Msaada kwenye PC kuna baadhi ya device zinagoma

msabillah

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
4,271
2,000
Habarini ndugu, pia poleni na mishe za hapa na pale.

Moja kwa moja kwenye point, natumia desktop HP Intel Core i5-3470 3.20 GHz
Ila kuna shida inasumbua kuna baadhi ya device zinagoma kusoma wajuzi naombeni msaada, nimejaribu kuinstall toolkit driver kuna baadhi tu ya driver zilikaa sawa lakini device niliyokuwa nailenga ikubali haikubali ila nikichomeka kwenye pc nyingine inakubali ila hiyo PC ni ndogo kwa shughuli zangu.

Wataalamu naombeni msaada.

Namaliza kwa shukrani.

Corona ipo tukumbuke Kufuata taratibu ziliwekwa na Wataalamu wa afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msabillah

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
4,271
2,000
Hiki ni MIDI lakini kiko tofauti na MIDI zingine kama M audio au beringer ambazo unaweza pata driver kiurahisi, hii naona ni ya kichina zaidi maana nimejaribu kutafuta Google sijapata kinaitwa MK 935
Unatumia kinanda gani, portable keyboard au MIDI keyboard.
Anyway tafuta driver za kiwanda husika na uinstall kupitia device manager either kwa kusearch automatic (Internet needed) au kishapakua driver una add manually

Sent using Jamii Forums mobile app
B1030032612.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heisenberg

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
1,248
2,000
Hiki ni MIDI lakini kiko tofauti na MIDI zingine kama M audio au beringer ambazo unaweza pata driver kiurahisi, hii naona ni ya kichina zaidi maana nimejaribu kutafuta Google sijapata kinaitwa MK 935 View attachment 1452399

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sio midi, ni portable thou unaweza tunia maana kina midi output. Midi huwa hakina uqezo wa kujenerate sauti chenyewe. Midi is just a trigger.

Naomba unipe majibu yafuataje ili tuende sana

1. Kinanda chako kina midi in and out port???
2. Kinanda chako kina USB host port
3. Unatumia njia ipi kati ya hizo kuconect na PC yako.

Je unatumia Software gani ( DAW) eg. Fl. Studio, Cubase nk. Kwenye PC yako kwa ajiki ya kupokelewa na kinanda chako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msabillah

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
4,271
2,000
Swali la kwanza ni kwamba mimi siyo mtaalam sana ninachofanyaga mie ni kuhakikisha kinasomatu kwenya DAW Yangu basi sijajua sasa kama kina imput.
Swali la pili hakina USB hotsport.
Swali la mwisho Natumia Cubase na Fl mkuu.
Hiyo sio midi, ni portable thou unaweza tunia maana kina midi output. Midi huwa hakina uqezo wa kujenerate sauti chenyewe. Midi is just a trigger.

Naomba unipe majibu yafuataje ili tuende sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msabillah

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
4,271
2,000
Kwa sasa natumia haka ka MIDI ila naipenda hilo keys zake laini sana.
Hiyo sio midi, ni portable thou unaweza tunia maana kina midi output. Midi huwa hakina uqezo wa kujenerate sauti chenyewe. Midi is just a trigger.

Naomba unipe majibu yafuataje ili tuende sana

1. Kinanda chako kina midi in and out port???
2. Kinanda chako kina USB host port
3. Unatumia njia ipi kati ya hizo kuconect na PC yako.

Je unatumia Software gani ( DAW) eg. Fl. Studio, Cubase nk. Kwenye PC yako kwa ajiki ya kupokelewa na kinanda chako

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG20200517101527.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heisenberg

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
1,248
2,000
Sasa kama hakina USB unaunganishaje na computer
Swali la kwanza ni kwamba mimi siyo mtaalam sana ninachofanyaga mie ni kuhakikisha kinasomatu kwenya DAW Yangu basi sijajua sasa kama kina imput.
Swali la pili hakina USB hotsport.
Swali la mwisho Natumia Cubase na Fl mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumkoma nyani geradi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom