Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 912
mtamuunga mkono nani?Hata Mwalimu Nyerere alishasemaga ktk kumpata Rais wa nchi tusiangalie dini ya mtu.
Hata wakifululiza waislam awamu 2-3 haina tatizo ilimradi tupate Rais mwenye kutufaa kushirikiana naye ktk kuleta maendeleo ya nchi yetu kwa faida ya tuliopo na vizazi vyetu vijavyo.
Kwa hiyo kama Januari ataamua kutanga nia na kupata ridhaa ya chama chake basi tutakuwa tayari kumuunga mkono na mguu.