kauzu zaidi ya dagaa
Member
- Mar 2, 2013
- 37
- 5
ahahahahahahaha.........me kicheko tuuuuuuuuuuu
Unacheka nin na sura yako kama unakunyaa.
ahahahahahahaha.........me kicheko tuuuuuuuuuuu
kichwa kama logo ya android
Lione lilivyo jeusi mpaka ukimbeba mtoto analala akihis usiku umeingia.
masikio kama parashut,,demu wako amekomaa mpaka akiiangalia computer ina muandikia ''please wait....''
Yaan nikikuangalia sikutofautish na uchi wa nyani.
ha ha ha ha haPazi dadaako mbaya mpaka watu wakija kutoa mahari babaako anasema acheni utani
lione pua kaa donge la sabunilione jeusi likiingia ndani taazote zina zima