FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 93,239
- 109,808
Kweli FaizaFoxy wewe ni ccm ndio maana ni mbinafsi "egoist" kauli yako hutumiwa zaidi ma wanga na vizee vya uswahilini pia unakatisha tamaa vijana hapa kuwa na ustaarabu wa kuwasemea walio wengi kwa 98% I dont means am a poor in real as i speak,tuwaonee waliowengi zaidi huruma mummy!/bafana songeni mbele kukata tamaa mwiko "uoga wako ndio umasikini wako"
Wewe kwanza hebu tumia lugha yako ya Taifa maana hiyo lugha ya Malkia imekupitia upande wa kushoto. Unajiaibisha tu.
Kuna bavichaa mmoja anauliza kama "rada ilitaifishwa IPTL kulikoni", sasa huyo utamuonea huruma kwa lipi?
Huruma za mamba? unawachangisha kwenye bakuli halafu unaenda kujengea jumba hawara? na wanaona, na wanajuwa. Hao wa kuonewa huruma? fikiri.