Kama Hukutumia Hii Kitu Wewe sio mjanja bado! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Hukutumia Hii Kitu Wewe sio mjanja bado!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bujibuji, May 18, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,417
  Likes Received: 22,324
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Kazi kweli...nimekumbuka long time mpaka na scent yake!miaka. Enzi za kufunga mkanda
   
 3. M

  Mundu JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Nimetumia uturi YU for Men...mamsap huwa ananicheka...ananambia "ile pafyumu yako iliyokuwa inauzwa sh 650 za Tanzania unaikumbuka???"
   
 4. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160

  Du! hii ilikuwa long time!!!
   
 5. mwandiga

  mwandiga JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 1,449
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Ebwanaeee! Bujibuji wewe ni noma. Umenikumbusha mbali sana
   
 6. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  DU hii kali kwa wasio na uwezo kabisa walitumia Mamis
   
 7. B

  BARRY JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Dah, enzi hizo nakumbuka kakaangu akijisiliba na hiyo kitu na shati za uji uji na bwanga mabinti walimkoma...ila sasa ni marehemu. Du ugonjwa wa kisasa ni kiboko ya wajanja
   
 8. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aisee, enzi hizo ukiwa nako kamoja kanatosheleza mwaka mzima. Mafuta yalikuwa na harufu nzuri inayodumu mwilini muda mrefu na kila mtu aliweza kubaini umepakaa nini.
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,417
  Likes Received: 22,324
  Trophy Points: 280
  Halafu kulikuwa na kitu kingine kikali, YOLANDA
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Doo this was longtime ago in bethlehem....
   
 11. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #11
  May 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Ndio nini hiyo?
   
 12. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ndio mafuta ya kizamani kijana kama wewe...kizazi cha rotion...ngumu kujua.....

  Week end Njema
   
 13. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Daaah! mkuu wewe ni noma. Yaani wakati huo utakuta kidume kimejiweka utuli wa YU halafu chupi kavaa V.I.P lo!! sasa hapo bahati mbaya V.I.P ikatike kwa chini, lazime uikamatie kifuani.
   
 14. M

  Mbundenali Member

  #14
  May 19, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Unaikumbuka pia RAYS? yalikuwa mafuta ya mgando laini sana
   
 15. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  kishapaka hiyo kitu, kama unaenda kwenye sherehe unajipulizia na pafyumu aina ya KOBRA.
  Basi unatoka bomba kabisa.
   
 16. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ehee, vilevle kulikuwa na Ashanti, chacha, soincha, skuna, mpaka mokas. Kwa hiyo mimi mjanja!
   
 17. makwimoge

  makwimoge JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ....Vile vile kujikuwa na kitu YOLANDA ilikuwa ikienda na hiyo
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,417
  Likes Received: 22,324
  Trophy Points: 280
  IPP zamani walikuwa wanatengeneza mafuta , nimeyasahau jina.
  Ila bwana mambo ya zamani yalikuwa safi sana licha ya hali ngumu ya maisha iliyokuwepo enzi hizo za uhujumu uchumi, magendo na bei za kuruka
   
 19. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  jua kali,kulikua na sabuni ya kufulia iliitwa "kwanga"
   
 20. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,906
  Trophy Points: 280
  Iliitwa kanga bwana. siyo kwanga. yote mmesema ila mmesahau picha lazima zikapigwe studio ukiwa umeshika kiuno nyuma pazia jekundu au la bluu. na ua pembeni yako. lol nyimbo zetu zilikuwa za akina kilimanjaro jazz band na ottu jazz band.
   
Loading...