Kama Kufuturisha ndiyo hivi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Kufuturisha ndiyo hivi...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndjabu Da Dude, Sep 18, 2009.

 1. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,660
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Officials from the American embassy were invited to break the fast with Homboza villagers, Kisarawe on Monday, September 14, 2009. Speaking at the occasion the U.S. Embassy Political/Economic chief, Carl B. Fox said America will always stand for the universal rights of all people to speak their mind, practice their ...

  [​IMG]

  ...basi poleni sana Ndugu zangu Waislamu. Nasema bora jini ulijualo kuliko hawa Wazungu wanafiki...
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu, kufunga siku hizi ni gelesha tu, ni kubadilisha masaa ya kula na kutafuta misaada.
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Sep 18, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Dude unamaanisha nini wazungu wanafiki? Waislamu wasipopewa vitu kama hivi si wanadai "wanaonewa"?
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mbona sioni FUTARI kwenye hiyo picha? Au ilikuwa ni MAJI POA tu?
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Max

  Wanaweza hata kuandika waraka kuwa hawapewi misaada ....! wametengwa
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hahaha hii kali mpwa vp hawawezi sema Mengi kawatenga mwaka huu hivi kafuturisha?
   
 7. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,660
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  Hawa Wazungu wamemnyima mshikaji wangu visa nikaamua niwatolee ghadhabu kidogo. Ila wote kenge tuu! Lakini kwa nini Wafanyakazi wa ubalozi wa US wanakuwa Wazungu kwenye nchi kama Tanzania wakati kuna Wanugu wengi tu ambao wangewaongezea Wamarekani credibility kama wangepewa kazi ubalozini? Ona hao Wazungu walivyojitofautisha kati ya Waswahili kwa weupe wao na jinsi wanavyochekelea kiunafiki kwenye hiyo picha ... haileti maana kabisa.
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Sep 18, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,668
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Kwenda Marekani ni fadhila tu na wala si haki ya mtu. Kama watu hawakutaki nchini kwao hamna sababu ya kulialia kama vile huna kwenu!!

  Leo hii mimi wakiniambia niondoke hata kama hamna sababu maalum nitaondoka na kurudi kwetu na wala sitalalamika.

  Hakuna mantiki kabisa kuwasagia wazungu wakati mtu unaishi huko huko kwa wazungu. Kama mtu hupendi wanavyokutendea au kama hupendi wanavyoendesha mambo nadhani kama mtu mzima unajua nini cha kufanya. Unaondoka unarudi kwenu.
   
 9. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,660
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  Marekani si ya Wazungu tu. Waafrika wameishi nchi hii miaka zaidi ya 400! Na ajabu ni kwamba, hata kwenye balozi zao Afrika wanajaza wafanyakazi Wazungu. Vinginevyo una pointi - hapa hakuna cha kukimbilia zaidi ya kutafuta elimu. Na kama kweli mtu ana nia ya kuja kusoma huku, sioni kwa nini wanakuwa wagumu sana kutoa visa eti hujawadhihirishia kama kweli una nia ya kusoma. Damn! Yaani mtu umehangaika kutafuta shule ya kweli, umetumia mini-fortune kulipa school application fees, SEVIS fees, visa application fees, postage na gharama nyingine kibao achilia mbali muda mwiiingi uliotumia kwa process nzima hadi unafika stage ya kwenda kwenye visa interview Halafu you get all your hopes, money and time invested thrown out just like that in a 2-minute interview ambapo hata document moja ya shule hawaangalii! Kama si upumbavu ni nini?
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Sep 18, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,668
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Ndjabu, hata hao Waafrika Wamarekani wengi wao wanaidharau sana Afrika. Wengi hata hawai-claim Afrika. Utasikia wanasema "I have some Indian and white in me". Kama umewahi ku interact nao (of course sio wote) utagundua kuwa wanatudharau sana sisi tuliotoka Motherland. Wanatucheka accent zetu. Wanatuona sisi washamba. Wanadharau sana hao watu.

  Kwenye kwenda/kuja kusoma. Najua kuna watu wengi sana waliopo Marekani ambao walikuja kusoma na baada ya masomo wakachikichia na kubaki (kisheria na kinyume cha sheria). Kuna wengine walikwenda Marekani kwa kisingizio cha kusoma na walikuwa na documents zote zinazohitajia na baada ya kufika Marekani hakuna mtu aliyetia mguu shule!

  Kwa hiyo, kwa upande mmoja naelewa kabisa frustration zako. Na kwa upande mwingine, naelewa kabisa sababu za wao kuwanyima hati za kusafiria hata watu wenye nia njema kabisa ya kwenda kutafuta elimu. Kwa upande wao ni balancing act na katika kufanya hivyo ndio wanajikuta wananyima watu hati za kusafiria huku wakiwapa wengine wasio hata na nia ya kusoma!
   
 11. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,660
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  Kweli kabisa uliyosema Julius. Hawa visa consulars wanafanya what to many appear to be totally arbitrary subjective decisions ambazo zinawaumiza sana bona fide visa applicants wengi. How can a visa consular make a fair decision in less than 3 minutes by asking a couple of dumb questions and not even bothering to check the authenticity of all documentary evidence presented? On the other hand, nasikia kupata visa kwa Wahindi is a cake walk.
   
 12. M

  Magezi JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hata wakicheka ni sawa tu lakini kuwa na uhindi au uzungu sidhani kama ni sifa. Kinacho takiwa ni kupigana kuwa na maisha bora kwa watoto wetu popote ulipo. Kwanza mi naona Tanzania tunaendelea japo tuna matatizo ya uongozi wa kisiasa. Mbona kuna vi nchi kama Myamar, Cambodia, n.k. vina shida tu kuliko sisi??

  Kwanza mimi binafsi najuvunia kuwa mwafrika kwa sababu taabu za huku nje nazo nazijua, ubaguzi umekithiri.
   
 13. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hizo ndio zile tunazoita futari za kinafiki.
   
 14. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,660
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  Duuh! Hadi Zee la kufuturisha mwenyewe kakubali futari kama hii unafiki mtupu!
   
 15. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #15
  Sep 18, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sasa kama alifuga ndevu kama za Osama unategemea nini? Wenzako bado wana machungu na Sept 11!
   
 16. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,477
  Likes Received: 1,441
  Trophy Points: 280
  kufuturu huwa sio lazima, kama unaona wanakunyanyapaa unaacha unaenda kufuturu kwenu
   
 17. O

  Ogah JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  true true true Mukulu.....tena juzi juzi tu mmoja akawa anasema kuhus mshikaji wangu eti ana accent.....nikamwambia hii kitu ya accent unayosema its a two way traffic....na yeye pia atasema kwa wengine kuwa wewe una accent......nikaendelea kumwambia akija Muingereza mwenye atasema wewe una accent..........naona akanywea.........damn
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Pole ya nini? wakati waIslam tunaonyesha kwa vitendo, hatubagui wala hatuchagui nani wa kufuturu nae, na si kwa kufuturu tu, hata kwa chakula cha siku yeyote ile. Ni aghalabu kwenda kwa muIslam asikukaribishe japo chakula chake cha mwisho.

  Lazima uelewe kuwa uIslam ndio wenye mafunzo kamili ya maisha ya Binadamu ya kila siku, kuanzia aamkapo mpaka aingiapo kulala.

  Hao waIslam wa Kisarawe wanaonyesha kwa mafano kuwa kutoa si utajiri. Nawapongeza, na hilo ni somo kwa hawa wa Merekani kuwa uIslam ni amani na si kama wengi wanavyotaka uonekane.
   
 19. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,625
  Likes Received: 2,003
  Trophy Points: 280
  True lakini hatred inazidi kwasababu accent hiyo hiyo inawa cost mademu zao,sijui masikio ya mademu zao kwanini yanapenda accent,utasikia i like your accent,ntolee....Ila ya wanaijeria ndo mbovu zaidi.
   
 20. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Haha ahaha ahaha aha a a a , kwa kulalamika hawa ndugu zetu ni namba moja, lol
   
Loading...