
 
Naona Unapata pongezi nyingi sana kutoka kwa NYUMBU wenzako.mnajitekenya wenyewe na mnacheka wenyewe hakuna sifa nzuri inayowafaa zaidi ya UNYUMBU.
FYI so far zifuatazo ni fact:
1) Mkuu wa kaya fisadi na wala halina ubishi na halina mjadala
2) EL naye fisadi papa kama alivyo mwenzake hapo juu na la zaidi huyu jamaa hana record ya kukemea rushwa na ufisadi hata kwa unafiki
3)CHADEMA kimejipambanua na kwa mda mrefu kimejijenga machoni kwa wanainchi kama chama kinachopinga ufisadi
maswali ambayo mnatakiwa kutujibu hapa ni
inakuaje fisadi papa na mtu aliyestahili kuwa jela anakua mpeperusha bendera yenu leo?
majibu yepi yalio walidhisha kutoka kwa mgombea wenu hadi kuanza kumsafisha?

Haya hebu nyie NYUMBU anzeni na hayo kwanza kuyajibu mengine yanakuja.

sie ni nyumbu ila wewe bwabwa la ritz1.
 
Katika utawala huu wa ccm toka nchi ipate uhuru, maraisi wote wamepiga dili ikulu kasoro hayati Mwl. JKN. Tofauti ni kuwa wamezidiana ukubwa wa madili husika.
 
Kwa muda mfupi niliokaa Canada nimeweza kuwafahamu watanzania wenzangu ni kiasi gani wana akili nzito na ni wajinga kupindukia,kwanza nimebaini kuwa umaskini umo kabisa kwenye damu ya watanzania na wanaupenda mno,huwezi kuwa mjinga kama huupendi ujinga,Lowassa akiwa premier hakuwa na mamlaka kamili juu ya nchi,anadai mamlaka ilitoka juu na kuruhusu Richmond iwepo,ccm hii iliyoleta umaskini kupindukia inawaaminisha watanzania kuwa Lowassa ni fisadi,kikwete anadai fedha za ESCROW hazikuwa za umma na watanzania wanaamini kweli,zilitoka mbinguni? Ni tajiri gani aliamua kugawa mabilioni bure na kwanini? Na kwanini PAP (kampuni ya familia ya kikwete) nayo ilipata mgao? ujinga huu ndo umeifanya Tanzania kuwa maskini kupindukia,Tanzania nzima ukitembea unaambiwa hakuna kijana tajiri kama Riz1,ana vituo vya mafuta nchi nzima,alitoa wapi pesa? na kwanini iwe Lowassa tu na siyo kikwete? Let the truth be spoken even if kikwete is in power,acheni kumuonea Lowassa eti kisa hana dola na wenye dola mnawaogopa,shame on Tz.

Wacha kupinda maneno, Babu yuko wapi?
 
Alafu watanzania wanaamini kwamba ndege ya kijeshi toka Qatar ilitua KIA na kuchukua wanyama bila kiongozi wa nchi kubariki huo wizi.
 
Kwa muda mfupi niliokaa Canada nimeweza kuwafahamu watanzania wenzangu ni kiasi gani wana akili nzito na ni wajinga kupindukia,kwanza nimebaini kuwa umaskini umo kabisa kwenye damu ya watanzania na wanaupenda mno,huwezi kuwa mjinga kama huupendi ujinga,Lowassa akiwa premier hakuwa na mamlaka kamili juu ya nchi,anadai mamlaka ilitoka juu na kuruhusu Richmond iwepo,ccm hii iliyoleta umaskini kupindukia inawaaminisha watanzania kuwa Lowassa ni fisadi,kikwete anadai fedha za ESCROW hazikuwa za umma na watanzania wanaamini kweli,zilitoka mbinguni? Ni tajiri gani aliamua kugawa mabilioni bure na kwanini? Na kwanini PAP (kampuni ya familia ya kikwete) nayo ilipata mgao? ujinga huu ndo umeifanya Tanzania kuwa maskini kupindukia,Tanzania nzima ukitembea unaambiwa hakuna kijana tajiri kama Riz1,ana vituo vya mafuta nchi nzima,alitoa wapi pesa? na kwanini iwe Lowassa tu na siyo kikwete? Let the truth be spoken even if kikwete is in power,acheni kumuonea Lowassa eti kisa hana dola na wenye dola mnawaogopa,shame on Tz.

Kula tano,umeongea kwa hasira kweli kweli.
 
Back
Top Bottom