Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,061
- 136,424
Mpaka sasa bado hakuna uthibitisho kama kweli amekufa au bado yuko hai.
Ila, kama amekufa, basi atakuwa kafa kiboya sana sawa na wale majenerali wake walioliwa vichwa kipindi kile cha vita vya siku 12.
Iweje siku ya kwanza tu wanakukula kichwa kizembe namna hiyo?
Nchi kubwa namna hiyo unakosaje pa kujificha?
Lakini yawezekana pia Israel wanataka kucheza na akili za Wairan halafu katika kuthibitisha kuwa Ayatollah bado yu hai, bila kujua wanataja alipo halafu Israel wanaenda kumla kichwa kikwelikweli.
Maana vita si mabomu tu. Hata propaganda na psychological warfare nazo ni sehemu ya mbinu za kivita.
Hisia zangu na kwa kutumia uzoefu wangu wa kuyasoma mambo, uwezekano wa kuwa Ayatollah kauliwa ni mkubwa kiasi maana Wairan washajionyesha kuwa ni watu wasio na akili kivile.
Si ajabu hilo li Ayatollah limeliwa kichwa likiwa linapata staftahi.