Kama Lowassa ni fisadi Kikwete ni nani?

Kama Lowassa ni fisadi Kikwete ni nani?

nadhani kikwete ndo muasisi wa mafisadi Tanzania.
 
Kwa muda mfupi niliokaa Canada nimeweza kuwafahamu watanzania wenzangu ni kiasi gani wana akili nzito na ni wajinga kupindukia,kwanza nimebaini kuwa umaskini umo kabisa kwenye damu ya watanzania na wanaupenda mno,huwezi kuwa mjinga kama huupendi ujinga,Lowassa akiwa premier hakuwa na mamlaka kamili juu ya nchi,anadai mamlaka ilitoka juu na kuruhusu Richmond iwepo,ccm hii iliyoleta umaskini kupindukia inawaaminisha watanzania kuwa Lowassa ni fisadi,kikwete anadai fedha za ESCROW hazikuwa za umma na watanzania wanaamini kweli,zilitoka mbinguni? Ni tajiri gani aliamua kugawa mabilioni bure na kwanini? Na kwanini PAP (kampuni ya familia ya kikwete) nayo ilipata mgao? ujinga huu ndo umeifanya Tanzania kuwa maskini kupindukia,Tanzania nzima ukitembea unaambiwa hakuna kijana tajiri kama Riz1,ana vituo vya mafuta nchi nzima,alitoa wapi pesa? na kwanini iwe Lowassa tu na siyo kikwete? Let the truth be spoken even if kikwete is in power,acheni kumuonea Lowassa eti kisa hana dola na wenye dola mnawaogopa,shame on Tz.

kwa maoni na mchango wako nakushauri ubaki huko canada mpaka baada ya Lowasa kuapishwa ,ukikahidi ushauri wangu ukaja tz kabla ya hapo utang,olewa meno bila ganzi
 
Wote hali ni moja mkuu. Lowasa + kikwete wote mafisad na wote walihusika kwenye mikataba mibovu kama vile Richmond ila badae wakageukana wao kwa wao na ndo maana wengne wanasaka urais kwa hali na uvumba ili walipeze vsas.
 
Umemaliza mkuu asiyeelewa kwa kweli tumpeleke milembe, get 100 credits for sure u made ma day... bongo unafiki, upambe na ushabiki watu hawaruhusu akili kufikili na kuhoji... shame
 
Naona Unapata pongezi nyingi sana kutoka kwa NYUMBU wenzako.mnajitekenya wenyewe na mnacheka wenyewe hakuna sifa nzuri inayowafaa zaidi ya UNYUMBU.
FYI so far zifuatazo ni fact:
1) Mkuu wa kaya fisadi na wala halina ubishi na halina mjadala
2) EL naye fisadi papa kama alivyo mwenzake hapo juu na la zaidi huyu jamaa hana record ya kukemea rushwa na ufisadi hata kwa unafiki
3)CHADEMA kimejipambanua na kwa mda mrefu kimejijenga machoni kwa wanainchi kama chama kinachopinga ufisadi
maswali ambayo mnatakiwa kutujibu hapa ni
inakuaje fisadi papa na mtu aliyestahili kuwa jela anakua mpeperusha bendera yenu leo?
majibu yepi yalio walidhisha kutoka kwa mgombea wenu hadi kuanza kumsafisha?

Haya hebu nyie NYUMBU anzeni na hayo kwanza kuyajibu mengine yanakuja.

Ulipotaja nyumbu nikafarijika kumbe na ww mama wa nyumbu upo humu, na kama haujaelewa huo uzi kaaa utulie
 
Kwa muda mfupi niliokaa Canada nimeweza kuwafahamu watanzania wenzangu ni kiasi gani wana akili nzito na ni wajinga kupindukia,kwanza nimebaini kuwa umaskini umo kabisa kwenye damu ya watanzania na wanaupenda mno,huwezi kuwa mjinga kama huupendi ujinga,Lowassa akiwa premier hakuwa na mamlaka kamili juu ya nchi,anadai mamlaka ilitoka juu na kuruhusu Richmond iwepo,ccm hii iliyoleta umaskini kupindukia inawaaminisha watanzania kuwa Lowassa ni fisadi,kikwete anadai fedha za ESCROW hazikuwa za umma na watanzania wanaamini kweli,zilitoka mbinguni? Ni tajiri gani aliamua kugawa mabilioni bure na kwanini? Na kwanini PAP (kampuni ya familia ya kikwete) nayo ilipata mgao? ujinga huu ndo umeifanya Tanzania kuwa maskini kupindukia,Tanzania nzima ukitembea unaambiwa hakuna kijana tajiri kama Riz1,ana vituo vya mafuta nchi nzima,alitoa wapi pesa? na kwanini iwe Lowassa tu na siyo kikwete? Let the truth be spoken even if kikwete is in power,acheni kumuonea Lowassa eti kisa hana dola na wenye dola mnawaogopa,shame on Tz.
Kwa hiyo kama JK ni fisadi basi Lowassa anapata excuse?
 
Naona Unapata pongezi nyingi sana kutoka kwa NYUMBU wenzako.mnajitekenya wenyewe na mnacheka wenyewe hakuna sifa nzuri inayowafaa zaidi ya UNYUMBU.
FYI so far zifuatazo ni fact:
1) Mkuu wa kaya fisadi na wala halina ubishi na halina mjadala
2) EL naye fisadi papa kama alivyo mwenzake hapo juu na la zaidi huyu jamaa hana record ya kukemea rushwa na ufisadi hata kwa unafiki
3)CHADEMA kimejipambanua na kwa mda mrefu kimejijenga machoni kwa wanainchi kama chama kinachopinga ufisadi
maswali ambayo mnatakiwa kutujibu hapa ni
inakuaje fisadi papa na mtu aliyestahili kuwa jela anakua mpeperusha bendera yenu leo?
majibu yepi yalio walidhisha kutoka kwa mgombea wenu hadi kuanza kumsafisha?

Haya hebu nyie NYUMBU anzeni na hayo kwanza kuyajibu mengine yanakuja.

hii hali iliyokukuta inaitwa mnyegheo.
 
watanzania akili zetu ni kama nyumbu/kuku , na ndio maana viongozi wa ccm wanaendelea kufanya ufisadi na bado wanatuomba kura na tunawapa. ujinga wetu huu ndio mtaji wao, kwa sababu wanajua watz ni wasahaulifu na watu wa kuendeshwa kwa matukio!! tubadilike.
 
Kwa hiyo kama JK ni fisadi basi Lowassa anapata excuse?
Ili kuhalalisha madai yenu ni lazima muwataje mafisadi wote wakiongozwa na JK na familia yake pamoja na magufuri. Lowasa alipokuwa CCM kamwe hamkufunua makanwa yenu kumuita fisadi. Leo kwa kuwa mnajua mnaenda kupoteza ndo mnajidai oooh fisadi! fisadi! hivi tanzania hii kuna fisadi zaidi ya JK na rizwani? msitukumbushe machungu ya ESCROW na bado mtasema yote mwaka huu.
 
Wananchi wameamka. Wanajitambua sasa hivi.
CCM kazi mnayo.
 
11058421_10153259206018304_8164908445743395713_n.jpg
 
Jey Kei a.k.a vasco da gamma, leprofeseri ni LIJIFISADIII
 
Back
Top Bottom