Kama kweli makanisa na misikiti ni muhimu kwa WAAFRIKA kwanini serikali wafungiww?

Kama kweli makanisa na misikiti ni muhimu kwa WAAFRIKA kwanini serikali wafungiww?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
Habarini,
Waafrika ifikie wakati tuanze kuwaza kwa akili na bongo zetu,hivi kweli kama makanisa na misikiti yangekuwa na UMUHIMU serikali za Afrika zingeyafunga?

Je serikali zinazofunga makanisa na miskiti viongozi wao hawajui kuwa dini ni za Mungu na ndizo zitawapeleka Waafrika mbinguni?
 
Back
Top Bottom