Kama Lowassa ni fisadi Kikwete ni nani?

Kama Lowassa ni fisadi Kikwete ni nani?

Wapiga debe wa ccm humu jf hawana huruma kwa wananchi masikini wa Tanzania hata kidogo . wakipewa ujira wa vijisenti kidogo tu. Wanasahahu kama kuna watu wanakosa hata mlo mmoja hapa Tanzania nafikiri hawa jamaaa wana laana .
 
Unapoteza muda kumzungumzia kikwete wakati mgombea urais wa CCM ni Magufuli unaandika uharo mtupu uliojaa tetesi unapoteza muda bure bora hata ungenadi sera za ukawa.
Kwa hiyo kikwete ajiandae kupelekwa kwenye mahakama maalumu ya wezi na mafisadi ya Dr. Magufuli?
 
Kwa muda mfupi niliokaa Canada nimeweza kuwafahamu watanzania wenzangu ni kiasi gani wana akili nzito na ni wajinga kupindukia,kwanza nimebaini kuwa umaskini umo kabisa kwenye damu ya watanzania na wanaupenda mno,huwezi kuwa mjinga kama huupendi ujinga,Lowassa akiwa premier hakuwa na mamlaka kamili juu ya nchi,anadai mamlaka ilitoka juu na kuruhusu Richmond iwepo,ccm hii iliyoleta umaskini kupindukia inawaaminisha watanzania kuwa Lowassa ni fisadi,kikwete anadai fedha za ESCROW hazikuwa za umma na watanzania wanaamini kweli,zilitoka mbinguni? Ni tajiri gani aliamua kugawa mabilioni bure na kwanini? Na kwanini PAP (kampuni ya familia ya kikwete) nayo ilipata mgao? ujinga huu ndo umeifanya Tanzania kuwa maskini kupindukia,Tanzania nzima ukitembea unaambiwa hakuna kijana tajiri kama Riz1,ana vituo vya mafuta nchi nzima,alitoa wapi pesa? na kwanini iwe Lowassa tu na siyo kikwete? Let the truth be spoken even if kikwete is in power,acheni kumuonea Lowassa eti kisa hana dola na wenye dola mnawaogopa,shame on Tz.



u nail it,,,,vivaa baba
 
ccm ni shiiiiiiiida bora tufanye mamzi make tunakoelekea tutabaki kunawa tu
 
Naomba muheshimiwa Raisi wetu mtarajiwa Lowasa atamke kuupinga ufisadi hata maramoja tu mie kura yangu ataipata bila tatizo lolote. Akiendelea kukaa kimya napata mshaka mengi sana
 
Kwa muda mfupi niliokaa Canada nimeweza kuwafahamu watanzania wenzangu ni kiasi gani wana akili nzito na ni wajinga kupindukia,kwanza nimebaini kuwa umaskini umo kabisa kwenye damu ya watanzania na wanaupenda mno,huwezi kuwa mjinga kama huupendi ujinga,Lowassa akiwa premier hakuwa na mamlaka kamili juu ya nchi,anadai mamlaka ilitoka juu na kuruhusu Richmond iwepo,ccm hii iliyoleta umaskini kupindukia inawaaminisha watanzania kuwa Lowassa ni fisadi,kikwete anadai fedha za ESCROW hazikuwa za umma na watanzania wanaamini kweli,zilitoka mbinguni? Ni tajiri gani aliamua kugawa mabilioni bure na kwanini? Na kwanini PAP (kampuni ya familia ya kikwete) nayo ilipata mgao? ujinga huu ndo umeifanya Tanzania kuwa maskini kupindukia,Tanzania nzima ukitembea unaambiwa hakuna kijana tajiri kama Riz1,ana vituo vya mafuta nchi nzima,alitoa wapi pesa? na kwanini iwe Lowassa tu na siyo kikwete? Let the truth be spoken even if kikwete is in power,acheni kumuonea Lowassa eti kisa hana dola na wenye dola mnawaogopa,shame on Tz.

Tutashinda tu mkuu

images
images
 
Back
Top Bottom