Kama kuna uwezekano (kifedha) Kitengo cha CID kiwe taasisi kamili inayojitegemea

Mi nnaona staff na mabosi wao watokee taasisi za usalama wa taifa na jeshi la wananchi, wale wazee wa military intelligence
Wakitokea MI hapo tutakuwa tumeanzia pazuri. Na baada ya hapo recruitment ifanyike kwa kuanza na damu mpya na wajipe muda wa kukua, hapo tutakuwa na real checks na balance kati ya police (usalama wa raia) na CID
 
yaani ccm wamefanya tuone kila kitu kinawezekana,kwa ccm mzamivu wa afya anakwenda kusimamia kilimo na mambo yanaharibika hatujui tatizo liko wapi.

upelelezi wa makosa ya jinai,ndio upelelezi wa msingi zaidi kuliko upelelezi mwingine,
ni kama kusema mpelelezi wa makosa ya jinai,anaweza fanya kazi yoyote ya inayohusu kada hiyo,lakini si mpelelezi wa kijeshi kufanya upelelezi wa kiraia,itamlazimu kurudi darasani upya,achia mbali kuwa boss wao.

aina ya upelelezi wa kijeshi(MI)na ule wa idara kama usalama wa taifa,unalenga kuhujumu adui na mshindani wako zaidi,na si kutafuta haki ya mtu mwingine ama ushahidi wa kuwasilisha sehemu nyingine.

kule USA aina hiyo ya upelelezi iko mikononi mwa CIA,lakini upelelezi wa jinai na mambo ya ushahidi uko mikononi mwa FBI na CIDs.

kwa hapa bongo hilo linawezekana kabisa,halafu tutaendelea kufunga novena ili kupokea ufanisi ushuke kama upako.
 
Msingi wa hoja yako ni mzuri sana. Kama Criminal Investigation ingekuwa na watu wasafi, sio aina ya wale wanaobambikizia watu case, ingekuwa busara ikageuzwa na kuwa taasisi inayojitegemea moja kwa moja ili iwe (FBI ya Tanzania)

Akipatikana kamanda mmoja toka MI, na akapewa wasaidizi wacheche toka huko alikotoka au ile idara nyingine, then tokea hapo wakaisuka CID.

Ni kama Rais Mkapa alipoanzisha PCB, aliamchukua Maj. Gen. Kamazima. Tokea hapo ikasukwa mpaka hapo walipofika.

Hata ndani ya jeshi kuna criminal investigation, kuna court marshal; sio kwamba jeshini vitu viko tofauti sana.

Anahitajika mtu ambae atakuwa na kazi ya kuisuka CID, haitakuwa kazi ya muda mfupi, na wale recruits watachukuliwa kwenda training kujua FBI wanafanyaje na namna gani tu-customize hapa. Uwoga wa wananchi ni iwapo Criminal Investigation ikimegwa toka kule iliko na watu walewale, ni divai mpya ndani ya kiriba cha zamani. Kutoboa ngumu sana.
 
na kama tumeshapoteza imani na polisi toka uhuru,tunajidanganya kuamini kuna watu ni wasafi kisa tu wao sio polisi.
tunatakiwa kuwa huru kimtazamo na kujinasua ktk huu upande wa mawazo aina hii.
nchi hii mambo hayaendi sababu mfumo mzima umekaa kihuni,na hatutapata matokeo tarajiwa sababu kama ulivyosema nyani wa zamani mti mpya,au mti aa zamani nyani ndip wapya lakini wametoka miti mingine,ambayo labda haikuwa na maembe wakaonekana huwa hawali.

wenzetu waliishatoka huko kwenye mazoea wako kwenye kutafuta matokeo kwa kila jambo ndio maana wanafanikiwa.
 
yaani ccm wamefanya tuone kila kitu kinawezekana,kwa ccm mzamivu wa afya anakwenda kusimamia kilimo na mambo yanaharibika hatujui tatizo liko wapi.

upelelezi wa makosa ya jinai,ndio upelelezi wa msingi zaidi kuliko upelelezi mwingine,
ni kama kusema mpelelezi wa makosa ya jinai,anaweza fanya kazi yoyote ya inayohusu kada hiyo,lakini si mpelelezi wa kijeshi kufanya upelelezi wa kiraia,itamlazimu kurudi darasani upya,achia mbali kuwa boss wao.

aina ya upelelezi wa kijeshi(MI)na ule wa idara kama usalama wa taifa,unalenga kuhujumu adui na mshindani wako zaidi,na si kutafuta haki ya mtu mwingine ama ushahidi wa kuwasilisha sehemu nyingine.

kule USA aina hiyo ya upelelezi iko mikononi mwa CIA,lakini upelelezi wa jinai na mambo ya ushahidi uko mikononi mwa FBI na CIDs.

kwa hapa bongo hilo linawezekana kabisa,halafu tutaendelea kufunga novena ili kupokea ufanisi ushuke kama upako.
Ahsante sana. Umejibu kitaalamu.

Lakini pia wazo la kutoa staff nje ya polisi ni ile kuwapa raia ila ahueni kwamba kesi zao haziko mikononi mwa polisi tu (polisi sio mungu pekee kwa suala zima la kesi)...... Bali zipo mikononi pia kwa watu wengine pia walio siriazi kwa taifa lao zima.

Ili isionekane tena kuwa bado tunadili na polisi walewale tu. Hata ikitokea kesi kati ya polisi na raia anakuwa na ahueni kwamba uchunguzi hautakuwa na upendeleo yaani bias.. Sijui umenipata?

Hivyo tunakuwa na makundi matatu hadi manne yanayofuatilia haki na sheria yaaani; 1. Polisi 2. Mahakama 3. Hiyo CID na nne hata wenye kesi wenyewe
 
na kama tumeshapoteza imani na polisi toka uhuru,tunajidanganya kuamini kuna watu ni wasafi kisa tu wao sio polisi.
tunatakiwa kuwa huru kimtazamo na kujinasua ktk huu upande wa mawazo aina hii.
nchi hii mambo hayaendi sababu mfumo mzima umekaa kihuni,na hatutapata matokeo tarajiwa sababu kama ulivyosema nyani wa zamani mti mpya,au mti aa zamani nyani ndip wapya lakini wametoka miti mingine,ambayo labda haikuwa na maembe wakaonekana huwa hawali.

wenzetu waliishatoka huko kwenye mazoea wako kwenye kutafuta matokeo kwa kila jambo ndio maana wanafanikiwa.
Una pointi kubwa sana.

I couldn't agree more.

Hata hivyo tunaweza kuchukulia kama mafiga.

Kukiwa na figa moja hakuna ufanisi, sufuria haikai.

Kukiwa na figa mbili bado hakuna ufanisi.

Lakini ukiongeza la tatu! Kila kitu kinabalansi.

Kama wawili walibweteka, akija mtu wa tatu anaweza kurekebisha mambo maana kila taasisi sasa itajua kuwa kuna taasisi mbili zinaichunguza na matokeo ya mashahidi wawili yakiungana (corroborate) basi hatua zitachukuliwa kwa uhakika kabisa.

Nawasilisha kwamba, hata kama unahisi watu ni walewale ninaona kabisa kuongeza vitengo kutaleta ufanisi katika uchunguzi. Muhimu tu kila chombo kijitegemee. Vyote viripoti kwenye mihimili ya nchi huko
 
Ahsante sana. Umejibu kitaalamu.

Lakini pia wazo la kutoa staff nje ya polisi ni ile kuwapa raia ila ahueni kwamba kesi zao haziko mikononi mwa polisi tu (polisi sio mungu pekee kwa suala zima la kesi)...... Bali zipo mikononi pia kwa watu wengine pia walio siriazi kwa taifa lao zima.
hakuna aliye serious na taifa hili,kama mambo ya kipuuzi yanayoendelea yanayohusu taifa zima watu wameyaacha yajiendee kama yalivyo,tuje tuwaamini kwenye mambo yanayohusu mtu mmoja mmoja!!!🤗🤗🤗.

haki jinai ni swala pana lenye kuhusisha taasisi nyingi sio polisi peke yake mkuu,juzi wakati tume inaundwa kujadili muenendo,wajumbe wale waliamua kwa makusudi kabisa kujadili polisi peke yao,tena kwa makusudi kabisa wakaachana na kipande cha maslahi yao,hata hawakuona kama kinawezakuwa sehemu ya kutibua mwenendo mzima wa upatikanaji wa haki.

zipo haki zinakwenda kupotelea mahakamani,na hizi ni nyingi sana maana wakati mwingi zinamuacha malalamikaji akiwa njia panda.
tuunde taasisi inayojitegemea labda tutajua kwamba tatizo halikuwa polisi bali ni nature ya watanzania
Ili isionekane tena kuwa bado tunadili na polisi walewale tu. Hata ikitokea kesi kati ya polisi na raia anakuwa na ahueni kwamba uchunguzi hautakuwa na upendeleo yaani bias.. Sijui umenipata?
naelewa,lakini tunatakiwa kukumbuka kwamba mwananchi anatarajia haki,sio kuwa na imani na mtu au taasisi.
Hivyo tunakuwa na makundi matatu hadi manne yanayofuatilia haki na sheria yaaani; 1. Polisi 2. Mahakama 3. Hiyo CID na nne hata wenye kesi wenyewe
kwa swala hili jambo ninaloona ni la msingi basi,ziruhusiwe taasisi binafsi kukodishwa kwa ajili ya upelelezi.
hii kuundaunda taasisi bila kujua mzizi wa matatizo tunatengeneza ajira tu,labda kama ndilo lengo kuu.
 
Ewaaaaaaaah! Hili nalo laweza kufaa: Taasisi binafsi ya upelelezi

Kwa kuwa tuna muda mrefu (Inshaalah) basi tunaweza turuhusu taasisi binafsi hata kwa majaribio kwa leseni ya miaka mitatu hadi mitano

Halafu hao watu wapige kazi kisha tuone je? Tuendelee nazo au tuziache
 
na kama tumeshapoteza imani na polisi toka uhuru,tunajidanganya kuamini kuna watu ni wasafi kisa tu wao sio polisi.
tunatakiwa kuwa huru kimtazamo na kujinasua ktk huu upande wa mawazo aina hii.
nchi hii mambo hayaendi sababu mfumo mzima umekaa kihuni,na hatutapata matokeo tarajiwa sababu kama ulivyosema nyani wa zamani mti mpya,au mti aa zamani nyani ndip wapya lakini wametoka miti mingine,ambayo labda haikuwa na maembe wakaonekana huwa hawali.

wenzetu waliishatoka huko kwenye mazoea wako kwenye kutafuta matokeo kwa kila jambo ndio maana wanafanikiwa.
Katika Watanzania 62 mil, lazima wapo ambao ni hawajachakachuliwa na "mazoea" ya business as usual.
Ndio maana JPM enzi zake kuna namna aliweka JWTZ kwenye baadhi ya mifumo ya kiraia ili kuongeza speed ya utendaji wa mambo.
Kama kuna taasisi ambayo iko highly trained kuendesha mifumo yote ni jeshi, na hii ni duniani kote.
Level yao ya efficiency huwa iko juu, maana hawana longolongo sana kwenye mode of decision making na execution.
So, siku wakikusudia kuifanya Criminal Investigation iwe independent, lazima waanzie mahali na kwa kuwa criminal investigation ni taaluma na inahusisha sheria, basi CID pia pia iwe chini ya wizara ya sheria kama FIB ilivyo chini ya wizara ya sheria kule US.
 
kabisa,hata humo polisi maelfu wapo ambao bado wanashikiria misingi ya kazi,tatizo ni pale wanapoona jasho lao halithaminiwi na utawala wala hao wananchi wanaowahudumia,ndipo hapo kila mtu anaamua kuangalia hatma yake zaidi.
Ndio maana JPM enzi zake kuna namna aliweka JWTZ kwenye baadhi ya mifumo ya kiraia ili kuongeza speed ya utendaji wa mambo.
na mwisho aliishia kumfokea brig mkurugenzi wa PCCB hadharani kwamba atamtoa vyeo asipokuwa makini,ogopa kitu inaitwa mfumo baba.
jwtz inaonekana ni safi sababu hakuna huduma inayotoa moja kwa moja kwa wananchi,mapungufu yao yanabaki makambini huko huko.

Kama kuna taasisi ambayo iko highly trained kuendesha mifumo yote ni jeshi, na hii ni duniani kote.
yah,kuna training halafu kuna field sasa.
huku field kuna sarakasi nyingi sana,sio jeshi linaloweza kuzidhibiti ila ni mfumo imara wa uwajibishaji.
Level yao ya efficiency huwa iko juu, maana hawana longolongo sana kwenye mode of decision making na execution.
kabisa kabisa,lakini si katika kuhudumia raia kama jukumu la kila siku,ni wakati wa dharula tu.wakiingia miguu yote ktk kazi husika yanaanza haya haya tusiyoyataka.
So, siku wakikusudia kuifanya Criminal Investigation iwe independent, lazima waanzie mahali na kwa kuwa criminal investigation ni taaluma na inahusisha sheria, basi CID pia pia iwe chini ya wizara ya sheria kama FIB ilivyo chini ya wizara ya sheria kule US.
na ni lazima wawe wametafiti kwa kina nini sababu ya mapungufu yaliyopo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom