Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,775
- 7,497
Kwenye kampeni hawa huwa wanapeleka na wenyekiti wa mtaa kuichagua chama TawalaDah!!!
Mwana kazungukwa kiasi kwamba hata hewa muda wowote ataikosa.
Si nilisikia wakiambiwa mtu anatakiwa awe anafanya mzunguko wa 4mill per year sasa hao nyang'au hesabu zao wamezigawanya au kuzizidisha vipi hadi wamuone huyo ana mzunguko huo!