Kama kuna mwenye kufaham namna kubadilisha combination

Tecno_one

Member
Sep 14, 2016
34
16
Habarini wapendwa, poleni kwa shughuli za kulijenga taifa. Nadhani kichwa kinajieleza vizuri.. Nina ndugu yangu amepagiwa combination ya EGM sasa yeye anataka kwenda kusoma CBG, naombeni mwenye kujua taratibu zakubadilisha anijuze hapa!! Natanguliza shukrani
 
Jambi LA kwanza he amesoma sayansi? Maana combination ya EGM ni ya biashara zaidi na ile ya CBG ni ya sayansi. Kama ana uhakika amefaulu hayo masomo ya sayansi hayo ya CHEMISTRY, BIOLOGY, NA GEOGRAPHY basi akifika shule aliyopangiwa ndiko mnaweza kuanzia kufuatilia nia ya kubadilisha combination. No jambo linalowezekana, kama ana sifa hizo!
 
Kama hiyo shule ina hiyo combination ya CBG basi mwambie akifika tu anapofanyiwa usajiri amuelezee huyo msajiri anambadlisha hapo hapo.
Au ikishindakana hivyo ataomba procedure za kubadili nadhani ataandika barua ya maombi na copy ya result slip kwenda academic office mchezo kwisha.
Cha msingi aende shule with full documents km vile result slip ili kuepusha sababu za kukaziwa.
 
Kama shule ina hiyo comb ya CBG na yeye anavigezo vya kwenda CBG.. ATABADILISHA TU... maana walimu wa academic huwa wanatangaza.. Au akiona kimya amfate academic ofisini kwake.... All the best
 
Shule gan umepangiwa? kama boy inabidi uwe na point 8 kwa comb hiyo na girl ni 9 means that kama wewe comb yako una c flat tayari huna sifa kwa boy lakin
 
Jambi LA kwanza he amesoma sayansi? Maana combination ya EGM ni ya biashara zaidi na ile ya CBG ni ya sayansi. Kama ana uhakika amefaulu hayo masomo ya sayansi hayo ya CHEMISTRY, BIOLOGY, NA GEOGRAPHY basi akifika shule aliyopangiwa ndiko mnaweza kuanzia kufuatilia nia ya kubadilisha combination. No jambo linalowezekana, kama ana sifa hizo!
Yap yap ameyasoma na yote ameyafaulu
 
Kama shule ina hiyo comb ya CBG na yeye anavigezo vya kwenda CBG.. ATABADILISHA TU... maana walimu wa academic huwa wanatangaza.. Au akiona kimya amfate academic ofisini kwake.... All the best
Shule aliyopangiwa haina hiyo combination ya CBG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom