Kama huna hela, jitahidi uwe na ujuzi wa kujikomba kwa wenye nazo wakufungulie dunia

Nasikitika kuwaambia vijana wenzangu hii dunia Ina watu wenye funguo zake na the only way ya kuzipata ni kuwa humble kwao.

Kweli masikini jeuri ni msemo usiuweke kwenye akili by FA.
Miaka mingi iliyopita.....
Kuna watu hawawez kua chawa hata maisha yawe vipi....

Huwa hatuzijui kesho zetu oxygen ni hii wengine Bata eee wengine msoto eeee....

Maisha hayana Single difinition.....Kuna watu Wana bahati sana tangu wanazaliwa mpka wanakufa hawajawai kupata misoto wa kimaisha....
 
Nakubali sana mkuu. Life is game but it's not fair.
 
hujamwelewa jamaa...issue sio kuomba hela au kuwa chawa....issue ni kupewa fursa ambazo hujawahi kudhania kuwa watu ndio wanapigia pesa...i.e michongo
Kweli Mkuu watu wanawaza uchawa tu Bado tuna safari ndefu.
 
Boss anakutukana Kwa sababu ya njaa zako. Unajibu nakushukuru sana mkuu
 
Back
Top Bottom